Wako wapi wale waliokuwa wanatetea umeme wa maji utakuwa bei rahisi?

Wakati ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere unaanza, watetezi wake walikuwa wanatoa mishipa ya shingo kuwa bwawa hilo likianza kazi umeme utashuka bei. Nikawa nasema miaka yote tumekuwa tukitumia umeme wa maji, lakini hatukuwahi kuwa na sifa ya umeme wa bei rahisi, maana sababu ya umeme kuwa ghali hapa nchini haiendani na gharama za uzalishaji, bali sababu nyingine kabisa.

Watetezi wakawa wanasema gharama kubwa haiwezi kupungua kwa kutumia umeme wa mafuta. Wakajiapiza umeme wa maji ukianza automatically bei itashuka.

Wakati umefika na kile nilichosema kinaonekana. Bwawa limeanza kazi, umeme unazidi kupanda bei, na kibaya zaidi bado sio wa uhakika maana mgao bado upo, hata kama sio kwa kiwango kikubwa. Kwenye hili la bei wote ni mashahidi kwa walioanza kununua umeme hivi karibuni. Na hapo bado.

Paskali Mayalla Choicevariables, Lucas Mwashamba
Matapeli hao.Beware of conmen!
 
Kushuka kwa bei ya umeme ndio ulikuwa mpango wa Magufuli..sasa ukituuliza tuko wapi wakati unajua mbeba maono alishakufa na maono, huo ni wehu..ndio maana tulikuwa tukiwaeleza Magu ni one man army mkawa hamtuelewi..haya sasa kawaachia hapo mnabaki mnapiga kelele tu..hilo bwawa si mrefu atapewa mwekezaji toka oman awauzie umeme.
Hakuwaambukiza hayo "maonekano" hata kwa kuwasimulia tu?Acheni visingizio vya marehemu.You are all the total failure and uselesses!
 
umeme ambao una running costs ndogo duniani kama HEP
Kumbe? Sasa mbona miaka yote tunatumia mtera na kidatu etc umeme haukuwahi kuwa bei nafuu? Hoja ni kwamba Tanesco sio kisiwa, ina staff, ina mitambo ya kupoozea umeme, kuna kuchakata umeme wa gesi kinyerezi kule etc sasa zile gharama zinafidiwa na nani? Ndio maana nikashauri hayo yote yatawezekana TANESCO ikibakia na Nyerere peke yake.
comparison to what ? Kununua mafuta na kuwasha generator ?
Ukubwa wa bwawa la Nyerere obviously ina gharama kubwa kuliko mabwawa yote combined. Mfano staff ni wengi zaidi, teknolojia ni kubwa zaidi, so Nyerere is expensive compared to other HEP plants in Tanzania.
kama hivi sasa wananunua mafuta kwa dalali ili wawashe generator ili wakuuzie wewe umeme
Majenereta gani? Kwamba kwa sasa hakuna mabwawa ya maji? Nachojua umeme kwa 90% ni Maji na Gesi sasa kwanini unatolea mfano umeme wa mafuta/Jenereta?
kumbuka all these are under one entity ambayo ni TANESCO.
Exactly my point, kama Tanesco ina miradi 50+ inawezaje kupunguza gharama kwa kuwa na bwawa moja lenye cost kubwa zaidi?
 
Wakati ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere unaanza, watetezi wake walikuwa wanatoa mishipa ya shingo kuwa bwawa hilo likianza kazi umeme utashuka bei. Nikawa nasema miaka yote tumekuwa tukitumia umeme wa maji, lakini hatukuwahi kuwa na sifa ya umeme wa bei rahisi, maana sababu ya umeme kuwa ghali hapa nchini haiendani na gharama za uzalishaji, bali sababu nyingine kabisa.

Watetezi wakawa wanasema gharama kubwa haiwezi kupungua kwa kutumia umeme wa mafuta. Wakajiapiza umeme wa maji ukianza automatically bei itashuka.

Wakati umefika na kile nilichosema kinaonekana. Bwawa limeanza kazi, umeme unazidi kupanda bei, na kibaya zaidi bado sio wa uhakika maana mgao bado upo, hata kama sio kwa kiwango kikubwa. Kwenye hili la bei wote ni mashahidi kwa walioanza kununua umeme hivi karibuni. Na hapo bado.

Paskali Mayalla Choicevariables, Lucas Mwashamba
Mashine iliyowashwa ni moja tulia mitambo yote ikamilike!
 
Kumbe? Sasa mbona miaka yote tunatumia mtera na kidatu etc umeme haukuwahi kuwa bei nafuu?
Moja umezaliwa lini mkuu ? Yale majiko ya umeme na oven ambayo sasa hivi ni mapambo yaliwahi kutumika kila siku; zamani taa 100watts zilikuwa sio taa tuu bali ni heater (yaani hazikuwa efficient) na mtu alikuwa nazo nje kama nne na zinawaka usiku kucha..., hapo utaona kwamba umeme ulikuwa affordable tofauti na sasa....;Na hapo lazima ujue kwamba ilibidi upande sababu ilifika wakati Tanesco walikuwa / wamekuwa kama madalali wananunua kwa kina Dowans ili wakuuzie wewe (kwahio utendaji mbovu ndio muendelezo wa hizi sarakasi)
Hoja ni kwamba Tanesco sio kisiwa, ina staff, ina mitambo ya kupoozea umeme, kuna kuchakata umeme wa gesi kinyerezi kule etc sasa zile gharama zinafidiwa na nani? Ndio maana nikashauri hayo yote yatawezekana TANESCO ikibakia na Nyerere peke yake.
Kwahio bila kuwa na Bwawa hizo gharama zinafidiwa na nani ? Umeme sio kama nyanya unatoa moja, moja unatumia umeme ni kama bomba la maji ukifungulia lazima utumie yale maji au ukiacha yanapotea bure..., hivyo kuwa na capacity mara mbili lazima uongeze watumiaji (watu watumie zaidi) na watu ukiwapunguzia wakatumia wakaacha hata kutumia mkaa au gesi kwa kupikia utasave pesa ya mazingira na kununulia LPG kutoka nje ya nchi Na nishati ikiwa rahisi uzalishaji utaongezeka
Ukubwa wa bwawa la Nyerere obviously ina gharama kubwa kuliko mabwawa yote combined. Mfano staff ni wengi zaidi, teknolojia ni kubwa zaidi, so Nyerere is expensive compared to other HEP plants in Tanzania.
Mkuu unajua economy of scale ? Unapokuwa na kitu kikubwa zaidi gharama per unit inapungua..., sasa hapa issue ni capacity kama power generated itakuwa kubwa zaidi (tutauza mpaka nje nishati is a precious commodity) kama bado hautoshi basi kila chanzo ni cha kutumia na sio kufunga..,, Na kukufahamisha tu teknolojia ya leo unaweza ukatumia staff robo kwa jambo ambalo ni mara mia moja kwa ukubwa kuliko miaka ishirini iliyopita
Majenereta gani? Kwamba kwa sasa hakuna mabwawa ya maji? Nachojua umeme kwa 90% ni Maji na Gesi sasa kwanini unatolea mfano umeme wa mafuta/Jenereta?
Wewe umesema uendeshaji wa Bwawa ni expensive nimekuuliza in comparison to what ? Kununua mafuta na kuwasha generator ?
Exactly my point, kama Tanesco ina miradi 50+ inawezaje kupunguza gharama kwa kuwa na bwawa moja lenye cost kubwa zaidi?
Your missing the point Lengo sio mashindano ya Tanesco ina miradi mingapi (kwanza hii miradi ni vyanzo vya upigaji)

Issue ni capacity sasa kama single handed Bwawa linaweza likatoa capacity zaidi ya capacity ya vyanzo vingine vyote ambavyo vipo to date..., ni zuzu pekee ndiye atakayeona this does not make practical sense....

Now as kwanini bei haishuki nadhani hilo ndio swali la msingi na utagundua jibu lake ni wapigaji
 
Tatizo lako ni kuwa kila kilichoanzishwa na JPM, kwa vile ulimchukia huwa unapenda kukikosoa na kuweka lawama kwake ingawa hatupo naye
Ni kweli nilikuwa simpendi Magufuli, hilo halina mjadala. Ila hoja yangu ya leo haina mahusiano ya kumpenda au kumchukia bali kuweka facts mezani. Labda useme kwakuwa mimi nilimchukia Magufuli, basi hata ww unanichikia. Hata hivyo sitaki unipende, nipe majibu kwanini umeme unazidi kupanda bei na sio kushuka?
 
Kwani nchi ni mtu au mipango ya serekali? Au huyo aliyeanzisha ujenzi alikuwa anajenga hilo bwawa kwa mshahara wake, na angeliendesha kwa mtazamo wake binafsi?

Tubakie hapo hapo unapotaka kujifichia. Aliyenunua ndege ndio huyohuyo aliyeanzisha ujenzi wa hilo bwawa, mbona nauli ya ndege zake haikuwa ndogo kama fastjet, ili tuone angekuwepo bei ya umeme ingeshuka?
Maswali hayo matatu yangewezekana angekuwa hai, nina imani angekuwa hai nchi yetu tungeitazama kwa namna tofauti sana.
 
Utashuka tu bei, vipuli bei ghali mno na marejesho tunapeleka kwa dola sasa dola imeadimika sababu ya vita vya ukraine na vipuli tunauziwa kwa dola. Ila tutembee kifua mbele, sisi ni matajiri la si vyo tusingekopesheka.
Demand inazidi kuongezeka kila siku watu wanavuta Umeme,ni asilimia 42 ya Watanzania ndio wenye huduma ya Umeme wa Gridi.
 
Wako wapi waliokuwa wanasema bwawa la umeme halitajengwa? Nyumbu wote wameufyata
Mimi sikusema halitajengwa, nilihoji kwanini trilioni 6+ ziingizwe kwenye umeme wa maji kupata 2,115m, badala nusu ya hizo kuingizwa kwenye umeme wa gas ambapo tayari bomba la gasi liko hapa Dar? Je wale waliokuwa wanasema tatizo la umeme wa maji ni mabadaliko ya tabia nchi walienda wapi, na wale waliokuwa wanatuimbisha kama watoto wadogo kuwa tutaingia kwenye uchumi wa gas waliishia wapi? Je wale waliosema umeme wa wa gas ni ghali, ila wa maji utakuwa nafuu wako wapi sasa? Inshort nilitaka kujua umeme wa gas v/s hydro nani mkweli?

Sasa ukitaka kuja na ushabikia ujue hoja zangu zilikuwa zipi, na uweke utetezi wako kwenye hilo.
 
Angekuwepo mzalendo lazima umeme ungeshuka bei.Tatizo tumekabidhi walevi wa madaraka wasio na huruma kwa wananchi. umeme ambao upo Kwa Sasa ni zaidi ya mahitaji yetu lakini Kwa kuwa wanaosinamia ni majuha hayaoni sababu y a kupunguza bei zaidi ya kuwauzia wa Kenya, wazambia na waganda.tumerithisha Nchi Kwa washamba wa mwana kwerekwe.
 
Aliyeanzisha ujenzi wa bwawa la Nyerere Ili Tanzania iwe na umeme wa uhakika na bei nafuu ameshakufa

Hawa viongozi waliobakia hayo mambo hawayajui Wala hawakuwahi kuwaza vichwani mwao

Hivyo swali lako hauwezi kupata majibu labda Magufuli afufuke
Huyo aliyeanzisha hilo bwawa, ndio aliyeleta ndege, alikuta fastjet ikiwa na bei ndogo. Mbona hizo ndege nauli zake zilikuwa juu, ili tuseme angekuwepo yeye bei ya umeme ingeshuka pia? Na kwa maelezo yako haya inaonekana serekali haina mipango, bali inaendeshwa na matakwa ya rais aliyeko madarakani.
 
Subira tena na sio umeme kushuka bei kama watetezi wa bwawa la kufua umeme walivyokuwa wanatuimbisha kama wajinga?!

Etwege igunduge jingalao

Wakati ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere unaanza, watetezi wake walikuwa wanatoa mishipa ya shingo kuwa bwawa hilo likianza kazi umeme utashuka bei. Nikawa nasema miaka yote tumekuwa tukitumia umeme wa maji, lakini hatukuwahi kuwa na sifa ya umeme wa bei rahisi, maana sababu ya umeme kuwa ghali hapa nchini haiendani na gharama za uzalishaji, bali sababu nyingine kabisa.

Watetezi wakawa wanasema gharama kubwa haiwezi kupungua kwa kutumia umeme wa mafuta. Wakajiapiza umeme wa maji ukianza automatically bei itashuka.

Wakati umefika na kile nilichosema kinaonekana. Bwawa limeanza kazi, umeme unazidi kupanda bei, na kibaya zaidi bado sio wa uhakika maana mgao bado upo, hata kama sio kwa kiwango kikubwa. Kwenye hili la bei wote ni mashahidi kwa walioanza kununua umeme hivi karibuni. Na hapo bado.

Paskali Mayalla Choicevariables, Lucas Mwashamba
Hivi mbowe

Watanzania tunahitaji umeme wa uhakika kabala ya Bei rahisi
 
Mimi sikusema halitajengwa, nilihoji kwanini trilioni 6+ ziingizwe kwenye umeme wa maji kupata 2,115m, badala nusu ya hizo kuingizwa kwenye umeme wa gas ambapo tayari bomba la gasi liko hapa Dar? Je wale waliokuwa wanasema tatizo la umeme wa maji ni mabadaliko ya tabia nchi walienda wapi, na wale waliokuwa wanatuimbisha kama watoto wadogo kuwa tutaingia kwenye uchumi wa gas waliishia wapi? Je wale waliosema umeme wa wa gas ni ghali, ila wa maji utakuwa nafuu wako wapi sasa? Inshort nilitaka kujua umeme wa gas v/s hydro nani mkweli?

Sasa ukitaka kuja na ushabikia ujue hoja zangu zilikuwa zipi, na uweke utetezi wako kwenye hilo.

Kama bomba la gesi tayari lipo dar ulikuwa unataka nusu ya hizo hela ziingizwe kwenye gesi kutafuta nini?

Nyumbu hamjawahi kujitambua hata kwa dakika moja tu
 
Tatizo lako ni kuwa kila kilichoanzishwa na JPM, kwa vile ulimchukia huwa unapenda kukikosoa na kuweka lawama kwake ingawa hatupo naye
Hawa ndo chawa wa mbowe kichwani mwao wanachujua ni mwamba tuvushe au mbowe atawale milele
 
Kama bomba la gesi tayari lipo dar ulikuwa unataka nusu ya hizo hela ziingizwe kwenye gesi kutafuta nini?

Nyumbu hamjawahi kujitambua hata kwa dakika moja tu
Tupate umeme mwingi zaidi ya 2,115m, na umeme wa uhakika maana umeme wa maji tuliambiwa tatizo ni mabadiliko ya tabia nchi. Chama kilichosifia kutotumia umeme wa maji na kuhamia kwenye gas, ndio kilichosifia maji tena bila kujali mabadaliko ya tabia nchi. Kama una akili hoja yangu iko wazi.
 
Hivi mbowe

Watanzania tunahitaji umeme wa uhakika kabala ya Bei rahisi
Nimecheka kwa nguvu, ambao kwenye gas tusingeweza kuupata umeme wa uhakika, ila kwenye maji tungepata. Lakini hata hivyo mbona bado unakatika hovyo?
 
Back
Top Bottom