Wakorea wanne kwenye kikao cha Watanzania 20

Sema wakorea wanne na machawa kibao
 
Mawazo yako ni potofu, ni lazima nikueleze hivyo.
"Chstian" has nothing to do with economic systems. You're lurching into bigotry for your own reasons.

Hata hujui kwamba hiyo unayoiita western kwamba maendeleo yao mengi yametokana na wizi, siyo wa raslimali pekee, kama utumwa, bali wizi wa vumbuzi maeneo mbalimbali duniani?

Sikiliza, huu ni mjadala tofauti kabisa na haya yanayojadiliwa kwenye mada hii; na sielewi kwa nini wewe umeamua tu ku-insert' kitu kisicho husiana kabisa na mada yenyewe.

Mara zote naamini,' generalization' za aina yako hii ni za kipuuzi na kijinga kabisa.

Najuwa utataka kuendelea kujibishana nami juu ya hili. Sina muda wa kupoteza na 'bigot' aliye wazi kama wewe.

Lakini..., huenda tukakutana siku nyingine humu JF, kwa sababu sina simile kabisa na watu wa aina yako.

Mwisho: usnihusishe na hiyo dini unayo-'disparage', hapa. Hainihusu.
 

basi kuna mengi hauelewi kuhusu economic system inyoongoza Dunia ya leo, labda nikuulize kwa nini zinaitwa western countries (Japan ikiwemo) ? anzia hapo kama unaweza kutenganisha Christianity na Western Civilization basi kuna mengi hauelewi …
 
basi kuna mengi hauelewi kuhusu economic system inyoongoza Dunia ya leo, labda nikuulize kwa nini zinaitwa western countries (Japan ikiwemo) ? anzia hapo kama unaweza kutenganisha Christianity na Western Civilization basi kuna mengi hauelewi …
Mkuu 'Kijakazi', mimi nilishapita hatua hii uliyomo wewe muda kitambo sana Ni kipi cha kujivunia hapo tena!
.
Nimekwisha kueleza, hili tuliachie hapa kwa leo. Kama utapenda mjadala juu yake, tutakutana siku nyingine.
Hivi hata huoni unavyobadili hii mada na kuingiza mambo yasiyohusiana nayo kabisa?
Sasa unatoka kwenye ukristu/uislam, unabadilika na kufanya 'western' versus what, Islam, Buddism or whatever?

Na hata haikuhangaishi akili yako kabisa kwamba hiyo 'western' unayoizungumzia is in decline?

Bila shaka maana yako ya 'western' unayolenga ni "capitalism", au siyo? Sasa piga akili yako vizuri utazame ni nchi gani duniani inayo-practice' pure capitalism.
Hapana, usinieleze mimi kwa leo, kwa sababu sitakujibu tena hapa.
 
Kweli kabisa,wewe shule ulienda kusomea ujinga hakika.
Unawezaje kuona ufahari binadamu kupigiwa goti na binadamu mwenzake!!??
Utumwa wa kiakili.
Utumwa wa kidini.
Utumwa wa "uarabu".
Unafahamu maana ya "serikali ina mkono mrefu"?

Kama huelewi Kiswahili ni tatizo lako siyo langu.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Yalikua mashindano ya IQ?
 
0652627771 Athumani hutumia fursa hizo kuchangisha watu pesa kwa kisingizio cha kuwafanyia watu mipango wasafiri nje, wajanja janja wameanza kujipenyeza huko wawe makini na safari hizo
 
Ila mdau wa thread. ETI WAKOREA WANNE TU WAMECHUKUWA BAHARI YETU DHIDI YA WADANGANYIKA 20! Hahahaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…