Wakorea wanne kwenye kikao cha Watanzania 20

Acha uongo mbusi wewe.
KOREA KUSINI SENSA YA MWISHO KUFANYIKA IMETOA MAJIBU KUWA KUNA WAISLAM TAKRIBAN LAKI TATU.
NA KATIKA HAO LAKI TATU LAKI MOJA NZIMA NI WAZAWA YANI WAISLAM ASILI YA KIKOREA.
NA MISIKITI IPO PIA.
 
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30...
Hapo January anawaza Simba tu, Mwigulu anawaza Singida fountain gate unategemea wataongea nini na hao wa Korea? ni klazima ubebe mawaziri na wajumbe hata 50 ili upate akili za kuokoteza okoteza.
 
Kwani kikao cha Mh. Raisi kulikuwa cha siku ngapi, na cha hao wasanii lilikuwa cha siku ngapi?
 
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30...
Naomba nitoe ufafanuzi kidogo kutokana na ufahamu wangu juu ya hili. Hicho kilikuwa kikao cha directors wa Korea Kusini na wadau wa sanaa nchini kuanzia viongozi, waigizaji hadi watayarishaji wa maigizo na tamthilia .

Kwa msiofahamu hao ni directors wakubwa sana, hata kuwapata tu hao wanne ni bahati nasibu maana hao watu wana ratiba ngumu na hawapatikani kirahisi.

Naamini ya kwamba wadau hao wa sanaa kutoka nchini walipata nafasi hiyo kupitia kuwa ziarani na Rais, tofauti na hapo ingekuwa vigumu.

Msione soko la sanaa ya Korea limeteka dunia, hao watu mnaowaona hapo ni miongoni mwa walioiinua sanaa yao. Wasiwasi wangu ni matunda yatakayotakana na kikao hicho, wabongo tunajuana hatujawahi kuwa serious.

Mdakuzi
 
Naomba nitoe ufafanuzi kidogo kutokana na ufahamu wangu juu ya hili. Hicho kilikuwa kikao cha directors wa Korea Kusini na wadau wa sanaa nchini kuanzia viongozi, waigizaji hadi watayarishaji wa maigizo na tamthilia...
Basi watakuwa wameenda kujadili kuhusu tamthilia za kikorea.
Mmeona sasa. Vijana msipende kudandia picha na kuzipa maneno. Mama alibeba wasanii (kama anavyobeba wafanyabiashara) ili wakajifunze kwa wenzao. Sanaa ni moja ya vyanzo vya ajira kwa vijana.

Bado siafiki hii tabia ya kusafiri na lundo la watu kwa kutumia hela za walipa kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…