Wakristo 70 wamekutwa wamekatwa vichwa kanisani DRC

Nipe ayah inayohalalisha walichokifanya , dhumuni la kuvamia ilikuwa n nn kama unajua au ulikuwa bado mdogo ?

watu wanaotaka Ranson ndio wanapigania dini?
 
Unamkumbuka maremu Rogo wa Mombasa? usiseme tu islamophobe. Hili lidunia ndivyolilivyo. Maisha yaendelee tu
 
Dini inapokuwa mzigo mzito
 
Mipango ya wazungu tu kuchafuwa Uislamu, na makafiri ya bongo yalivyokuwa hata hayawezi kufikiri yanakurupuka tu, kama mpaka sasa hujafahamu juu ya mchezo huu basi huna budi kurudi shule. Hivi juzi wabunge nchini Marekani wanaeleza uchafu wa USAID kupatia pesa vikundi vya kigaidi kama Al-Qaida na ISIS zaidi ya USD Million 679 Mwaka 2024. na kilasiku haya yanaelezwa lakin still mijitu hailewi. Nchi kama Congo na Uislamu wapi na wapi ?
 
Siku wakiingia hapa Tanzania hutosikia CHADEMA wala CCM. Hakutakuwa na kidumu chama wala peeples, zitatawala Allah Akbar kila kona.
Kama historia yako hukuwahi pata hata B ya Mathematics basi usiwe una comment kwenye mada kama hizi, Inahitaji Magenius tu kuelewa huu mchezo mchafu.
Hutokuja skia vitu kama hivi Tanzania kamwe mpaka siku Tanzania tunguwe uwepo wa massive natural resource zenye thamani kubwa na zisizo naujanja ujanja
 
Well said
 
Kumbe hata huelewi unachoandika, na source zako za kubumba, hapo ni kuwa USAID walitoa msaada kwa waislam kwa ajili ya shule zao, kwa upumbavu wao wakazihamishia hizo hela kwenye shughuli za ugaidi, who is fool now?
Ushaona Msaada Tanzania wa Madrasa ama Unajitoa tu ufahamu na wewe, tena cash na sio kwa ajili ya Vitabu ama infrastructure nyengine.
 
Sina makala hata moja ya kitu chochote, ukitaka speech za Isis za scholars wa Kiisilamu zimejaa kibao Isis wanajulikana kama Mbwa wa motoni, sijawahi ona scholar wa Kiisilamu anaye wasuport. Na nani kakuambia ni waisilamu? Wengi hata sio waisilamu kabisa.
 
Fikiria haya kwanza: pesa wanatoa wapi ? Je,wao ni asilimia ngapi ya waislamu wote duniani ,ISIS na makundi mengine wameua sana waislamu kuliko jamii nyingine kama hujui...Onesha wapi mtume aliamrisha kutumia bunduki .🤣🤣
Kiujumla waislamu ni watu makatili wenye roho mbaya mnooo
 
Yes, hao ni affiliated na Al Qaeda.
Wakati mwingine muwe wakweli hivi vita ya maswahaba baada ya kifo cha Mtume ilifadhiliwa na Marekani ? wanaopigana wakigombea misikiti huku kwetu wapo funded na Israel.. ifike mahali mkubali tu kuwa Uislamu haujajengwa kwenye misingi ya amani ..
 
Wakati mwingine muwe wakweli hivi vita ya maswahaba baada ya kifo cha Mtume ilifadhiliwa na Marekani ? wanaopigana wakigombea misikiti huku kwetu wapo funded na Israel.. ifike mahali mkubali tu kuwa Uislamu haujajengwa kwenye misingi ya amani ..
Vita vya masahaba na ugomvi wa msikitini unahusiana nini na kinachuzungumzwa hapa?
 
Maistadh wa Tandika,Umurushaka, Kyaka,Mpiga Miti, ....wakiona mtu kavaa Kanzu na takbiri wanajua huyu ni mwenzao ...hata akiiba! Unakumbuka suala la Uwekazaji w DP jinsi ambavyo kuna Waislam walikiwa wanalilitetea kipumbavu!
 
Aisee ni hatari sana huko DRC damu zisizo na hatia zinamwagika tu bila sababu za msingi.
Tukiwambia vita si nzur haichagui utasikia no reform no election that is after Math ya vita inagusa kila engle ya kijamii pole zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…