Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Ilikuwa sahihi kuwaua wasio na hatia Ili kuwamaliza magaidi waliojificha kwa raia.Shida watu wanadhani Marekani ni Mungu. Marekani kauwa wananchi wangapi wasio na hatia! Hapa majuzi imetolewa pendekezo Kuchunguza jeshi la Marekani huko Afghanistan, inasemekana Marekani waliua sana wananchi wasio na hatia.
Watu wangapi wanauwawa Marekani kila siku. Tena polisi wao wanaongoza kwa kuuwa! Bado tunaishangilia Marekani. Watu wanautumwa wa akili. Marekani ilikiri kuwa kumuuwa Gaddafi walifanya kosa. Je niviongozi wangapi Marekani imewauwa ukiwa kinyume nao! Tazama Sadam Hussein, walidanganya anasilaha za maangamizi wakamuuwa.
Kumbuka Makonda liwahi kukanusha kuwa ugaidi uliotangazwa na Ubalozi wa Marekani kuwa utatokea maeneo ya Masaki na Oysterba, haupo na hakuna tishio lolote, wananchi wasiwe na wasiwasi. Hii iliwauma sana wamerekani. Na kweli hakuna ugaidi wa shambulio uliotokea hayo maeneo.
Tusiwaabudu wamarekani.
Unapouwa gaidi unawalinda raia wasio na hatia wasiuwawe.
Lakini hakuuwa raia kama raia kama magaidi wamejichanganya na raia unawapelekea kombora watakufa raia wasio na hatia lakini wataokoa raia wengi wasio na hatia kuuliwa na magaidi.Bila kufanya hivyo ISIS wangekuwa washakula kichwa chako,lakini kwa moto waliopelekewa hata huko kuzimu wanamsimulia ibilisi huku wakijitafutia vibikra 70 sijui Saa hizi wamefika bikra wa ngapi.
Hakuna kundi lolote la kigaidi linalopigania dini wote wale ni wahuni wanaopingana maslai ya dunia kupitia dini Ili kupata wafuasi.
Saddam na gadafi walivuna waliyopanda.