Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

😅😅 Yale bwana ndio mshangazi, ( mshangazi Yale yalikuwa submitted kwetu ) ila haya mshangazi ya siku hizi yanawafanya vijana vibaya na kuwafanya watumwaa. Mishangazi inakuwa ikuogope sio mishangazi ya now day inawapiga makofi kabisa vijana
😅Sifa ya shangazi lazima awe na manyonyo makubwa
 
Enzi hizo sie tunakula mshangazi ya Magomeni.. ndio yalikuwa mshangazi.. sio Hawa mshangazi wenu feki
Umenikumbusha nyimbo ya nyambizi Dully Sykes anamuimba nyambizi demu wa miaka 40 duly hapo ana miaka 25😅shangazi likamwambia "dully kumbuka kiumri bado upo chini" dully akamwambia "nyambizi nionee huruma nishachoka kupiga puchu"

Afu kuna vesi shangazi likamwambia
"Aya dully Twende chumbani ukanienzi😅"
 
Back
Top Bottom