Wakinga wameamua kupambana, maneno yameanza kama ilivyo desturi ya Waswahili

Nafikiri umri wako mdogo,kwa taarifa tu wakinga biashara ya kishirikina hawajaanza hivi karibuni kama unavoamini,tangu miaka hiyo,sisi watu wa Mbeya tunawaelewa vyema hawa watani zetu
 
Nafikiri umri wako mdogo,kwa taarifa tu wakinga biashara ya kishirikina hawajaanza hivi karibuni kama unavoamini,tangu miaka hiyo,sisi watu wa Mbeya tunawaelewa vyema hawa watani zetu
Na siyo mbeya tu! Yaani atata sisi uku tunawajua😜😜.
 
Ukimaliza kuandika nijibu swali hili,
Kwanini wakinga wamejioganize?.

Mtu yeyote mwenye malengo lazima akue na nidhamu ya pesa si kwamba nidhamu ni jadi ya mkinga hapana mtu yeyeto mwenye malengo anajua jinsi ya kuseving pesa zake,

Kwa bahati mbaya nilipo mimi huwezi kuniambia wakinga si washirikina nakataa katu katu,kwasababu wakinga huwezi kukuta wanafanya biashara na makabla mengine hii kitahalamu inaitwa mashariti kuzingatiwa😁😁.
 
Nyie mliosoma mlijufunza namna ya kuweka ndugu zenu misukule. Basi nibakie bila elimu

ENDELEA KUJIPA MOYO. UTAKALIA MAJUNGU NA MANUNG'UNIKO. WENZAKO WANAFANYA MAISHA WEWE UKO GOI GOI UNADAI WANAWEKA MISUKULE. UNALALAMIKA TU JF DOGO. MWISHOWE HUWA MNAKUJA KUOLEWA
 
NIDHAMU NDO UFUNGUO WA MAISHA WA BIASHARA WA WAKINGA. WATU WAVIVU WANAKIMBILIA KUSEMA KAFALA NA MISUKULE. MIMI NIMEKAA NA WAKINGA MADUKA YETU YAPO KARIBU. JAMAA HAWATUMII PESA HOVYO. MSOSI WANALETEWA TOKA HOME. WANAJALI WATEJA. HAWANA MARINGO. WANAJISHUSHA KWA WATEJA ILE MBAYA. WANATAKA HATA SHILLINGI 100 YAKO WAIPATE. HUWEZI ENDA KWA MKINGA AKAKUAMBIA SINA CHANGE.... ETI UKATAFUTE. WANAITWA WABAHILI SABABU HAWAHONGI , HAWANUNUI VITU HOVYO.
 
Hiii keep comforting yourself, bado we mtoto kwenye hii dunia.
Its you who in poverty you console yourself and envy those who have success. You need to learn to struggle dogo. Maisha si kulalamika na kutafuta justification of your poverty. Try hard dogo.
 
ENDELEA KUJIPA MOYO. UTAKALIA MAJUNGU NA MANUNG'UNIKO. WENZAKO WANAFANYA MAISHA WEWE UKO GOI GOI UNADAI WANAWEKA MISUKULE. UNALALAMIKA TU JF DOGO. MWISHOWE HUWA MNAKUJA KUOLEWA
Dogo, mbona kama umetumia nguvu kubwa sana kubisha..unatumia nguvu kubwa sana kuwajibu watu,, inaleta ukakasi, mtu anaejua jambo la kweli na anafaham kua ni la kweli labda kwa namna moja ama nyingine hua hatumii nguvu kubwa sana kulidhibitisha.
 
DOGO ENDELEA KUJIFARIJI KATIKA UMASKINI WAKO. WENZIO TUMESHATOBOA.
 
Kweli kabisa mkuu
Mtu anaamini uchawi ila hana lolote
Au kutwa kuwasema watu hata kama mama wa mtu alikufa kwa mda wake watasema ni kafara

Huyu huyu anaenisema humu nikimpa hela anitafutie kitu atalala nazo 😄
Kweli kabisa uaminifu kwenye pesa kwetu sisi watz ni hakuna, nilikutana na mkenya mmoja akaniambia kwenye pesa hats wazazi wako wanakupiga, niliwahi kufungua mradi wa kilimo cha umwagiliaji nikamuomba Dada yangu na shemeji yangu wasimamie baada ya miezi sits nikaenda kuwatembelea nilipofika tu sikutaka hata kukaa Kitano nikaomba wanipeleke shambani kwanza kisha mambo mengine yataendelea, iliwachukua nusu SAA kufikia uamuzi wa kunipeleka site nilipofika huko hakukua na shamba wala chochote bad enough walipokua wananitumia video clips za progress ya kazi walichukua kutoka mashamba mazuri kabisa ya watu wengine yaliyostawi vizuri na kutunzwa vizuri hiyo ilinipa moyo nilituma pesa kila ilipohitajika na ziada niliwapa, hakika nilisamehe tu ili kuilinda ndoa ya Dada wajomba zangu wasijewakapata tabu, nilighafilika mno coz nilisave kwa kujinyima mno na niliplan mradi ungetik nilipanga kuacha kazi kwa kua mazingira ya kazi hayakua mazuri, niligeuka Sikh hiyohiyo nikarudi nilipotoka.
 
Nimeshakueleza we bado mdogo hiidunia tumeona mengi siwezi shangaa yamkinga.
Its you who in poverty you console yourself and envy those who have success. You need to learn to struggle dogo. Maisha si kulalamika na kutafuta justification of your poverty. Try hard dogo.
 
Nakubaliana na wewe mkuu, huo ndio uhalisia wao. Sisi waafrika; Siri ya mali anaijua baba pekee au mama. Wenzetu wahindi na waarabu; Siri ya mali hujukikana kwa wanafamilia wote, ndio maana hawafirisiki.
 
Wachaga wana spirit ya kusaka pesa mno mno.

Ila tatizo ninaloliona kwa sasa ni hawa manabii na mitume, ambao wengi ni wanyakyusa, wanakula mno pesa za watafutaji wa kichaga.

Sijui ni kitu gani kinawafanya wawaamini sana aisee, maafa ya Mwamposa kule Moshi ni ushahidi tosha.

Ni hustlers kwelikweli, ni risk takers ila hapo kwa manabii wengi wamenasa.
 
ENDELEA KUJIPA MOYO. UTAKALIA MAJUNGU NA MANUNG'UNIKO. WENZAKO WANAFANYA MAISHA WEWE UKO GOI GOI UNADAI WANAWEKA MISUKULE. UNALALAMIKA TU JF DOGO. MWISHOWE HUWA MNAKUJA KUOLEWA
Mimi siyo dogo. Naweza kuwa baba yako kwa kukuzaa. Hivi kule nyuma nilipokuambia nawafahamu Wakinga wa Mbeya wa miaka ya 1980s hukunielewa? Akina Nkwenzulu, Tweve na Chawe. Ningekuwa na huo umri unaoniita dogo nisingeandika haya ninayoandika. Matajiri Wakinga ni washirikina tu, period
 
Naomba unitag ukiiweka
 
Dogo usikumbatie umaskini. Pambana utoke kwenye umaskini na kukariri majina ya watu ukidhani watakusaidia kila siku. Fanya kazi dogo umaskini si jambo la kujivunia na kujifariji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…