Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Nahisi ndio chanzo kinachopelekekea wanawake hasa 25-early 30s kupenda zaidi ku date wanaume wa kwenye 40s/mid 50s...
Cause wanaume katika umri huo nadhani sababu ni wengi wanakuwa financially wapo stable, wapo matured na wana experience ya maisha... sex kwao si kipaumbele sana... i think so lakini..
Wazee wa 40s ni wazee wa kimoko chali
 
Alafu utaikumbuka kpind hcho binti wa miaka 22 yan unakuta utepe ni pure kabsa mambo swafi sahv baba break ya kwanza tunduni mwa pochi manyoya za Mabinti wa sasa ni break pumbu mzee 😅🙌
Kitoto kidogo lakini shughuli yake sukari inaweza kupanda mzee wangu...hahahh
 
Mzee mwenzangu unafeli wapi lakini, navipenda kweli,halafu vinapenda watu wazima

Raha yake kwanza kuna heshima unapata kama mzee halafu havina mambo mengi sijui kodi ya nyumba au gari inataka mafuta au bla bla kibao

Ila ndio kukuambukiza ngoma ni dakika sifuri tu,kuna kimoja tulipima fresh tu ila baadae napata data zake sio nzur,ikabidi nikapime tena alhamdulillah nipo poa
Sivikubali hata, vinaleta stress tu, kuna lifestyle ukiwa navyo lazima uishi na mimi siwezi kurudisha mshale wa saa nyuma, kuna stories mtakngea na utaona kabisa hakuna match hapa, bora walau 95 kurudi nyuma.
 
Nahisi ndio chanzo kinachopelekekea wanawake hasa 25-early 30s kupenda zaidi ku date wanaume wa kwenye 40s/mid 50s...
Cause wanaume katika umri huo nadhani sababu ni wengi wanakuwa financially wapo stable, wapo matured na wana experience ya maisha... sex kwao si kipaumbele sana... i think so lakini..
Ni fact.

Ukivuka 40 vipaumbele vinabadilika kabisa. Mfano kama mimi nilianza kulinganisha kila matumizi ya anasa na matumizi muhimu. Hapo niljua rasmi sasa kuna level nimeivuka. Kwa sasa nathamini kupumzika na familia kuliko kutoka out kwa anasa.
 
Wazee wa 40s ni wazee wa kimoko chali
Hapana, wanaume wa umri huo wanaweza kuhimili muda mrefu tendo kwa sababu wana experience, sometimes sex sio issue ya umri na experience pia.. kikubwa ni afya njema.

Vijana wa umri mdogo upwiru umewajaa, akigusa kidogo tu wazungu... huo ni ukweli...
ERoni atanisaidia hilo..
 
Ni fact.

Ukivuka 40 vipaumbele vinabadilika kabisa. Mfano kama mimi nilianza kulinganisha kila matumizi ya anasa na matumizi muhimu. Hapo niljua rasmi sasa kuna level nimeivuka. Kwa sasa nathamini kupumzika na familia kuliko kutoka out kwa anasa.
Haya mabadiliko huwa yanakuja automatically, huwezi kujilazimisha, ni maajabu sana.
 
Sivikubali hata, vinaleta stress tu, kuna lifestyle ukiwa navyo lazima uishi na mimi siwezi kurudisha mshale wa saa nyuma, kuna stories mtakngea na utaona kabisa hakuna match hapa, bora walau 95 kurudi nyuma.
Kwanza mnapata wapi mda wa kula nae story hadharani? Story ni kwenye simu na unajifanya uko bize

Mkikutana ni location, sasa na mvi zangu hizi ntakaa nako wapi tupige story
 
Sivikubali hata, vinaleta stress tu, kuna lifestyle ukiwa navyo lazima uishi na mimi siwezi kurudisha mshale wa saa nyuma, kuna stories mtakngea na utaona kabisa hakuna match hapa, bora walau 95 kurudi nyuma.
Story zipi man mbona hapa tunabonga tu fresh na tunaelewana na mimi Niko under 36 mzazi
 
Hapana, wanaume wa umri huo wanaweza kuhimili muda mrefu tendo kwa sababu wana experience, sometimes sex sio issue ya umri na experience pia.. kikubwa ni afya njema.

Vijana wa umri mdogo upwiru umewajaa, akigusa kidogo tu wazungu... huo ni ukweli...
ERoni atanisaidia hilo..
Ni sahihi kabisa ndio maana tunasisitizana tupige mazoezi wazee, piga tizi kula vizur mbona vitoto vya 2000 vinakuona kama kijana tu kwa bed

Sasa endekeza pombe na kaa kizembe utafeli tu
 
K
Ni sahihi kabisa ndio maana tunasisitizana tupige mazoezi wazee, piga tizi kula vizur mbona vitoto vya 2000 vinakuona kama kijana tu

Sasa endekeza pombe na kaa kizembe utafeli tu
Katika kitu mkuu ambacho mimi kilinikataa ni gambe Ila mtihani upo kwenye mademu napenda😅vibinti vynyw huwa vinaniita baba mdogo

Ila jambo la msingi n kuzingatia afya kama unavosema mlo pia mimi nimewekeza zaidi kweny protein na vitamin A na C basi
 
Baba mdogo umetisha sana nawe huna hiyana unavila tu😂😂
 
Back
Top Bottom