Wakristo kimavazi tunazidi kupotea, Mavazi yaliyoshauriwa kwenye maandiko yamepuuzwa, Pongezi kwa Waislam kuendela kuvaa mavazi yanayositiri

Wakristo kimavazi tunazidi kupotea, Mavazi yaliyoshauriwa kwenye maandiko yamepuuzwa, Pongezi kwa Waislam kuendela kuvaa mavazi yanayositiri

nipo pemben apa nasikiliza wanavyopromote ukahaba hawa jamaa
 
Picha zingethibitisha dini yao kama wangekuwa Kanisani. Aki na Ashura pia wanapiga mibano wakiwa bara.
 
Sio kusingizia, basi kama ni sawa mbona watu hawatembei uchi?

Na hayo mavazi kwa nn sehemu zingine hayavaliwi?

Unavovaa ndio hivo kichwani mwako ulivo

Ukiona mtu anavaa ovyo na kichwani mwake ni empte!
Asante mkuu, ipo hiviii….Watu hawatembei uchi sababu watu Sio mahayawani (watu wana conscious). Nadhani unafahamu uchi wa mwanaume na mwanamke Upo wap na ni sehemu zipi!

Suala la mwanamke sijui kuvaa suruali kuwa defined as kuvaa uchi huko ni kutowatendea haki.

Pia naamini unaelewa mapaja ya mwanamke na miguu ya mwanamke hayawi defined as uchi mkuu!
 
Huko kwa Mswati sijui kama biblia ilifika
 
Watu wanaenda kanisani lakini utazani wanaenda night clubs [emoji848][emoji848]

Mbaya zaidi wachungaji hawakemei hata kidogo siku hizi.

Wanachojali wao siku hizi ni sadaka tu basi [emoji848]

Vaa uvaavyo tutakuelewa muhimu kwetu ni sadaka kwanza.
Kanisa lipi mliwaona wamevaa km wanaenda night clubs? Ninakosali siwaoni ndo mana nimehoji. Muwe mnataja na kanisa na eneo liliko ili nasi tuendage tukasafishe macho kwa hao waumini wavaao km waenda night clubs. Bila kutaja ni porojo tu umeongea hapa
 
Ni mmoja wa watenda Kazi wakuu wa serikali ya shetani,yule anaesimamia mambo yote yanayoendelea duniani ikiwemo mitindo ya miziki, fasheni ,urembo na mavazi Ili kumtoa mwanadamu kwenye asili yake. Yule anaewatokea watu akijifanya ni bikira Maria ndie aliyewatokea watoto wa Fatimah na anaemtokea mtoto Yunis wa Mara.
Wanaoenda kuzimu kusaka utajiri, uongozi, umaarufu wanamjua ndie wa kwanza kukutana nae.
Naona umeamua kupuyanga kidogo una uhakika fatima ndo hyo alitokea? Thibitisha
 
Naona umeamua kupuyanga kidogo una uhakika fatima ndo hyo alitokea? Thibitisha
Bikira Maria baada ya kumaliza jukumu lake alienda mbinguni na ajawahi rudi tena duniani,na wala Hakuna maagizo popote tunapoagizwa kumuomba au kumsujudia wala kupitishia maombi yake kwake.Agizo la dini sio agizo la kiMungu.Anaejifanya bikira Maria na kuwahadaa watu jini wa kike. Huwezi elewa kama una macho.
 
Asante mkuu, ipo hiviii….Watu hawatembei uchi sababu watu Sio mahayawani (watu wana conscious). Nadhani unafahamu uchi wa mwanaume na mwanamke Upo wap na ni sehemu zipi!

Suala la mwanamke sijui kuvaa suruali kuwa defined as kuvaa uchi huko ni kutowatendea haki.

Pia naamini unaelewa mapaja ya mwanamke na miguu ya mwanamke hayawi defined as uchi mkuu!

Madesigner wengi wakubwa ni wanaume ndo maana mavaz ya kike yanachora mwili wa mwanamke ili kuwa kiburdisho

Wote tunajua wanaume wa hovyo hupigia miluzi wanawake waliovaa nusu uchi kuliko waliovaa baibui!
 
Kanisa lipi mliwaona wamevaa km wanaenda night clubs? Ninakosali siwaoni ndo mana nimehoji. Muwe mnataja na kanisa na eneo liliko ili nasi tuendage tukasafishe macho kwa hao waumini wavaao km waenda night clubs. Bila kutaja ni porojo tu umeongea hapa

Wewe nisute uwezavyo lakini huo ndio ukweli wa jambo hilo.
Au labda nikuulize Kwani unaandika Kwa kutokea wapi labda?
 
Kanisa lipi mliwaona wamevaa km wanaenda night clubs? Ninakosali siwaoni ndo mana nimehoji. Muwe mnataja na kanisa na eneo liliko ili nasi tuendage tukasafishe macho kwa hao waumini wavaao km waenda night clubs. Bila kutaja ni porojo tu umeongea hapa
feel free church.jpg
 
si kwa mkristo, si kwa muislam, si kwa..
Uvaaji wa hovyo unachochea tamaa, hata wewe wajua.
Mkuu mpenda ngono ni mpenda ngono tuu.

Mjini huko watu wanavaa hovyo mno, kwahiyo wewe kila ukiona mtu kakuonesha mapaja unamtamani??

Ukienda beach, unawaka tamaa tu??
 
Mkuu mpenda ngono ni mpenda ngono tuu.

Mjini huko watu wanavaa hovyo mno, kwahiyo wewe kila ukiona mtu kakuonesha mapaja unamtamani??

Ukienda beach, unawaka tamaa tu??
na mijini ndipo kuna ukahaba, kwani ulifikiri ni wapi?
 
Kumtamani mwanamke alovaa uchi ni mindsets ya Mwanaume mwenyewe.

Wanaume halisi wanaojielewa hawachanganyikiwi kwa kuona mwanamke alovaa mavazi ya kikahaba.

Mwanaume halisi atamdharau mwanamke wa hivyo na kumchukulia kuwa ni kahaba na kwa hiyo ni “cha wote”

Na hii wazazi na walezi tunapaswa kuwafundisha watoto wa kiume tangu wakiwa wadogo.

Sababu Ulimwengu umefaa fakes nyingi siku hizi hivyo mtu lazima ujifunze kuepuka kuharibikiwa mambo yako ya maisha ya sasa na badae.

Hata kama utasema nikistuka nitamuacha lakini iwapo ulishajiingiza kwake hata ukimwacha utabaki na jeraha Kama sio makovu.
 
Bora kuvaa mtaani kidogo inakuwa nafuuu unakuta wanatoka kanisani yaani wamevaa uchi uchi tu mapaka unajiuliza ni mungu gani anaruhusu mtu kuabudu akiwa mapaja nje na chupi inaonekana yaani wakipita kwenda kanisani mpaka unashangaa ndio bwana wanapigwa miti hovyo hovyo.
 
Jibu eti Yesu haangalii mavazi , hili swala hata mimi kunipa wakati mgumu maana mtu unaweza kukutana na mdada mkiristo dini imemkolea ila mavazi yake sasa mtihani mtupu.
Wanakwambia yesu anaaangalia nafsi imagine mtu yupo kwenye ibada anaenda kujisaidia akimaliza hajisafishi hasa wanawake halafu wanasema bwana anaangalia nafsi ya mtu kweli mtu uende chooni halafu usinawe then unarudi tena ibadani kweli mungu wa esaya awatangulie kwenye hilo.
 
Wanaolewa sana, watu maskini sana huwa wanapenda kufarijiana katika ujinga na umaskini wao dhidi ya mfumo wa kisasa wa maisha.
Wanawake wanaovaa hivyo wanafaa kutumika tu..
Kuolewa watasubiri mnoo[emoji849]
 
Uko sahihi, tamaa za mwanaume kwa mwanamke ni zaidi ya mavazi, mavazi ni sehemu ndogo sana.
Bibi kikongwe akiwa amevaa mini skirt ni wachache sana wanaweza kumtamani, binti wa miaka 20 hata akijifunika gubigubi bado atatamaniwa tu na wengi.
Mkuu let’s be honest hapa, je dada yako au mama yako akivaa hivo utamtamani? Kama jibu ni hapana basi tukubali tu tamaa ya kumtamani mwanamke hujengwa zaidi akilini mwa mwanaume na haijalishi mavazi ya mwanamke!
 
Hapana,
Mwanamke akivaa nguo zinazomsitiri hata heshima tunampa,

Hata kama binti kaelimika kama anavaa vinguo vya ajabu ajabu wanaume wengi watamani tu kuchovya, wanahofia kwa uvaaji wao kila mtu atatamani kuchovya, akiolewa mara nyingi ni sababu ya mimba,

Mavazi ya kujisitiri ni mojawapo ya vigezo vikuu kwa wife material, kuna baadhi ya maungo inapendeza yaonekane ama yajichore kwa nguo iliyobana chumbani tu
Uko sahihi kabisa mkuu mimi binafsi navutiwa sana na mwanamke anayejisitiri kuliko muonesha maungo namuona kama malay, a tu anayejiuza.

Sasa mtu anapita mbele za watu mapaja yanaonekana na kigauni kisichovuka magoti unategemea ukiwa naye kimahusiano atakuwa wa kwako peke yako?

Huyo anajiuza indirectly. So far waislam tuwape credit kwa mavazi ya heshima.
 
Back
Top Bottom