Tetesi: Wakishamaliza kumuangamiza January Makamba, wanahamia kwa Selemani Jafo

Huyo RC mnampa kichwa tu, yaani kama kuna chizi anaota ndoto huyo kiazi atakuja hata kugombea tu basi sio apelekwe hospitali tu bali anastahili kunyongwa kwa kutaka kulihaini Taifa hili.
RC uchaguzi unaofata anagombea ubunge na atapita tena kwa kishindo.
Akishaingia tu bungeni anapewa na wizara moja kwa moja,
Ndani ya miaka 5 ya uwaziri anaandaliwa mazingira ya kukaimu nafasi endapo tu George Bush hatakua na nia ya kuendelea kuikalia nchi ya Iraq kwa mabavu.
Ila binafsi sidhani kama kweli Bush ataondoka Afghanistan kiulaini laini kama wanajeshi wengi wa Marekani wanavyo fikiria.
 
Nasadiki maneno yako ... Tumeliona Hilo kea Mwigulu

Ha ha ha ha haaaaa roho wa Shetani utamjua tu!!!
 
Hkn Rais alieandaa mtu wake akafanikiwa
Kwani kwa mwinyi alimuandaa nani na mkapa je alimuandaa nani kwa mkwere najua niyule ndugu yake anayejifanya mkiristo kumbe muislamu baba mmoja mama mbalimbali
 
Wamemalizana kula nje sasa wanakulana wao kwa wao...
 
[emoji848][emoji848][emoji848]hata mimi nasubiria kuona kama Bush kweli ataondoka au laah ila bush huwa anapenda sana kuprove watu wrong so afghanistan anaweza iachia ila sio kwa kupenda ni kwasababu aprove wrong minongono
 
Huyo RC mnampa kichwa tu, yaani kama kuna chizi anaota ndoto huyo kiazi atakuja hata kugombea tu basi sio apelekwe hospitali tu bali anastahili kunyongwa kwa kutaka kulihaini Taifa hili.
The next to be Tanzanian president IZ PAULO SON OF ALBERTO MAKONDAA 2025 gear on
 
Jokate anaandaliwa kuwa waziri wa mambo ya nje na za chini chini zinasema ameambiwa afanye masters ya international relation open university ili musimuone saa mnaaulizia alisoma wapi hayo mambo awaonyeshe cheti.......
 
Lakini kanauwezo flan hivi.
 
Rc ataanzia u-majariwa 2025 , then atapewa kijiti cha Nyerere 30
 
( 0 )
 
Huyo rc labda kama kasoma kisomo cha watu wazima vinginevyo hatuwezi kutawaliwa na mtu ngumbalu
 
Sasa wasiuwane tu maana hivi vyeo ni vya kupita, kama jamaa anavyokazana kutamka kila mara "nitapita atakuja mwingine...."

Zilongwa mbali zitendwa mbali
Umeshaligundua hiloeeeee?
 
Atakwambia kuwa ni kijana mchapa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…