Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Hakuna uhûsiano wa Njaa na UmalayaHii yote sababu ya njaa, hamna Binti anayependa kuliwa na mzee
Umalaya ni tàbia inayochochewa na tàbia ya Asili ya Kurithi, au TAMAA mbaya au uvivu.
Mambo hayo Matatu Malaya hakose kuwa nayo Mojawapo au yôte.
Hayo ya single mother ni matokeo