Wako wapi hawa watu? Faiza Fox, Kichwa Kichafu na Wa Stend

Wako wapi hawa watu? Faiza Fox, Kichwa Kichafu na Wa Stend

Huyu bibi umri umesonga...inaelekea macho yanampa shida.

Ila ukitaka kumwona anzisha uzi wa malumbano ya dini(ukristo na uislam).
Hahahaa, ni mbishi balaa, ila atarudi, awamu itamvuta,Ile nyingine hakuipenda
 
Jamani wanjf Ni muhimu pia kutafutana ikiwa Kama tuko jukwaa moja la JamiiForums, hao watu tajwa hapa juu na wengine wako wapi? Tumemiss nyuzi zao😵NGEZEA WENGINE AMBAO WAMEPOTEA KWENYE JUKWAA HILI.Tuwapate.
Ongezea nyani ngabu, miss natafuta napendaga sana vigongo vyao miye!

Kama wapo majukwaa mengine wasinishangae kwa uwepo wao, maana mi huingia kwa machale na kuishia kuperuzi "hoja na habari mchanganyiko".

Nikiranda randa kwa muda mfupi najiondokea mapema.
 
hivi picha uliyo iweka kwenye profile yako ndio wewe au ndugu yako?
picha yenyewe ni hii,
Screenshot_20230114-222222.jpg
 
Back
Top Bottom