Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kuna binti amezaliwa 2010 ameacha Shule na anadai ndoa kwa sasa.

Hii unaweza usiielewe ikiwa wewe sio Victim / survivor

Ila umasikini unaleta matatizo makubwa Sana katika society yetu
 
Jamii, umasikini, tamaa.
Jamii ----> kuna mama jirani yangu hapa ana mwanae sawa na mdogo wangu wa pili kutoka mwisho mwenye miaka 20. Alikataa mwanae asiendelee na shule kisa anataka apate michango ya harusi ya mwanae akiolewa lakini bahati mbaya hadi sasa binti hajaolewa na kazalishwa watoto wawili kila mtoto na babaake na mamake ndie humtafutia wanaume. Sio kwamba haya yanatokea kijijini hapana ni mjini city center kabisa ambako huyo mama ana zaidi ya miaka 15 mjini.

Umasikini na tamaa vinaeleweka no need of explanation.
 
Kwa kweli nimesikitika sana
Nimekutana na huyu mama akiwa na mtoto wake wa miaka sita akiwa anampeleka shule😭😭

Mwanaume aliyembaka alishakimbia kitambo sana
(nimetumia rape nikiwa na maana huwezi kufanya sex na binti wa miaka 14 mkiwa wote mentally fit.. Huo ni ubakaji)

Ndio hivyo sasa..😭😭
Well damn, hali kwa mtwa si nzuri
 
Kuna binti amezaliwa 2010 ameacha Shule na anadai ndoa kwa sasa.

Hii unaweza usiielewe ikiwa wewe sio Victim / survivor

Ila umasikini unaleta matatizo makubwa Sana katika society yetu
Bado jamii nyingi Tanzania Zina endeleza taratibu za mila na desturi za kuoa watoto wadogo mapaka wa umri wa shule za msingi.

Je unachukua hatua gani?
 
Bado jamii nyingi Tanzania Zina endeleza taratibu za mila na desturi za kuoa watoto wadogo mapaka wa umri wa shule za msingi.

Je unachukua hatua gani?
Hilo ni tatizo la serikali ya Ccm na viongozi wake
 
Kuoa singo maza ni kujivika bomu, ni wenye roho ngumu ndio huweza kukabiliana na majanga na vitimbwi vyao.

Ukiwa rojorojo kama Natafuta Ajira hakyanani unajinyonga.
Sasa unajivika bomu ili umfurahishe nani, kwanini usiachane tu na ilo from the first place?

Naoa ili nipate amani sio nilete vita nyumbani kwangu.
 
Legend; Seriously?

Sikuwa na sababu ya msingi… ila zamani nikiwa slim nilikuwa nafanana “kiasi” na binti kiziwi wa wimbo wa Z anto. Au basi nilikuwa nampenda, kuna ile delusional ukimpenda mtu unajiona kama yeye/unajiona ndani yake. 😂

It’s me being stupid!
Ko shemela Sasa hivi wewe ni kibonge mwepesi 😂
 
Point of correction Mkuu!
Mwanamke ambaye kafiwa mume wake sio single mother bali ni mjane
Halafu ni ajabu kusikia kauli kuwa single mother hataki mtoto & watoto wake wa kiume kuoa single mother?! Yaani single mothers hawataki wakwe single mothers!? 😃
 
Back
Top Bottom