Wakinga wameamua kupambana, maneno yameanza kama ilivyo desturi ya Waswahili

Ni
Kupe mfano mmoja tu soko kuu sumbawanga limetawaliwa na wakinga kwa asilimia 90, na 10% ni watu wanao uza nyanya michicha mbogambona, huwezi kukuta makabila mengine kwenye hilosoko kwasababu moja tu kama wewe si mshirikina utopata wateja siku nzima.

Na maisha ya wakinga nikufungua mapema apo sokoni kwani ukichelewa jua huto pata wateja lazima wakuwekee madawa tu! Kwahiyo kabla soko alijafunguliwa wanawahi magetini ili kuwahi kufika eneo analo uzia kablaawaja weka vitu vyao.Wakinga wengi na ushirikina ni kitu kimoja☝.
 
Hii ubongo wako unakuaminisha ivyo Mana labda mmezidiwa. Yaani akifanikisha mwingine mwizi ama kafara Ila ukifanikisha wewe Ni mjanja. Ubongo una kitu kinaitwa self service
 
Getting rich is a taboo topic in our
society. Go outside and tell someone, “I am
going to become super rich,” and they will
think you are crazy. Get rich and then openly
tell people, “I am rich,” and society will label
you a greedy, gluttonous, elitist pig. Tell them
you are poor and they will show you sympathy,
but tell them you are rich and they will despise
you.
The truth is, getting rich—even super
rich—shouldn’t be taboo, it should be your
battle cry.
"Very few people even know how to get money, even fewer know
how to keep it,and almost no one knows how to multiply it."

When you are brought up poor or middle class, you inherit the beliefs of the poor and the middle class. You’re stuck with their ideas. The simplicity of money and economics is not nearly as complicated as the schools, universities, economists, and fnancial channels make it out to be.

Money, economics, and amassing
fnancial freedom is actually very simple.
For instance, anyone who tells you that
money won’t make you happy never had
enough money to know whether it would or it wouldn’t. This idea is born from those who try to make sense of why they don’t have money. People justify it and try to make sense of their condition in life.


Financial freedom is two parts mental and one part mechanical. And
you have to get your mental part right frst.
What I mean is that you probably need to
lose your mind frst, including many of the
beliefs you were brought up with.

Complaining, moaning, and groaning
will not increase your income. Make the
commitment to create wealth, be ethical on
your journey, and do whatever it takes until you achieve it. Let’s face it, being broke is unethical. When you commit you will find a way and it never
means you have to be unethical.
 
Ivi tofauti ya wakinga na waha ni ipi kwenye biashara?
Watu wengi wanadhania watu wanaopambana ni Wakinga sijui Wachaga ila ukizunguka nchi hii mikoani huko,Migodini na kwenye sekta ya kilimo na mifugo utajua kabisa ni mambo ya kukalili tu ila uhalisia watu wanapambna haijalishi ni kabila gani japo upamabanaji pia unatofautiana!
 
Hii ubongo wako unakuaminisha ivyo Mana labda mmezidiwa. Yaani akifanikisha mwingine mwizi ama kafara Ila ukifanikisha wewe Ni mjanja. Ubongo una kitu kinaitwa self service
Ndugu ni kweli yaani kufanikiwa mbele ya mkinga jua ni jeneza linakusubiri tumepoteza ngugu wengi kwa njia hii ya kushindana biashara na wakinga.
 
Nakupata.
 
Mbonq nchi nzima washirikina. Wao wananini cha ziada.
 
Nawe ukaamini kabisa hizo ngonjera? Kweli akili ni nywele kila Mtu ana zake...[emoji38]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
M

Marafiki zangu wengi ni wakinga.

Wana pesa mno
na niWashirikina.
Mungu wao ananguvu kuliko mungu wenu,ushirikina nindhana tu.
 
M



Mungu wao ananguvu kuliko mungu wenu,ushirikina nindhana tu.
Kwa hiyo washirikina wana mungu wao kivyao ama?
Ndio anaewatuma watoe kafara mama na watoto?
Au sijakuelewa
Hebu fafanua hapo huyo mungu ni yupi? Wa wachawi?
 
Kuna kipindi nikikuwa kwa wabena huko njombe, wale ndugu wananidhamu ya pesa isiyo elezeka.

Mzee alikuwa ana muasa mwanaye anaekaa dar jinsi ya kutunza pesa, jinsi alivyokuwa anamuelekeza kama ndio falsafa yao ipo hivyo kwenye hela acha watoboe tu.

Kingine ni umoja, wanaumoja wa kusaidiana na kupeana ramani, unakuta kijana amepewa shamba amepanda miti, baada ya miti kukua walao miaka 7 mpaka 10 anakuja mjini kujishikiza kwenye biashara ya ndugu yake, baada ya miaka miwili unakuta nae anaagiza mzigo china, hapo hapo wabongo tunaanza kumuita freemason!
 
Hili jambo nimelisikia sana vijana wengi wa njombe waliachiwa miti na wazazi wao sasa mtu anavyoona mkinga anakuwa kwa Kasi kwenye biashara anakuwa anahisi uchawi
 
Nimemaliza siwezi tetea watu ambao wanataka labda uuze mchicha na mbogamboga ndo watakuacha vinginevyo wakinga wasikiage tu kwenyeaduka yao.
Hawa wapo kitambo usukumani huko kila kona wamejaa lakini bado wajomba wanaungaunga tu.
Tafuta sababu za msingi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…