Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Uzee unaanza 40's mzee na tunakula vibint ambavyo ni nusu ya umri wetuYan mtu wa miaka 38 mpaka 49 kuita Mvi ndo mnauita uzee😅hivi mlishamuona mzee makamba nyinyi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzee unaanza 40's mzee na tunakula vibint ambavyo ni nusu ya umri wetuYan mtu wa miaka 38 mpaka 49 kuita Mvi ndo mnauita uzee😅hivi mlishamuona mzee makamba nyinyi
Wazee wa 40s ni wazee wa kimoko chaliNahisi ndio chanzo kinachopelekekea wanawake hasa 25-early 30s kupenda zaidi ku date wanaume wa kwenye 40s/mid 50s...
Cause wanaume katika umri huo nadhani sababu ni wengi wanakuwa financially wapo stable, wapo matured na wana experience ya maisha... sex kwao si kipaumbele sana... i think so lakini..
Kitoto kidogo lakini shughuli yake sukari inaweza kupanda mzee wangu...hahahhAlafu utaikumbuka kpind hcho binti wa miaka 22 yan unakuta utepe ni pure kabsa mambo swafi sahv baba break ya kwanza tunduni mwa pochi manyoya za Mabinti wa sasa ni break pumbu mzee 😅🙌
😅😅 Ile kinyamwezi kabisa..Na miwani flani ikibidi na gari..
Sivikubali hata, vinaleta stress tu, kuna lifestyle ukiwa navyo lazima uishi na mimi siwezi kurudisha mshale wa saa nyuma, kuna stories mtakngea na utaona kabisa hakuna match hapa, bora walau 95 kurudi nyuma.Mzee mwenzangu unafeli wapi lakini, navipenda kweli,halafu vinapenda watu wazima
Raha yake kwanza kuna heshima unapata kama mzee halafu havina mambo mengi sijui kodi ya nyumba au gari inataka mafuta au bla bla kibao
Ila ndio kukuambukiza ngoma ni dakika sifuri tu,kuna kimoja tulipima fresh tu ila baadae napata data zake sio nzur,ikabidi nikapime tena alhamdulillah nipo poa
Ni fact.Nahisi ndio chanzo kinachopelekekea wanawake hasa 25-early 30s kupenda zaidi ku date wanaume wa kwenye 40s/mid 50s...
Cause wanaume katika umri huo nadhani sababu ni wengi wanakuwa financially wapo stable, wapo matured na wana experience ya maisha... sex kwao si kipaumbele sana... i think so lakini..
Lakini kudate 40s kwa 40s ni matumizi mabaya ya rasilimaliKitoto kidogo lakini shughuli yake sukari inaweza kupanda mzee wangu...hahahh
Hapana, wanaume wa umri huo wanaweza kuhimili muda mrefu tendo kwa sababu wana experience, sometimes sex sio issue ya umri na experience pia.. kikubwa ni afya njema.Wazee wa 40s ni wazee wa kimoko chali
Haya mabadiliko huwa yanakuja automatically, huwezi kujilazimisha, ni maajabu sana.Ni fact.
Ukivuka 40 vipaumbele vinabadilika kabisa. Mfano kama mimi nilianza kulinganisha kila matumizi ya anasa na matumizi muhimu. Hapo niljua rasmi sasa kuna level nimeivuka. Kwa sasa nathamini kupumzika na familia kuliko kutoka out kwa anasa.
Kwanza mnapata wapi mda wa kula nae story hadharani? Story ni kwenye simu na unajifanya uko bizeSivikubali hata, vinaleta stress tu, kuna lifestyle ukiwa navyo lazima uishi na mimi siwezi kurudisha mshale wa saa nyuma, kuna stories mtakngea na utaona kabisa hakuna match hapa, bora walau 95 kurudi nyuma.
Haya mabadiliko huwa yanakuja automatically, huwezi kujilazimisha, ni maajabu sana.
Story zipi man mbona hapa tunabonga tu fresh na tunaelewana na mimi Niko under 36 mzaziSivikubali hata, vinaleta stress tu, kuna lifestyle ukiwa navyo lazima uishi na mimi siwezi kurudisha mshale wa saa nyuma, kuna stories mtakngea na utaona kabisa hakuna match hapa, bora walau 95 kurudi nyuma.
Ni sahihi kabisa ndio maana tunasisitizana tupige mazoezi wazee, piga tizi kula vizur mbona vitoto vya 2000 vinakuona kama kijana tu kwa bedHapana, wanaume wa umri huo wanaweza kuhimili muda mrefu tendo kwa sababu wana experience, sometimes sex sio issue ya umri na experience pia.. kikubwa ni afya njema.
Vijana wa umri mdogo upwiru umewajaa, akigusa kidogo tu wazungu... huo ni ukweli...
ERoni atanisaidia hilo..
Lakini mzee mwenzangu gari bovu husukumwa na Gari zima mzeeKwanza mnapata wapi mda wa kula nae story hadharani? Story ni kwenye simu na unajifanya uko bize
Mkikutana ni location, sasa na mvi zangu hizi ntakaa nako wapi tupige story
Kabisa Mkuu, it was best the experience.Good old days and memories mzee...
Anazunguzmia ni bora wanawake wa 95 kurudi nyuma... sio wa 2000sStory zipi man mbona hapa tunabonga tu fresh na tunaelewana na mimi Niko under 36 mzazi
Kabisa mkuu...Ni sahihi kabisa ndio maana tunasisitizana tupige mazoezi wazee, piga tizi kula vizur mbona vitoto vya 2000 vinakuona kama kijana tu kwa bed
Sasa endekeza pombe na kaa kizembe utafeli tu
Katika kitu mkuu ambacho mimi kilinikataa ni gambe Ila mtihani upo kwenye mademu napenda😅vibinti vynyw huwa vinaniita baba mdogoNi sahihi kabisa ndio maana tunasisitizana tupige mazoezi wazee, piga tizi kula vizur mbona vitoto vya 2000 vinakuona kama kijana tu
Sasa endekeza pombe na kaa kizembe utafeli tu
Baba mdogo umetisha sana nawe huna hiyana unavila tu😂😂K
Katika kitu mkuu ambacho mimi kilinikataa ni gambe Ila mtihani upo kwenye mademu napenda😅vibinti vynyw huwa vinaniita baba mdogo
Ila jambo la msingi n kuzingatia afya kama unavosema mlo pia mimi nimewekeza zaidi kweny protein na vitamin A na C basi
😅Mimi kijana mdogo sana miaka 35 acha nijichukulie madini kwenu babu zanguBaba mdogo umetisha sana nawe huna hiyana unavila tu😂😂