Tetesi: Wakishamaliza kumuangamiza January Makamba, wanahamia kwa Selemani Jafo

Ndo mnachojidanganya vijiweni huko mkinywa kahawa yenu yenye buni mchanganyiko na kinyesi cha kondoo
Unawatukana hata wazee wasiyo ifahamu Jf jitahidi basi angalau kumtukana mleta mada tu
 
ndugu..... haya mambo yetu ya ndani nani kavujisha?
 
Vyeti anavyo?
 
Mnawanyima wananchi haki ya kuwajua vyema waliopewa dhamana ya kuwaongoza kama kila lisemwalo basi linachembe za kufisha ndoto ya mtu kuwa Rais.

Watajwa wowote hakuna mahali wamekatazwa kujibu tuhuma dhidi Yao au kuchukua hatua Stahiki ??
 
Ccm itaamka hivi punde, hata kikwete na lowasa walianza hivi hivi. Wazee wa ccm walika kikao na wakamweka kikao na kumlazimisha, hata pilikapilika za kutenganisha uongozi wa chama na uraisi ulianza.

Wazee wakamuekea ngumu kukwete na kumpa ultimatum, na kikwete akamtosa lowasa.

Mambo kama hayo yamekaribia na wazee wananongona na wakishakaa vizuri, tutaona mabadiliko.
 
Walikua vijana watatu, wawiliwameishatoswa amebaki huyu mmoja tu. Huyu mmoja ndio ameanza kutafutiwa sababu kupitia kwa lile baradhuli lisilo na elimu yoyote ila limemilikishwa gazeti kwa kazi maalumu.
 
Mnafiki mkubwa, yamewashinda ya akina Mbow unakuja rukia vitu usivyo vijua.
 
Kwa hiyo unataka kusema anaweza Kuja kumgeuka magu??
 

Duh! Hapo mwisho umeua Mkuu [emoji134]‍♀️[emoji23]
 
Akanushe kwenye vyombo vya habari kama kweli au uwongo. Kukopa hela za NSsf sio halafu hataki kulipa sio ustaarabu huo ni uovyo na hatutakiwi kuwa na Rais kama huyo. Ataenda kukopa china halafu atatupeleka kwenye China dept trap ili tunyanganywe Bandari yetu
 
Hicho kivuko kingenunuliwa na mtu mwingine, muda huu angekuwa anaozea keko na kina Rugemalila!
HAKUNA MSAFI HATA MMOJA
 
Hakuna Mzanzibar atakayepewa Tena nafasi ya Urais wa Tena Tanzania bara. Wanaccm wa bara hawatampitisha hata siku moja Mzanzibar awe Rais . Hussein mwinyi aende akamrith Rais Shein mwakani 2020. Kwa staili hiyo nakuhakikishia 2005 Dr Salim Ahmed Salim angeza kuwa Rais. January anaweza kuwa na nafasi kubwa ya kushinda kuliko Hussain mwinyi
 
Vipi January akitumbuliwa na ule uwaziri . Ndio atakuwa ameisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…