Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupromote ngonoje wanavaa uchi uchi kumaanisha nini?
miaka ya mkoloni nasasa nisawa kwenye kuvaa?Kuusitiri mwili hakuna usasa
Unahitaji ukombozi kifikra.Lakini wale hadi leo awakuwaka tamaa,awakujua kuhusu dhambi, walikuwa gizani.
Huwezi chukua mavazi ya kahaba kanisani
Malkia wa kuzimu ndio Nani?you people hebu tuweni serious kidogoSoma kuhusu mkakati wa malikia wa kuzimu dhidi ya kanisa utajua mengi kwann wakristo wameacha maagizo jinsi ya kuvaa walivyoelekezwa.
Mavazi ni kipimo cha heshima na utimamu wa akili.miaka ya mkoloni nasasa nisawa kwenye kuvaa?
Kujisitiri ni kipimo cha utimilivu wa akili , yeyeto asiyeuheshimu mwili wake hawezi kuwa na heshima kwa yeyetoUnahitaji ukombozi kifikra.
Ni mmoja wa watenda Kazi wakuu wa serikali ya shetani,yule anaesimamia mambo yote yanayoendelea duniani ikiwemo mitindo ya miziki, fasheni ,urembo na mavazi Ili kumtoa mwanadamu kwenye asili yake. Yule anaewatokea watu akijifanya ni bikira Maria ndie aliyewatokea watoto wa Fatimah na anaemtokea mtoto Yunis wa Mara.M
Malkia wa kuzimu ndio Nani?you people hebu tuweni serious kidogo
Umalaya unaitwa fashion siku hizi.View attachment 2427340
Mavazi ya kusitiri hayana Dini, Iwe na ukristo ama Uislamu yamewekewa msisitizo lakini inaonekana wazi kabisa wakristo wanapuuza maandiko kwa kuendelea kuyapa thamani mavazi yasiyositiri.
View attachment 2427341
Mimi binafsi ni mkristo nashukuru navyozaliwa haya mambo ya utandawazi wa mavazi yalikuwa bado hayajaathiri wanawake wa kikristo, tangu nizaliwe sijawai kuona mama Yangu katoka nje kavaa suruali (vazi la mwanaume) inayomchresha mapaja, Makalio na hips .... SIJAWAI !!! Ni jambo la kujivunia kwakweli, Hebu vuta picha Mama yako anatok nje vazi limemchora mpododo, steki, mapaja, hips, n.k.
View attachment 2427343
Shida inakuja siku hizi, Suruali, vimini na magauni marefu anayobana yenye mpasuko yamekuwa kama vazi rasmi,, ni kawaida sana hata mtoto kujua ukubwa wa makalio ya mama yake, hips zake, mapaja, n.k. Hii ni aibu sana.
View attachment 2427344View attachment 2427345
Biblia ilishakataza kuvaa mavazi ya wanaume hizi suruali, kila mtu kapewa free will a kutaka kufanya atakacho lakini ni muhimu kuangalia impact, Binti kavaa jeans imembana imemchora kilakitu, Haya ni majaribu ya wazi wazi kwa wanaume walioumbwa kuyatamani maungo hayo, Na ndio maana hata mwanaume akigeuka ni vile alivyoumbwa luyatamani mango hayo.
View attachment 2427346
Biblia ilishaweka wazi wanawake waae mavazi yanayositiri lakini kinachoendelea ni kinyume, sketi zinazovaliwa zinaishia magotini kuyafanya mapaja yaonekane mwanamke akikaa. Kuna sketi hizi ndefu kama za harusini lakini zimembana sana mwanamke hazina tena heshima maana zinaachia hips wazi wazi bila kusitiri.
View attachment 2427347
Kwahiyo sasa hivi hatuna viwanda vya nguo ?Wewe Bible uliletewa na mzungu na Quran uliletewa na muarabu, jiulize kabla yao bibi zako na babu zako walikua wanavaaje kabla ya uwepo wa viwanda vya nguo? Msijipumbaze kiasi hicho,
Neno horny ndiyo mbadala wa neno malaya siyo ??SEMA Mimi nachukulia mwanamke anayevaa mavazi ya ivyo nyumba za ibada most of the time anakuwa horny.....anapenda sex kupitiliza KWAIYO KUVAA ivyo ni apate attention watu wamtongoze especially wale wanaovaa vile vijidude shanga sio shanga cheni sio cheni unakuta kimemmbana shingoni kama mbwa jike anayetafuta mbwa dume
Hata wakivaa magunia kama wewe ni mtu wa tamaa utawatamani tu. By the way hizi story za sijui ukristo hivi, sijui ukristo vile zimezidi sana humu JF, by the way sisi tunaoufahamu na tuliofundishwa na kuuelewa ukristo hatubabaishwi na thread zenu za kung’ata na kupuliza!
Nategemea kuona thread yako ya kusema umeamua kuhamia upande wa pili soon!😂
Kuletewa sio ishu mkuu, ishu ni ustaarabuWewe Bible uliletewa na mzungu na Quran uliletewa na muarabu, jiulize kabla yao bibi zako na babu zako walikua wanavaaje kabla ya uwepo wa viwanda vya nguo? Msijipumbaze kiasi hicho,
Kwa hio hata kukeketa ni culture sio??View attachment 2427396
This is Africa
View attachment 2427398
This is Africa
View attachment 2427399
This is Africa
View attachment 2427400
This is Africa
View attachment 2427401
We have our culture, this is Africa
Hakuna tatizo mkuuMimi ni mkristo nilieleta maada hii kulalamikia muenendo wa hali ya kimavazi.
Kuna tatizo ??
Kwa hiyo wale wanaobaka mbuzi, kuku, Nguruwe nk nao wanavutiwa na maumbo ya hao wanyama?
Narudia binadamu umeumbwa na utashi au what we call the will in English….kusingizia wengine kwenye mapungufu yako huko ni kujidanganyaaa
This is africa and that is why we are underdevelopedView attachment 2427396
This is Africa
View attachment 2427398
This is Africa
View attachment 2427399
This is Africa
View attachment 2427400
This is Africa
View attachment 2427401
We have our culture, this is Africa