Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
nipo pemben apa nasikiliza wanavyopromote ukahaba hawa jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu, ipo hiviii….Watu hawatembei uchi sababu watu Sio mahayawani (watu wana conscious). Nadhani unafahamu uchi wa mwanaume na mwanamke Upo wap na ni sehemu zipi!Sio kusingizia, basi kama ni sawa mbona watu hawatembei uchi?
Na hayo mavazi kwa nn sehemu zingine hayavaliwi?
Unavovaa ndio hivo kichwani mwako ulivo
Ukiona mtu anavaa ovyo na kichwani mwake ni empte!
Kanisa lipi mliwaona wamevaa km wanaenda night clubs? Ninakosali siwaoni ndo mana nimehoji. Muwe mnataja na kanisa na eneo liliko ili nasi tuendage tukasafishe macho kwa hao waumini wavaao km waenda night clubs. Bila kutaja ni porojo tu umeongea hapaWatu wanaenda kanisani lakini utazani wanaenda night clubs [emoji848][emoji848]
Mbaya zaidi wachungaji hawakemei hata kidogo siku hizi.
Wanachojali wao siku hizi ni sadaka tu basi [emoji848]
Vaa uvaavyo tutakuelewa muhimu kwetu ni sadaka kwanza.
Naona umeamua kupuyanga kidogo una uhakika fatima ndo hyo alitokea? ThibitishaNi mmoja wa watenda Kazi wakuu wa serikali ya shetani,yule anaesimamia mambo yote yanayoendelea duniani ikiwemo mitindo ya miziki, fasheni ,urembo na mavazi Ili kumtoa mwanadamu kwenye asili yake. Yule anaewatokea watu akijifanya ni bikira Maria ndie aliyewatokea watoto wa Fatimah na anaemtokea mtoto Yunis wa Mara.
Wanaoenda kuzimu kusaka utajiri, uongozi, umaarufu wanamjua ndie wa kwanza kukutana nae.
Bikira Maria baada ya kumaliza jukumu lake alienda mbinguni na ajawahi rudi tena duniani,na wala Hakuna maagizo popote tunapoagizwa kumuomba au kumsujudia wala kupitishia maombi yake kwake.Agizo la dini sio agizo la kiMungu.Anaejifanya bikira Maria na kuwahadaa watu jini wa kike. Huwezi elewa kama una macho.Naona umeamua kupuyanga kidogo una uhakika fatima ndo hyo alitokea? Thibitisha
Asante mkuu, ipo hiviii….Watu hawatembei uchi sababu watu Sio mahayawani (watu wana conscious). Nadhani unafahamu uchi wa mwanaume na mwanamke Upo wap na ni sehemu zipi!
Suala la mwanamke sijui kuvaa suruali kuwa defined as kuvaa uchi huko ni kutowatendea haki.
Pia naamini unaelewa mapaja ya mwanamke na miguu ya mwanamke hayawi defined as uchi mkuu!
Kanisa lipi mliwaona wamevaa km wanaenda night clubs? Ninakosali siwaoni ndo mana nimehoji. Muwe mnataja na kanisa na eneo liliko ili nasi tuendage tukasafishe macho kwa hao waumini wavaao km waenda night clubs. Bila kutaja ni porojo tu umeongea hapa
Kanisa lipi mliwaona wamevaa km wanaenda night clubs? Ninakosali siwaoni ndo mana nimehoji. Muwe mnataja na kanisa na eneo liliko ili nasi tuendage tukasafishe macho kwa hao waumini wavaao km waenda night clubs. Bila kutaja ni porojo tu umeongea hapa
Mkuu mpenda ngono ni mpenda ngono tuu.si kwa mkristo, si kwa muislam, si kwa..
Uvaaji wa hovyo unachochea tamaa, hata wewe wajua.
na mijini ndipo kuna ukahaba, kwani ulifikiri ni wapi?Mkuu mpenda ngono ni mpenda ngono tuu.
Mjini huko watu wanavaa hovyo mno, kwahiyo wewe kila ukiona mtu kakuonesha mapaja unamtamani??
Ukienda beach, unawaka tamaa tu??
Wanakwambia yesu anaaangalia nafsi imagine mtu yupo kwenye ibada anaenda kujisaidia akimaliza hajisafishi hasa wanawake halafu wanasema bwana anaangalia nafsi ya mtu kweli mtu uende chooni halafu usinawe then unarudi tena ibadani kweli mungu wa esaya awatangulie kwenye hilo.Jibu eti Yesu haangalii mavazi , hili swala hata mimi kunipa wakati mgumu maana mtu unaweza kukutana na mdada mkiristo dini imemkolea ila mavazi yake sasa mtihani mtupu.
Wanawake wanaovaa hivyo wanafaa kutumika tu..
Kuolewa watasubiri mnoo[emoji849]
Mkuu let’s be honest hapa, je dada yako au mama yako akivaa hivo utamtamani? Kama jibu ni hapana basi tukubali tu tamaa ya kumtamani mwanamke hujengwa zaidi akilini mwa mwanaume na haijalishi mavazi ya mwanamke!
Uko sahihi kabisa mkuu mimi binafsi navutiwa sana na mwanamke anayejisitiri kuliko muonesha maungo namuona kama malay, a tu anayejiuza.Hapana,
Mwanamke akivaa nguo zinazomsitiri hata heshima tunampa,
Hata kama binti kaelimika kama anavaa vinguo vya ajabu ajabu wanaume wengi watamani tu kuchovya, wanahofia kwa uvaaji wao kila mtu atatamani kuchovya, akiolewa mara nyingi ni sababu ya mimba,
Mavazi ya kujisitiri ni mojawapo ya vigezo vikuu kwa wife material, kuna baadhi ya maungo inapendeza yaonekane ama yajichore kwa nguo iliyobana chumbani tu
Kwani alichokizungumza mtoa mada ni uongo?Mapandikizi kila uzi