Wakristo kimavazi tunazidi kupotea, Mavazi yaliyoshauriwa kwenye maandiko yamepuuzwa, Pongezi kwa Waislam kuendela kuvaa mavazi yanayositiri

M
Soma kuhusu mkakati wa malikia wa kuzimu dhidi ya kanisa utajua mengi kwann wakristo wameacha maagizo jinsi ya kuvaa walivyoelekezwa.
Malkia wa kuzimu ndio Nani?you people hebu tuweni serious kidogo
 
Mavazi huanza kumtambulisha
Mtu ni wa tabia gani kabla hata ya vipimo vingine kutumika!
 
M

Malkia wa kuzimu ndio Nani?you people hebu tuweni serious kidogo
Ni mmoja wa watenda Kazi wakuu wa serikali ya shetani,yule anaesimamia mambo yote yanayoendelea duniani ikiwemo mitindo ya miziki, fasheni ,urembo na mavazi Ili kumtoa mwanadamu kwenye asili yake. Yule anaewatokea watu akijifanya ni bikira Maria ndie aliyewatokea watoto wa Fatimah na anaemtokea mtoto Yunis wa Mara.
Wanaoenda kuzimu kusaka utajiri, uongozi, umaarufu wanamjua ndie wa kwanza kukutana nae.
 
Inawezekana umewaonea baadhi ila kiukweli binti wa kiislamu wanavutia sana na ni wasafi sana
 
Umalaya unaitwa fashion siku hizi.
 
Wewe Bible uliletewa na mzungu na Quran uliletewa na muarabu, jiulize kabla yao bibi zako na babu zako walikua wanavaaje kabla ya uwepo wa viwanda vya nguo? Msijipumbaze kiasi hicho,
Kwahiyo sasa hivi hatuna viwanda vya nguo ?
 
Neno horny ndiyo mbadala wa neno malaya siyo ??
 
Duh, mkuu ila kuna 'principoz'...au?
 
Kulete
Wewe Bible uliletewa na mzungu na Quran uliletewa na muarabu, jiulize kabla yao bibi zako na babu zako walikua wanavaaje kabla ya uwepo wa viwanda vya nguo? Msijipumbaze kiasi hicho,
Kuletewa sio ishu mkuu, ishu ni ustaarabu

Unaona siku hizi wanaume wanatoboa pua masikio na kusuka unadhani ni sawa pia?
 
Kwa hiyo wale wanaobaka mbuzi, kuku, Nguruwe nk nao wanavutiwa na maumbo ya hao wanyama?
Narudia binadamu umeumbwa na utashi au what we call the will in English….kusingizia wengine kwenye mapungufu yako huko ni kujidanganyaaa

Sio kusingizia, basi kama ni sawa mbona watu hawatembei uchi?

Na hayo mavazi kwa nn sehemu zingine hayavaliwi?


Unavovaa ndio hivo kichwani mwako ulivo

Ukiona mtu anavaa ovyo na kichwani mwake ni empte!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…