Tetesi: Wakishamaliza kumuangamiza January Makamba, wanahamia kwa Selemani Jafo

January anabatizwa kwa
Moto bana hawezi kuangamizwa
 
Zanzibar vipi?hawana haki ya kuwa rais wa jamhuri?Usimsahau Hussein Mwinyi
 
Tisha-ble!
 
Tehe tehe!
 
Seleman Jafo sio tishio la mtu yeyote
 
Yaani kwamba Rais msukuma anastaafu halafu anampa msukuma mwenzie? Tena msukuma mwenzie huyo kiazi?
Au unamaanisha Rais wa Bongo movie?
 
Kwa kasi ya utendaji amekuwa tishio kwa wasaka urais 2025
Hakuna kasi yoyote sema ile wizara inakupa network sana na ushawishi sasa kwa muktadha huo wasaka urais walio kwenye wizara dhaifu inawapa shida
Lakini sidhani kama februari wamemmaliza unless ubunge ujao akatwe kitu ambacho ni kigumu atakuwa anajitokeza hadharani kwa matukio ili aendee kusikika
 
Huyu bashe nae ajiandae naona kama uteuzi wake ni wa kimtego sana mpaka sasa wala siamnini kama atadumu hapo
 
Habari hii ni majungu yaliotukuka,Fahamu Magufuli haonei mtu,na hafanyi kazi kwa majungu,angalia walichokifanya kina makamba ,hajawaonea ,kawapa walichostahili,
Kuhusu Jaffo ,katika vijana makini na wanaodeliver matarajio ya rais Magufuli ni pamoja na Yeye,na rais anamuamini,yeye kajitenga na makundi ya majungu,zake ni kazi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…