Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi kwa upande wangu nawaheshimu sana singo Maza
Tujitahidi kuwajaji kwa kuangalia kipi kimesababisha wao kua singo maza
Mwanaume hua Hana kosa, hao malaya ndio wenye makosaKwahiyo wanaume hatuna makosa 🤔🤔
Kuna jirani yangu mlevi 😂😂 au ndo weweMwanaume hua Hana kosa, hao malaya ndio wenye makosa
Kiboko yenu Museveni.Tunaliwakilisha Taifa kimataifa sasa hivi ni kuongeza idadi ya single mother mpaka the USA tushatoboa Afrika Mashariki na Kati mpaka kwa Madiba tunawakilisha mpaka China Japan Urusi kote huko Canada tupo
Nichunge ulimi sababu ya hoja za malaya walioshindikana duniani hadi akhera?Chunga ulimi huo uliponza kichwa
akiwa mlevi anakosa gani ?Kuna jirani yangu mlevi 😂😂 au ndo wewe
Malaya ndie aliekuzaa Wewe leo unamtukana?Nichunge ulimi sababu ya hoja za malaya walioshindikana duniani hadi akhera?
Akilewa anaomba pdidy ampake mafutaakiwa mlevi anakosa gani ?
Hana kosa ?akiwa mlevi anakosa gani ?
Mnajulikana, hamna njia ya kujificha.Umenyoa hayo mavuzi lakini?
UK moja hio mmeandamana mnataka haki zenu AlauakbaruMnajulikana, hamna njia ya kujificha.
Una watoto wangapiKama hajaolewa na kuwachika na ni singo mama, elewa huyo ni mtoto wa baba au mwanamme wa mamake, mjombake au kakake.
Inakuhusu nini?Una watoto wangapi
Mama Yako akiona ulivoandika sijui utalala wapi 😂Nichunge ulimi sababu ya hoja za malaya walioshindikana duniani hadi akhera?
Kwahiyo wanaume hatuna makosa 🤔🤔
Naona unawasema wanawake wenzako wenye watotoInakuhusu nini?
Hapo yupo zake anakula fegi huku anasaga miraa apate handasi usimuulize kuhusu watotoUna watoto wangapi
Basi na mwanaume anatakiwa aingie kwenye ndoa akiwa bikraNature inamtambua Mhanga kama ndiye mwenye Makosa.
Yule àmbaye NI victims nature inamtaka ajihami na kuchukua tahadhari
Kwèñye suala la ngono Mwanamke ndiye Mhanga hivyo yeye ndiye mwenye Makosa.
Kiimani(matokeo) àmbayo sio nature Mwanamke na Mwanaume wôte wanamakosa lakini Sheria inamtaka Mwanamke aolewe akiwa Bikra
Sheria hiyohiyo haimzuii Mwanaume kutokuoa Mwanamke asiye na Bikra hasa Kwa Wanaume Wazee
Ila kijana kiimani anatakiwa aoe Mwanamke aliye Bikra, logical ni Kosa Kwa kijana Kuoa Mwanamke asiye na Bikra ila siô Kosa Kwa mwanaume Mtu mzima Kuoa asiye na Bikra
Hapo kashazipiga fegi zake km 10 pembeni ana kibunda cha miraa usimuulize kuhusu watoto utamkata stimuNaona unawasema wanawake wenzako wenye watoto
Au ni mchumba 🤔