Wako wapi wale waliokuwa wanatetea umeme wa maji utakuwa bei rahisi?

Naomba nikuulize swali, kwa nn unasema umeme ulipaswa kushtuka Bei?
Naomba nikujibu.....nimeandika hayo kutokana Na mawili,mosi kutokana Na ahadi ya rais aliyepita Na wapiga zumari wake kwenye mradi ule ,PiLi kutokana Na vyanzo tulivyoachana navyo Na hiki tunachotumia kwa sasa
 
Nimecheka kwa nguvu, ambao kwenye gas tusingeweza kuupata umeme wa uhakika, ila kwenye maji tungepata. Lakini hata hivyo mbona bado unakatika hovyo?
Mnapenda kujifanya mnajua kila kitu
 
Naomba nikujibu.....nimeandika hayo kutokana Na mawili,mosi kutokana Na ahadi ya rais aliyepita Na wapiga zumari wake kwenye mradi ule ,PiLi kutokana Na vyanzo tulivyoachana navyo Na hiki tunachotumia kwa sasa
Naomba nikujibu
Mradi bado haijakamilika namaanisha kwa asilimia 100, megawatt 235 zilizoingizwa wakati ule ilikua sababu ya dharula iliyokuwepo ya mgao wa umeme

Lazima mjue nn kilizungumzwa, umeme wa maji ni cheap kwenye uzalishaji. Kuhusu Bei ya unit hiyo ni kitu kingine. Mfano ww una mashine ya unga inayotumia umeme na inakugharimu sh 10000 kuzalisha gunia 1, mwingine anatumia mashine ya mafuta kuzalisha unga na anatumia 20000 kuzalisha gunia moja. Sasa mtauza shillingi ngapi kilo moja ya unga hiyo inakua suala lingine. Je iliongelewa uzalishaji au hadi Bei ya unit? Kama iliongelewa pia bei ya unit basi kwa sasa ni mapema kuanza kuulizia sababu mradi bado haujakamilika

Pili, unasema kuna vyanzo tumeachana navyo. Mfano ni chanzo kipi tumeachana nacho na tumeachana nacho lini?
 
Nimecheka kwa nguvu, ambao kwenye gas tusingeweza kuupata umeme wa uhakika, ila kwenye maji tungepata. Lakini hata hivyo mbona bado unakatika hovyo?
Kuna vitu vingi nimeona huelewi kuhusu uzalishaji wa umeme
 
Naomba nikujibu
Mradi bado haijakamilika namaanisha kwa asilimia 100, megawatt 235 zilizoingizwa wakati ule ilikua sababu ya dharula iliyokuwepo ya mgao wa umeme

Lazima mjue nn kilizungumzwa, umeme wa maji ni cheap kwenye uzalishaji. Kuhusu Bei ya unit hiyo ni kitu kingine

Pili, unasema kuna vyanzo tumeachana navyo. Mfano ni chanzo kipi tumeachana nacho na tumeachana nacho lini?
Kuhusu lini tumeachana navyo siwezi kujua ila chanzo kama iptl Na wenzake na umeme wa majenereta kwenye baadhi ya mikoa ambayo imeingizwa kwenye grid ya taifa

Kwa kuachana Na vyanzo hivyo ni wazi kuwa tulipunguza gharama za uzalishaji hivyo ingepaswa kupunguza bei ya units kwa wateja.Haileti maana kuuza kwa bei kubwa ilhali umezalisha kwa bei pungufu huo ni unyonyaji

Na mtambo haukuwashwa kwa sababu ya Ile dharura labda mwenzetu unasehemu tofauti unapookota hizo habari lkn sie wazalendo tulitangaziwa kuwa muda wa kuwashwa ulikuwa umefika japo hata huo muda waliowasha sio muda waliokuwa wanatuahidi mara kwa mara kukamilika kwa bwawa
 
Tuliachana na iptl kabla ya bwawa, na hoja hapa ilikua kwa nn pamoja na bwawa kukamilika bado umeme haujashuka. Nadhani sasa tunakubaliana issue sio bwawa.

Pia unasema tumeachana na umeme wa majenereta? Ukweli bado tunatumia mafuta kuzalisha umeme japo kwa asilimia chache. Na pia bado tunanunua umeme kutoka nchi jirani mfano uganda na zambia

Tumeachana na hivyo vyanzo? Unajua mbadala wake ulikua ni upi? Na je unajua cost ya uzalishaji per unit Kati ya gesi na hivyo vyanzo? Hapa ulipaswa kujua matumizi ya gesi yameongezeka sana kuzalisha umeme hivyo ungejua unit cost kwenye gesi ipoje, kumbuka gesi tanesco hanunui direct kutoka kwa makampuni(wawekezaji), tpdc ananunua kutoka kwa makampuni, alafu tpdc anaiuzia tanesco

Mtambo haukuwashwa sababu ya ile dharula? Jibu linaweza kuwa ndiyo au siyo
Kuwa promised mradi utaisha siku flani sio sababu maana mradi unaweza kuchelewa kwa sababu mbalimbali. Mtambo namba 9 uliwashwa ukaingiza megawatt 235 gridi ya taifa lakini huenda ungekua bado hujawashwa kama ile dharula isingekuwepo
 
Kuna waliokuwa wanasema kuna uhaba wa umeme, hawo je? Na wengine walisema kuna uhaba wa sukari, Luhaga Mpina kasema ni urongo na Tundu Lissu akamsapoti. Kilichopo, CHADEMA wanasema hakipo. Kisichokuwapo CHADEMA wanasema kipo.
 
Wakati ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere unaanza, watetezi wake walikuwa wanatoa mishipa ya shingo kuwa bwawa hilo likianza kazi umeme utashuka bei. Nikawa nasema miaka yote tumekuwa tukitumia umeme wa maji, lakini hatukuwahi kuwa na sifa ya umeme wa bei rahisi, maana sababu ya umeme kuwa ghali hapa nchini haiendani na gharama za uzalishaji, bali sababu nyingine kabisa.

Watetezi wakawa wanasema gharama kubwa haiwezi kupungua kwa kutumia umeme wa mafuta. Wakajiapiza umeme wa maji ukianza automatically bei itashuka.

Wakati umefika na kile nilichosema kinaonekana. Bwawa limeanza kazi, umeme unazidi kupanda bei, na kibaya zaidi bado sio wa uhakika maana mgao bado upo, hata kama sio kwa kiwango kikubwa. Kwenye hili la bei wote ni mashahidi kwa walioanza kununua umeme hivi karibuni. Na hapo bado.

Paskali Mayalla Choicevariables, Lucas Mwashamba
Eltwege😅😅😅
 
Kwa nn msisubiri mradi wote uishe na megawatt zote ziingizwe gridi ya taifa ili zikapunguze uzalishaji wa vyanzo vingine, ndio mje na hizi hoja.

Kwa nn hii haraka ikiwa bado mradi haujaisha kwa 100% na megawatt zote hazijaingia gridi ya taifa?
Mitambo imewaka mitano bado minne.......iko jumla Tisa.

Etwege et al
 
Utashuka tu bei, vipuli bei ghali mno na marejesho tunapeleka kwa dola sasa dola imeadimika sababu ya vita vya ukraine na vipuli tunauziwa kwa dola. Ila tutembee kifua mbele, sisi ni matajiri la si vyo tusingekopesheka.
Hautokaa ushuke.....kwa mikopo ile na hio Exchange rate.
 
Kwa nn msisubiri mradi wote uishe na megawatt zote ziingizwe gridi ya taifa ili zikapunguze uzalishaji wa vyanzo vingine, ndio mje na hizi hoja.

Kwa nn hii haraka ikiwa bado mradi haujaisha kwa 100% na megawatt zote hazijaingia gridi ya taifa?
Mradi unaisha lini turudibtena hapa?

Weka tarehe turudi.

You cannot continuously support low production costs (and low bills to customers) when production involves factors that use forex, especially when the Tanzanian shilling is falling against the US dollar.

You cannot continuously subsidize the home user by charging more to industrial users when industrial production is falling.

At some point, Tanzanians will have to pay more for electricity, the cost of electricity for home users in Tanzania has been artificially low for so long, this is unsustainable.

The thing to do is not to artificially lower the cost of electricity. The thing to do is to create an economy with a more effective productivity, generate more income and give people the purchasing power to purchase electricity at realistic market rates.
 
Tuliachana na iptl kabla ya bwawa, na hoja hapa ilikua kwa nn pamoja na bwawa kukamilika bado umeme haujashuka. Nadhani sasa tunakubaliana issue sio bwawa.

Pia unasema tumeachana na umeme wa majenereta? Ukweli bado tunatumia mafuta kuzalisha umeme japo kwa asilimia chache. Na pia bado tunanunua umeme kutoka nchi jirani mfano uganda na zambia

Tumeachana na hivyo vyanzo? Unajua mbadala wake ulikua ni upi? Na je unajua cost ya uzalishaji per unit Kati ya gesi na hivyo vyanzo? Hapa ulipaswa kujua matumizi ya gesi yameongezeka sana kuzalisha umeme hivyo ungejua unit cost kwenye gesi ipoje, kumbuka gesi tanesco hanunui direct kutoka kwa makampuni(wawekezaji), tpdc ananunua kutoka kwa makampuni, alafu tpdc anaiuzia tanesco

Mtambo haukuwashwa sababu ya ile dharula? Jibu linaweza kuwa ndiyo au siyo
Kuwa promised mradi utaisha siku flani sio sababu maana mradi unaweza kuchelewa kwa sababu mbalimbali. Mtambo namba 9 uliwashwa ukaingiza megawatt 235 gridi ya taifa lakini huenda ungekua bado hujawashwa kama ile dharula isingekuwepo
Ufike mahala tukubaliane au ukubali .....msingi wa hoja upo wazi kwa nini bei haishuki hata baada ya bwawa kuànza uzalishaji......mi nikiongeza pia mbali ya kuànza uzalishaji pia kuna baadhi ya gharama zimepungua kutokana Na kuachana Na vyanzo vingine nilivyokuwa vinasababisha ukubwa wa uzalishaji Na umekiri kuwa ni kweli hivyo vyanzo vimepungua hususani Iptl na wenzake pia umeme wa kutumia jenereta

Iptl kuwa aliacha kuzalisha kabla ya bwawa,sawa ila pia tambua kuwa amepunguza mzigo kwetu Na kwa maana yako ni kuwa kama angekuwepo gharama zingekuwa juu zaidi ya sasa

Umeme wa majenereta,mkoa ninaotoka ni mmoja wapo wa mkoa tulioachana Na matumizi ya jenereta Na kwa hiyo huko kuachana Na matumizi ya jenereta kwa kiasi kidogo ilitakiwa ilete nafuu kwetu watumiaji hata kwa kiasi hicho kidogo Na sio kuongezea mzigo kwetu

Imejengeka miongoni mwetu kuwa Mtu binafsi akiuza kwa kukomoa kwa kuweka faida kubwa kuliko gharama zake za uzalishaji tunamuona beberu ila kwa serikali kutuuzia kwa mtindo huo huo tunatakiwa tuone ni sawa sawia
 
Aliyekuwa ameahidi kushusha bei ya umeme bwawa la Rufiji likianza uzalishaji alikuwa Magufuli. Warithi wake hata ile gharama ya kuunganishiwa umeme ya sh 27,000 wameifuta, sasa hivi ni zaidi ya sh 200.000.

We need to learn from Kenya.
Kupunguza gharama za umeme ni kitu unrealistic. Tanzanians (home users) are not paying the market rate to begin with, electricity is heavily subsidized by industrial users and the remnants of a socialist state.

Haya malalamiko ni kwa sababu Watanzania hawajazoea kulipa gharama halisi za umeme.
 
Mradi unaisha lini turudibtena hapa?

Weka tarehe turudi.

You cannot continuously support low production costs (and low bills to customers) when production involves factors that use forex, especially when the Tanzanian shilling is falling against the US dollar.

You cannot continuously subsidize the home user by charging more to industrial users when industrial production is falling.

At some point, Tanzanians will have to pay more for electricity, the cost of electricity for home users in Tanzania has been artificially low for so long, this is unsustainable.

The thing to do is not to artificially lower the cost of electricity. The thing to do is to create an economy with a more effective productivity, generate more income and give people the purchasing power to purchase electricity at realistic market rates.
Tumeliwa sana na makampuni yaliyoingia mikataba ya kuzalisha umeme.
 
Mitambo imewaka mitano bado minne.......iko jumla Tisa.

Etwege et al
Mradi utaisha kwa 100%, alafu utaingizwa gridi ya taifa utaenda kureplace baadhi ya uzalishaji ikiwemo mafuta na gesi, hapo ndio hili swali linapaswa kuja. Sasa hivi bado mapema
 
Mradi unaisha lini turudibtena hapa?

Weka tarehe turudi.

You cannot continuously support low production costs (and low bills to customers) when production involves factors that use forex, especially when the Tanzanian shilling is falling against the US dollar.

You cannot continuously subsidize the home user by charging more to industrial users when industrial production is falling.

At some point, Tanzanians will have to pay more for electricity, the cost of electricity for home users in Tanzania has been artificially low for so long, this is unsustainable.

The thing to do is not to artificially lower the cost of electricity. The thing to do is to create an economy with a more effective productivity, generate more income and give people the purchasing power to purchase electricity at realistic market rates.
Sasa ilikuwaje ukahoji bila kujua mradi unakamilika lini? Ilipaswa ujue.radi utapokamilika ndio maswali yako yafuate
 
Back
Top Bottom