Wako wapi hawa watu? Faiza Fox, Kichwa Kichafu na Wa Stend

Wanaotumiss sana sisi wakongwe ni wale waungwana tu.
Wengi wetu tuko ktk majukumu ya kujenga taifa kwahio muda wa kufanya minakasha humu inakuwa mdogo
 
Nafurahi kuona umerudi. Kuna maswali mengi wameuliza manaswara. Ukipitia utaona wape majibu. 😅😅
Hapa JF wengi wao sio manaswara. Bali ni wapagani waabudu sanamu.
Naswara kwa mujibu wa kitabu Chao hatakiwi kuabudu Sanamu la aina yyt lkn wengi wao mpk maofisini mwao wana visanamu na picha za mzungu Ana ndevu km Osama. Lkn wao wananyoa. Hapo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…