Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

Shida watu wanadhani Marekani ni Mungu. Marekani kauwa wananchi wangapi wasio na hatia! Hapa majuzi imetolewa pendekezo Kuchunguza jeshi la Marekani huko Afghanistan, inasemekana Marekani waliua sana wananchi wasio na hatia.

Watu wangapi wanauwawa Marekani kila siku. Tena polisi wao wanaongoza kwa kuuwa! Bado tunaishangilia Marekani. Watu wanautumwa wa akili. Marekani ilikiri kuwa kumuuwa Gaddafi walifanya kosa. Je niviongozi wangapi Marekani imewauwa ukiwa kinyume nao! Tazama Sadam Hussein, walidanganya anasilaha za maangamizi wakamuuwa.
Kumbuka Makonda liwahi kukanusha kuwa ugaidi uliotangazwa na Ubalozi wa Marekani kuwa utatokea maeneo ya Masaki na Oysterba, haupo na hakuna tishio lolote, wananchi wasiwe na wasiwasi. Hii iliwauma sana wamerekani. Na kweli hakuna ugaidi wa shambulio uliotokea hayo maeneo.
Tusiwaabudu wamarekani.
Ilikuwa sahihi kuwaua wasio na hatia Ili kuwamaliza magaidi waliojificha kwa raia.
Unapouwa gaidi unawalinda raia wasio na hatia wasiuwawe.
Lakini hakuuwa raia kama raia kama magaidi wamejichanganya na raia unawapelekea kombora watakufa raia wasio na hatia lakini wataokoa raia wengi wasio na hatia kuuliwa na magaidi.Bila kufanya hivyo ISIS wangekuwa washakula kichwa chako,lakini kwa moto waliopelekewa hata huko kuzimu wanamsimulia ibilisi huku wakijitafutia vibikra 70 sijui Saa hizi wamefika bikra wa ngapi.
Hakuna kundi lolote la kigaidi linalopigania dini wote wale ni wahuni wanaopingana maslai ya dunia kupitia dini Ili kupata wafuasi.
Saddam na gadafi walivuna waliyopanda.
 
Huyo mganga arudishe hela yake sio kwa utapeli huo

Waganga wana dhambi yaani wa mjini unatapeliwa na wa kijijini
Tena unamfuata mwenyewe [emoji23][emoji23]

Eti wa vijijini washamba subutu
Wa mjini anapigwa na anaweza kuchapiwa pia na mganga akisema dawa lazima nipake huku [emoji23][emoji23]
 
Una ushahidi usifikiri mahakama ni pango la kuwafurahisha wajaa chuki na wivu
Fungueni file muone kazi, na tena watao maliza shughuli hii ni ma- CCM menzake na bashite wala hatakuwa wapinzani au US embassy
 
Chuki zako utakufa mapema. Sasa familia yangu inahusiana nini! Una gubu tu wewe, na mtakoma na roho zenu mbaya za kuombea watu mabaya. Dua ya kuku haimpati mwewe. Huna chochote cha kusema mama akiondoka. Ha ha ha! unajidanganya! Rais ajaye anae mjua ni Mungu tu! wengine mtajipanga lkn haitotokea!
Raisi Ajae ataingia upande usio wao hata kama huyu anamlinda jinai haifi.
Kama alikuahidi atakujapata uongozi tena Ili ajiajiri sahau bora uanze kulima matikiti yatakusaidia.Huyo alishafutwa kwenye ulimwengu wa roho,damu na roho za watu aliowapoteza zipo nae hadi atakapoondoka duniani.
 
Waganga wana dhambi yaani wa mjini unatapeliwa na wa kijijini
Tena unamfuata mwenyewe [emoji23][emoji23]

Eti wa vijijini washamba subutu
Wa mjini anapigwa na anaweza kuchapiwa pia na mganga akisema dawa lazima nipake huku [emoji23][emoji23]
Wanapesa za kutupa Acha waliwe na wajanja.MGAnga ni mfanyabiashara kwake pesa tu
 
Baadhi ya watanzania hasa wa mitandaoni wanapenda viongozi legelege, na hawapendi mtu anaye jiamini. Hawapendi mtu anae wazibia maslahi yao yasi halali. Wamebaki kuongelea watu na umbea, usio wasaidia. Hata umuongelee vibaya huyo Makonda, utafaidika na nini, au utampunguzia nini? Alisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar. Alifanya kwa nafasi yake alofanya. Atabaki katika historia. Kwa sasa anamaisha yake hajaja kwako kukuomba fedha au kulialia. Anaenjoy maisha yake.
Ya Mungu mengi hujui kesho. Makonda bado ni kijana uenda akarudi tena madarakani. Tusiongee sana, tuwe na akiba ya maneno!
Atarudi vipi madarakani wakati ana kesi ya kujibu?
 
Ilikuwa sahihi kuwaua wasio na hatia Ili kuwamaliza magaidi waliojificha kwa raia.
Unapouwa gaidi unawalinda raia wasio na hatia wasiuwawe.
Lakini hakuuwa raia kama raia kama magaidi wamejichanganya na raia unawapelekea kombora watakufa raia wasio na hatia lakini wataokoa raia wengi wasio na hatia kuuliwa na magaidi.Bila kufanya hivyo ISIS wangekuwa washakula kichwa chako,lakini kwa moto waliopelekewa hata huko kuzimu wanamsimulia ibilisi huku wakijitafutia vibikra 70 sijui Saa hizi wamefika bikra wa ngapi.
Hakuna kundi lolote la kigaidi linalopigania dini wote wale ni wahuni wanaopingana maslai ya dunia kupitia dini Ili kupata wafuasi.
Saddam na gadafi walivuna waliyopanda.
Duuh! Hao weusi wanao uliwa Marekani hadi dunia kuandamana! Nao ni magaidi? Hivi Saddam na Gadaf walikuwa magaidi? hama kweli jambo usilo lijua ni sawa na usiku wa giza.
 
Raisi Ajae ataingia upande usio wao hata kama huyu anamlinda jinai haifi.
Kama alikuahidi atakujapata uongozi tena Ili ajiajiri sahau bora uanze kulima matikiti yatakusaidia.Huyo alishafutwa kwenye ulimwengu wa roho,damu na roho za watu aliowapoteza zipo nae hadi atakapoondoka duniani.
Ha ha ha! vijana wanaoishi kwa ramli! Haya piga ramli!
 
Huo utumbo ulioandika hapa kawasimulie wanao kama unao, au peleka kijiweni kwenu
Wewe ni nyumbu na huangalii media yoyote ya kimataifa sababu lugha inakupiga chenga.

Unabaki kukariri BAVICHA ndio maana huyajui ya huko Duniani.
 
Ndumba zinapunguza uwezo wa kufikiri.
Ndumba zikiexpire kifuatacho ni fedheha
 
Duuh! Hao weusi wanao uliwa Marekani hadi dunia kuandamana! Nao ni magaidi? Hivi Saddam na Gadaf walikuwa magaidi? hama kweli jambo usilo lijua ni sawa na usiku wa giza.
Wanauliwa kwa kukaidi amri blacks america akili zao ni kama wazulu.
Mbona afrika wanauliwa wengi pia.
Sadam na Gadafi waliamini Sana ulinzi wa silaha kuliko kuwekeza kwenye mioyo ya watu,kama wangewaunganisha watu wao wasingewageuka.
Ukiwaunganisha watu wako huwezi sambaratika.
 
Hii ndio type ya wasukuma walivyo na watampa kura arudi bungeni na Yale matako yake makubwa.
Hiyo kashifa sasa!
Matako ya mamako mzazi unaweza kuyalinganisha na ya Makonda?

Mi naona matako ya mamako ni makubwa sana kuliko ya Makonda.

Na kwanini uangalie nyuma za wanaume, kwani wewe ni bottom?

Baki kuangalia na kusorolea matako ya mamako kana unapenda huo mchezo.
 
Duuh! Hao weusi wanao uliwa Marekani hadi dunia kuandamana! Nao ni magaidi? Hivi Saddam na Gadaf walikuwa magaidi? hama kweli jambo usilo lijua ni sawa na usiku wa giza.
Ukikaidi amri ya police umetangaza vita na police unakula chuma bila rangi yako Mzungu au mweusi.
 
Wanauliwa kwa kukaidi amri blacks america akili zao ni kama wazulu.
Mbona afrika wanauliwa wengi pia.
Sadam na Gadafi waliamini Sana ulinzi wa silaha kuliko kuwekeza kwenye mioyo ya watu,kama wangewaunganisha watu wao wasingewageuka.
Ukiwaunganisha watu wako huwezi sambaratika.
Ha ha ha!
 
Maisha anayoishi makonda wengine mtayasikia mpaka mnaingia kaburini, jamaa alishatengeneza pesa, status na fame.

Kama una ushahidi wa mabaya yake nendeni mahakamani, maana nchi hii ina vijana wa hovyo, wavivu, na wapenda vitonga. Maisha ni mapambano na kwenye kupambana kuna ups and down.
 
Back
Top Bottom