Wakristo huko Syria wana hali mbaya sana! Ulimwengu umekaa kimya

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
875
Reaction score
633
Wakristo huko Syria sasa hivi wanakabiliwa na mauaji ya kutisha baada ya utawala Miya wa Syria kuamua kuwaua watu ambao wao wanawaita Makafiri.

Mauaji hayo yanawalenga waliokuwa waliokuwa wanaunga utawala wa Assad na wote waliowaita wao MAKAFIRI kufikia leo hii bado sijaona Maandamano kutoka nchi yoyote duniani hata Umoja wa Mataifa hawajasema lolote kwa wahanga hao.

GK4ypGVWAAA0IeM.jpeg
 
Wakristo huko Syria sasa hivi wanakabiliwa na mauaji ya kutisha baada ya utawala Miya wa Syria kuamua kuwaua watu ambao wao wanawaita Makafiri. Mauaji hayo yanawalenga waliokuwa waliokuwa wanaunga utawala wa Assad na wote waliowaita wao MAKAFIRI kufikia leo hii bado sijaona Maandamano kutoka nchi yoyote duniani hata Umoja wa Mataifa hawajasema lolote kwa wahanga hao.

View: https://x.com/realmaalouf/status/1898184133681332448?s=61

Unafiki wa dunia, ngoja wauliwe wapalestina wawili tu, watu hata wasio wapalestina wako mabarabarani, lakini makumi ya wasyria wako kimya! Hapo wakiskia neno wanaouawa ni makafiri wanafurahi kama vile siyo watu. Hovyo sana.
 
Syria imegeuka vita ya kikabila ya kikanda.

Hata wale waliyomuunga mkono rais Bashar Al Assad wanauliwa haijalishi ni dini ipi unafahamu hilo?

Wengi wao wamekimbilia kwenye base ya kijeshi ya Urusi na wamepewa hifadhi na bado wengine wanatiririka mpaka muda huu.
 
HTS wana wakati mgumu sana kwenye kutawala na ubaya Syria yupo Turkey,Iran,U.S,Israel,Russia kila mmoja ana maslahi yake na kuna vikundi vingi sana Syria vya utawala wa sasa na uliopita na hata vile vilivyo kuwepo utawala uliopita na havikuwa madarakani.

Juzi HTS wamefanyiwa Ambush wameuaawa nao sasa wamechanganyikiwa wanaua huko latakia kwa mauaji ya kutisha.

Syria ni kama Libya ila kwa Syria naona hatari zaidi
 
Syria imekaa eneo la kimkakati kwa siasa za mabwana wakubwa.

Ile nchi itamegeka, na licha ya kumegeka sidhani kama itatulia.

Kwa sasa mauaji wanayoyafanya HTS yamevuka ubinadamu. Nimeiona video moja wanainyanyasa mpaka maiti.
 
Wakristo huko Syria sasa hivi wanakabiliwa na mauaji ya kutisha baada ya utawala Miya wa Syria kuamua kuwaua watu ambao wao wanawaita Makafiri. Mauaji hayo yanawalenga waliokuwa waliokuwa wanaunga utawala wa Assad na wote waliowaita wao MAKAFIRI kufikia leo hii bado sijaona Maandamano kutoka nchi yoyote duniani hata Umoja wa Mataifa hawajasema lolote kwa wahanga hao.

View: https://x.com/realmaalouf/status/1898184133681332448?s=61

Ndio nyie mlishangilia kuanguka Kwa ASSAD. Sasa endeleeni na shangwe sisi tumekaa paleeeee,,,
 
Back
Top Bottom