Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Wakinga zaidi ya masharti hayo la kwanza lazima umuue au umfanye msukule ndugu wa karibu. Yaani Mama, mtoto wako au mdogo wako.
Mali za Wakinga ziangalie hivyo hivyo ila ni mateso matupu, zote ni mauzauza tu. Unakuta mtu ana hoteli ya kisasa lakini analala kwenye chumba cha stoo na mabox
Sijasoma chauwongo apa 100% ni kweli.Kwa wakongwe hawa miamba kulikoni utajiri wao umeondoka kama upepo; Mabasi ya Meridian, Mabasi ya Matema Beach: Sarfina n.k.
Kuhusu uhusiano wa utajiri na sadaka ni imani ambayo ipo kila sehemu duniani. Kuna tunaomini kuwa ukiwapa masikini msaada wa mali au pesa kwa nia njema au ukitoa kwenye nyumba za ibana mungu wa mbinguni anakulipa zaidi. Lakini kuna wanoamini kuwa ukitoa sadaka inayohusiana na uhai wa mtu unayempenda zaidi, au ukiikatili nafsi yako mwenyewe, shetani atakupa utajiri. Imani ya sadaka ya uhai au kufanya kitu kitakochokuondolea furaha katika maisha yako yote haipo tu nchini, lakini ipo zaidi India, China, Marekani na East Europe.
Mimi nina mifano ya mambo yenye mwelekeo wa kuhusisha ushirikina na utajiri;
Kuna suala la matajiri wengi kuvaa pete kubwa au kufuga paka ambaye anakuwa sehemu ya Biashara na analindwa kuliko kitu chochote.
Kuna baadhi ya nyumba hasa Iringa na tanga, kuna chumba maalumu haruhusiwi kuingia mtu isipokuwa baba na mama. Sasa kuna siku binti mgeni akaona kwa nini nakatazwa kuingia hiki chumba, wakati ankoo anaingia kila jioni? akazama alichokiona kilimfanya aondoke hiyo nyumba bila kuaga;
Soko la Kariakoo na mwanjerwa yalipo ungua, kuna wafanyabiashara walitoka madukani na wanyama hatari kama kenge na nyoka;
Kuna kipindi nilienda Beach yenye vichaka Bagamoyo nikakaa hadi saa nne usiku, nikaona kuna watu waume kwa kike wanakuja na magari, then wanavua nguo zote wanaanza kuoga maji masafi waliyokuja nayo then wanaelekea bahari hadi wanapotea. jinsi nivyochomoka hiyo sehemu mungu tu anajua;
Kuna sehemu Dar kuna mzee tajiri alikuwa anaogopwa na majirani zake wote, sasa mimi nikiwa sijui chochocte kuhusu hiyo nyumba, nikakatisha huo mtaaa. Nikakuta kuna dada kama house girl analia kuwa mtoto kaingia kwenye hiyo nyumbana kwamba anaogopa kumfuata, nikazama ndani, nilichokikuta mungu anajua. Baada ya kutoka nje na mtoto watu wakaanza kunizunguka wakinihoji nilichoona, sikusema kitu kwani mwenye nyumba alisema funga mdomo;
Kuna nyumba mikocheni kwa osama, kila mpangaji akipanga baada ya usiku mmoja anaondoka mwenyewe, sababu ni kupigwa fimbo au kulazwa nje. Sasa kuna siku wakaingia wachina, mwenye nyumba ndio alikuja kuwaomba msamaha asubuhi na wachina hawakuhama.
Miongoni mwa maeneo masikini zaidi Tz ni Makete, Kigoma na Pemba. Lakini watu kutoka huko ndio matajiri Wakubwa nchini. Utajri wa baadhi yao kamwe huwa hausambai kwa ndugu wa karibu na koo zao. wakifa ndio basi.
Kuna baadhi ya vijana wamefika mjini hawana kitu, lakini baada ya miaka miwili anajenga jengo la floor 10 kariakoo lenye value ya 5B. Sasa kinadharia serving ya 5B kwa miaka miwili ni ngumu labda uokote kipande cha almasi au uuze ngada kwa mafanikio makubwa.
NI UONGO WAKINGA NI WAPAMBANAJI SANA NA WANA AKILI ZA MAISHA. CHUKI NA WIVU NDO VINAFANYA MUANZE WASINGIZIA HAYO MNAYOSEMA. WANA NIDHAMU SANA YA PESA. MAKABILA NINYI NDO MNATANGAZA HAYO KWA WIVU.
Wana akili za maisha? Kuwaweka mama zao wazazi misukule ndani ya vyumba visivyofunguliwa ndiyo akili?NI UONGO WAKINGA NI WAPAMBANAJI SANA NA WANA AKILI ZA MAISHA. CHUKI NA WIVU NDO VINAFANYA MUANZE WASINGIZIA HAYO MNAYOSEMA. WANA NIDHAMU SANA YA PESA. MAKABILA NINYI NDO MNATANGAZA HAYO KWA WIVU.
Kunamtu apambani? Kilasiku ungekua unasikia watu wanakufa kwa njaa!,
Shida ni upambanaji wa wakinga especially awa wamikoani niwakitofauti na jamii zingine yaani mambo yao ni yaajabu sana.
HIZO STORIES ZENU MASKINI. HUWA MNAJIFARIJI KWA NJIA HIYO... MTU AKIPAMBANA AKAWIN NI FREE MASON. UMASKINI WENU NDO TATIZO. WAPO WAKINGA WENGI WANAUZA MADUKA NA MAMA ZAO NA WATOTO WAO NA WAKE AU WAUME WAO. NYIE MASKINI MNAPIGA MAJUNGU.Wana akili za maisha? Kuwaweka mama zao wazazi misukule ndani ya vyumba visivyofunguliwa ndiyo akili?
Ivi unaongea ilimladi umeongea au upo kuchekesha watu? Ivi umewai kuona mtu anafanya biashara kalbu na mkinga na wakafanana?.HAWANA MAMBO YA AJABU YOYOTE. WANA NIDHAMU NA PESA. NINYI WASWAHILI MNA MAJUNGU TU. Na wachaga kama wivu nao umetujaa. Wakinga wamechukua frames kariakoo wapo very serious na business.
We mr we nimkinga? Mbona unabishia ukweli! Kama wewe si mshirikina usifungue biashara kalbu na mkinga kwani utatoka kapa siku nzima uku wenyewe wakipiga stori tu!.HIZO STORIES ZENU MASKINI. HUWA MNAJIFARIJI KWA NJIA HIYO... MTU AKIPAMBANA AKAWIN NI FREE MASON. UMASKINI WENU NDO TATIZO. WAPO WAKINGA WENGI WANAUZA MADUKA NA MAMA ZAO NA WATOTO WAO NA WAKE AU WAUME WAO. NYIE MASKINI MNAPIGA MAJUNGU.
UMEONGEA PUMBA YAANI UFANYE BIASHAFA NA MTU MFANANE? KAFANANE NA WAZAZI WAKO.Ivi unaongea ilimladi umeongea au upo kuchekesha watu? Ivi umewai kuona mtu anafanya biashara kalbu na mkinga na wakafanana?.
Kama unamalengo lazima uwe na nizamu ya pesa.
SI KWELI MIMI NAFANYA BIASHARA KARIBU NA MKINGA NIMEJIFUNZA SIRI NYINGI. Zamani nlikuwa mjinga kama ninyi. Wao nimegundua wana nidhamu ya pesa na wabahili sana. Huo ujinga mnaoaminishana ni kujifariji tu. Fanyeni kazi madogo.We mr we nimkinga? Mbona unabishia ukweli! Kama wewe si mshirikina usifungue biashara kalbu na mkinga kwani utatoka kapa siku nzima uku wenyewe wakipiga stori tu!.
Danganyeni watu wa Dar !! Sisi tunawajua tangia Mbeya na Njombe, washirikina wakubwa mkitengenezwa na Mwakipande. Eti wapambanaji? Mnapambana kumzidi nani?HIZO STORIES ZENU MASKINI. HUWA MNAJIFARIJI KWA NJIA HIYO... MTU AKIPAMBANA AKAWIN NI FREE MASON. UMASKINI WENU NDO TATIZO. WAPO WAKINGA WENGI WANAUZA MADUKA NA MAMA ZAO NA WATOTO WAO NA WAKE AU WAUME WAO. NYIE MASKINI MNAPIGA MAJUNGU.
Uwezo wako wa kufikiri na kujua mambo upo chini ya chini ya kiwangoWakinga zaidi ya masharti hayo la kwanza lazima umuue au umfanye msukule ndugu wa karibu. Yaani Mama, mtoto wako au mdogo wako.
Mali za Wakinga ziangalie hivyo hivyo ila ni mateso matupu, zote ni mauzauza tu. Unakuta mtu ana hoteli ya kisasa lakini analala kwenye chumba cha stoo na mabox
UMASKINI WAKO NDO TATIZO NA KUKOSA ELIMU NDO MSINGI MKUBWA WA KUELEWADanganyeni watu wa Dar !! Sisi tunawajua tangia Mbeya na Njombe, washirikina wakubwa mkitengenezwa na Mwakipande. Eti wapambanaji? Mnapambana kumzidi nani?
Kama utajiri wenu ni wa halali, kwanini mnaishi maisha ya kifala?
Wachawi lazima mtafute namna ya kujitetea. Kama mna hela zilizonyooka mbona mnaishi kama malofa?Uwezo wako wa kufikiri na kujua mambo upo chini ya chini ya kiwango
Nyie mliosoma mlijufunza namna ya kuweka ndugu zenu misukule. Basi nibakie bila elimuUMASKINI WAKO NDO TATIZO NA KUKOSA ELIMU NDO MSINGI MKUBWA WA KUELEWA
Hiii keep comforting yourself, bado we mtoto kwenye hii dunia.UMEONGEA PUMBA YAANI UFANYE BIASHAFA NA MTU MFANANE? KAFANANE NA WAZAZI WAKO.