Naomba nikujibu.....nimeandika hayo kutokana Na mawili,mosi kutokana Na ahadi ya rais aliyepita Na wapiga zumari wake kwenye mradi ule ,PiLi kutokana Na vyanzo tulivyoachana navyo Na hiki tunachotumia kwa sasaNaomba nikuulize swali, kwa nn unasema umeme ulipaswa kushtuka Bei?
Mnapenda kujifanya mnajua kila kituNimecheka kwa nguvu, ambao kwenye gas tusingeweza kuupata umeme wa uhakika, ila kwenye maji tungepata. Lakini hata hivyo mbona bado unakatika hovyo?
Naomba nikujibuNaomba nikujibu.....nimeandika hayo kutokana Na mawili,mosi kutokana Na ahadi ya rais aliyepita Na wapiga zumari wake kwenye mradi ule ,PiLi kutokana Na vyanzo tulivyoachana navyo Na hiki tunachotumia kwa sasa
Kuna vitu vingi nimeona huelewi kuhusu uzalishaji wa umemeNimecheka kwa nguvu, ambao kwenye gas tusingeweza kuupata umeme wa uhakika, ila kwenye maji tungepata. Lakini hata hivyo mbona bado unakatika hovyo?
Kuhusu lini tumeachana navyo siwezi kujua ila chanzo kama iptl Na wenzake na umeme wa majenereta kwenye baadhi ya mikoa ambayo imeingizwa kwenye grid ya taifaNaomba nikujibu
Mradi bado haijakamilika namaanisha kwa asilimia 100, megawatt 235 zilizoingizwa wakati ule ilikua sababu ya dharula iliyokuwepo ya mgao wa umeme
Lazima mjue nn kilizungumzwa, umeme wa maji ni cheap kwenye uzalishaji. Kuhusu Bei ya unit hiyo ni kitu kingine
Pili, unasema kuna vyanzo tumeachana navyo. Mfano ni chanzo kipi tumeachana nacho na tumeachana nacho lini?
Ilikuwa lini, au mwaka gani wakati unatoa huo mchango wako!Kuna uzi mmoja nilichangia kuwaambia Watanzania wajiandae kulipia umeme zaidi.
February 27 2024.Ilikuwa lini, au mwaka gani wakati unatoa huo mchango wako!
Tuliachana na iptl kabla ya bwawa, na hoja hapa ilikua kwa nn pamoja na bwawa kukamilika bado umeme haujashuka. Nadhani sasa tunakubaliana issue sio bwawa.Kuhusu lini tumeachana navyo siwezi kujua ila chanzo kama iptl Na wenzake na umeme wa majenereta kwenye baadhi ya mikoa ambayo imeingizwa kwenye grid ya taifa
Kwa kuachana Na vyanzo hivyo ni wazi kuwa tulipunguza gharama za uzalishaji hivyo ingepaswa kupunguza bei ya units kwa wateja.Haileti maana kuuza kwa bei kubwa ilhali umezalisha kwa bei pungufu huo ni unyonyaji
Na mtambo haukuwashwa kwa sababu ya Ile dharura labda mwenzetu unasehemu tofauti unapookota hizo habari lkn sie wazalendo tulitangaziwa kuwa muda wa kuwashwa ulikuwa umefika japo hata huo muda waliowasha sio muda waliokuwa wanatuahidi mara kwa mara kukamilika kwa bwawa
Kwa nn msisubiri mradi wote uishe na megawatt zote ziingizwe gridi ya taifa ili zikapunguze uzalishaji wa vyanzo vingine, ndio mje na hizi hoja.February 27 2024.
Link iko hapa.
Post in thread 'Bwawa la Nyerere lishaanza kazi, bei za units za umeme zitashuka lini?' Bwawa la Nyerere lishaanza kazi, bei za units za umeme zitashuka lini?
Eltwege😅😅😅Wakati ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere unaanza, watetezi wake walikuwa wanatoa mishipa ya shingo kuwa bwawa hilo likianza kazi umeme utashuka bei. Nikawa nasema miaka yote tumekuwa tukitumia umeme wa maji, lakini hatukuwahi kuwa na sifa ya umeme wa bei rahisi, maana sababu ya umeme kuwa ghali hapa nchini haiendani na gharama za uzalishaji, bali sababu nyingine kabisa.
Watetezi wakawa wanasema gharama kubwa haiwezi kupungua kwa kutumia umeme wa mafuta. Wakajiapiza umeme wa maji ukianza automatically bei itashuka.
Wakati umefika na kile nilichosema kinaonekana. Bwawa limeanza kazi, umeme unazidi kupanda bei, na kibaya zaidi bado sio wa uhakika maana mgao bado upo, hata kama sio kwa kiwango kikubwa. Kwenye hili la bei wote ni mashahidi kwa walioanza kununua umeme hivi karibuni. Na hapo bado.
Paskali Mayalla Choicevariables, Lucas Mwashamba
Mitambo imewaka mitano bado minne.......iko jumla Tisa.Kwa nn msisubiri mradi wote uishe na megawatt zote ziingizwe gridi ya taifa ili zikapunguze uzalishaji wa vyanzo vingine, ndio mje na hizi hoja.
Kwa nn hii haraka ikiwa bado mradi haujaisha kwa 100% na megawatt zote hazijaingia gridi ya taifa?
Hautokaa ushuke.....kwa mikopo ile na hio Exchange rate.Utashuka tu bei, vipuli bei ghali mno na marejesho tunapeleka kwa dola sasa dola imeadimika sababu ya vita vya ukraine na vipuli tunauziwa kwa dola. Ila tutembee kifua mbele, sisi ni matajiri la si vyo tusingekopesheka.
Aliyekuwa ameahidi kushusha bei ya umeme bwawa la Rufiji likianza uzalishaji alikuwa Magufuli. Warithi wake hata ile gharama ya kuunganishiwa umeme ya sh 27,000 wameifuta, sasa hivi ni zaidi ya sh 200,000.February 27 2024.
Link iko hapa.
Post in thread 'Bwawa la Nyerere lishaanza kazi, bei za units za umeme zitashuka lini?' Bwawa la Nyerere lishaanza kazi, bei za units za umeme zitashuka lini?
Mradi unaisha lini turudibtena hapa?Kwa nn msisubiri mradi wote uishe na megawatt zote ziingizwe gridi ya taifa ili zikapunguze uzalishaji wa vyanzo vingine, ndio mje na hizi hoja.
Kwa nn hii haraka ikiwa bado mradi haujaisha kwa 100% na megawatt zote hazijaingia gridi ya taifa?
Ufike mahala tukubaliane au ukubali .....msingi wa hoja upo wazi kwa nini bei haishuki hata baada ya bwawa kuànza uzalishaji......mi nikiongeza pia mbali ya kuànza uzalishaji pia kuna baadhi ya gharama zimepungua kutokana Na kuachana Na vyanzo vingine nilivyokuwa vinasababisha ukubwa wa uzalishaji Na umekiri kuwa ni kweli hivyo vyanzo vimepungua hususani Iptl na wenzake pia umeme wa kutumia jeneretaTuliachana na iptl kabla ya bwawa, na hoja hapa ilikua kwa nn pamoja na bwawa kukamilika bado umeme haujashuka. Nadhani sasa tunakubaliana issue sio bwawa.
Pia unasema tumeachana na umeme wa majenereta? Ukweli bado tunatumia mafuta kuzalisha umeme japo kwa asilimia chache. Na pia bado tunanunua umeme kutoka nchi jirani mfano uganda na zambia
Tumeachana na hivyo vyanzo? Unajua mbadala wake ulikua ni upi? Na je unajua cost ya uzalishaji per unit Kati ya gesi na hivyo vyanzo? Hapa ulipaswa kujua matumizi ya gesi yameongezeka sana kuzalisha umeme hivyo ungejua unit cost kwenye gesi ipoje, kumbuka gesi tanesco hanunui direct kutoka kwa makampuni(wawekezaji), tpdc ananunua kutoka kwa makampuni, alafu tpdc anaiuzia tanesco
Mtambo haukuwashwa sababu ya ile dharula? Jibu linaweza kuwa ndiyo au siyo
Kuwa promised mradi utaisha siku flani sio sababu maana mradi unaweza kuchelewa kwa sababu mbalimbali. Mtambo namba 9 uliwashwa ukaingiza megawatt 235 gridi ya taifa lakini huenda ungekua bado hujawashwa kama ile dharula isingekuwepo
Kupunguza gharama za umeme ni kitu unrealistic. Tanzanians (home users) are not paying the market rate to begin with, electricity is heavily subsidized by industrial users and the remnants of a socialist state.Aliyekuwa ameahidi kushusha bei ya umeme bwawa la Rufiji likianza uzalishaji alikuwa Magufuli. Warithi wake hata ile gharama ya kuunganishiwa umeme ya sh 27,000 wameifuta, sasa hivi ni zaidi ya sh 200.000.
We need to learn from Kenya.
Tumeliwa sana na makampuni yaliyoingia mikataba ya kuzalisha umeme.Mradi unaisha lini turudibtena hapa?
Weka tarehe turudi.
You cannot continuously support low production costs (and low bills to customers) when production involves factors that use forex, especially when the Tanzanian shilling is falling against the US dollar.
You cannot continuously subsidize the home user by charging more to industrial users when industrial production is falling.
At some point, Tanzanians will have to pay more for electricity, the cost of electricity for home users in Tanzania has been artificially low for so long, this is unsustainable.
The thing to do is not to artificially lower the cost of electricity. The thing to do is to create an economy with a more effective productivity, generate more income and give people the purchasing power to purchase electricity at realistic market rates.
Mradi utaisha kwa 100%, alafu utaingizwa gridi ya taifa utaenda kureplace baadhi ya uzalishaji ikiwemo mafuta na gesi, hapo ndio hili swali linapaswa kuja. Sasa hivi bado mapemaMitambo imewaka mitano bado minne.......iko jumla Tisa.
Etwege et al
Sasa ilikuwaje ukahoji bila kujua mradi unakamilika lini? Ilipaswa ujue.radi utapokamilika ndio maswali yako yafuateMradi unaisha lini turudibtena hapa?
Weka tarehe turudi.
You cannot continuously support low production costs (and low bills to customers) when production involves factors that use forex, especially when the Tanzanian shilling is falling against the US dollar.
You cannot continuously subsidize the home user by charging more to industrial users when industrial production is falling.
At some point, Tanzanians will have to pay more for electricity, the cost of electricity for home users in Tanzania has been artificially low for so long, this is unsustainable.
The thing to do is not to artificially lower the cost of electricity. The thing to do is to create an economy with a more effective productivity, generate more income and give people the purchasing power to purchase electricity at realistic market rates.