Wakristo kitu gani kimewakuta mpaka mmeanza kuwaiga waislamu?

Kabla hata hatuja fika mbali nakuja thibitisha wewe ni muislamu kisha tukimaliza uongo huu ndo tutarudi.uongo mwingine
 
I
Binafsi mimi ni mkristu.. naipenda dini yangu... lakin kuna baadhi ya vipengele kwenye Biblia watu wanatafsiri tofauti.. mfano ishu ya kula nguruwe, kwenye agano la kale umekata kula mdudu ,lkn tumehalalisha kweny agano jipya,tena kwa tafsiri yetu..
 
Umenena Haswa!Ila Point Of Correction Waislamu Sio Kwamba Hawaamini Kama Mungu Anaweza Fanya Lolote Hasha! Ila Suala La Mungu Kuwa Binadamu Haliwezekani Kwani Sifa Ya Mungu/Allah Ni Kutoonekana.Suala Ya Yesu Kumuita Kuwa Ni Mungu Alikuja Kama Binadamu Hata Kwenye Biblia Ina Mikanganyiko Juu Ya Hilo.Marko 4:37 Hata Mungu Awe Vp Hawez Sinzia Akajisahau Mpaka Kutaka Kupata Ajali.Ongezea Matendo Ya Mitume 7:55,TIMOTHEO 1 2:5,YOHANA 8:40,HOSEA 11:9 Utapata Kitu Pia Wakati Yesu Anasurubiwa Alimlia Mungu Kwa Kumtelekeza Ila Kama Ulivosema Wakristo Wanaendeshwa Na Imani Na Sio Mantiki Hata Wakisoma Hayo Maandiko Ikawajia Yakini Watabaki Kusema Hii Ni Siri Ya Utawa
 
Sasa hayo ma Imani na ma dini yenu, yamewasaidia nini?nyie wasfrika weusi? Shida, hamna pesa, ajira,mnalia Lia, hamna hata telkinolojia Bora ya kuzalisha sukari na mafuta ya kula! Lakini mnakomaa na madudu yasio na faida,
Asubuhi mpo kwa mchina kuomba kazi, jioni na jumapili mpo kwa mwamposa kupaka mafuta! Mchina yeye yupo casino anacheza kamali! Ila anawilipa mshahara nyie mazwazwa! Sasa mtoto wa Mungu ni na ni?!
 
Dini ni neno la kiarabu,na si lazima lied na maana ya religion,bali neno religion linakupa mwanga muingereza kuhusu neno dini
 
Torati sio kitabu cha Wakristo
Kama sio kitabu cha wakristo, kwann mtume Paulo alie play part kubwa sana kusambaza ukristo alikuwa bado anafata sheria za torati na kuwaasa watu washike amri za mungu? Sio yeye hata Petro na Yakobo

Je, Yesu aliongea nn kuhusu amri za mungu na torati kwa ujumla??
 

Yesu na Paulo hawakuwa Wakristo.
Walikuwa Wayahudi.
 
Yesu na Paulo hawakuwa Wakristo.
Walikuwa Wayahudi.
Mkristo ni nani? Kama sio mfuasi wa Yesu Kristo.
Kama wewe ni mfuasi wa Yesu alaf Yesu mwenyew hakuipinga torati, bali ameonesha kwamba njia pekee ya kuonesha mapenzi yako kwake ni kushika amri za mungu(torati) "mkinipenda mtazishika amri zangu", huoni kwamba unaongea nonsense.

Na ukisema Paulo alikuwa sio mkristo unaongea uongo mzee, rejea maana ya mkristo??

Uyahudi sio dini, uyahudi ni race/ethnicity ya mtu, kwa maneno yako ni kama vile kusema Mtume Muhammad S.A.W alikuwa ni muarabu na sio muislamu, uyahudi na ukristo ni vitu viwili tofauti, moja ni ethnicity while another ni dini, sasa kuwa myahudi na kuwa mkristo inawezekana kabisa.

Note; Nahic unachanganya kati ya Judaism, Christianity and Jewish.

Jewish/myahudi- Race/Ethnicity
Judaism- Jewish religion.
 
Hakuna ethnicity inaitwa Uyahudi we fala Uyahudi ni religion(dini)
unaandika upupu tu.
 
Ukristo ni dini ya michongo, eti pasta ana uwezo wa kusamehe zambi.

Mchongo ktk ukristo umeanzia ktk imani yao kuu ya utatu mtakatifu eti mungu baba ndio huyohuyo Yesu, mungu mwana ndio huyohuyo Yesu na mungu roho mtakatifu ndio huyohuyo Yesu. Yaani ni upotolo mtupu
 
Sio wakiristo wana imani, sema hivi wakiristo ni mazombi yahani wao kila kitu ni NDIOOOoo... Hawana hapani, alafu cha kushangaza wengi wao ni wasomi wakubwa
 
2:117......na anapo taka jambo basi huliambia tu: Kuwa! Nalo huwa.

Kuhusu mungu kujiweka katika tumbo... Kwamba asipofanya ivyo basi hana uwezo...
Jibu ni kuwa Mwenyezi Mungu anauwezo wakufanya/kuamuru jambo lolote lakini sio kujizalilisha utukufu wake.
Natoa mfano ili ieleweke maana ya kuwa na uwezo wa kufanya jambo lolote haimaanishi kwamba basi afanye lenye kumdhalilisha kwamba asipojidhalilisha yeye sio Mungu.

Wakristo hawataki kumpa Mungu uwezo wake kwamba suala la kuzaliwa kwa yesu ni kauli yake tu imefanya kazi kwa kasema MARIAM BEBA MIMBA YA MTOTO YESU nayo mimba ya yesu ikajitunga kwa kauli tu kuwa nayo ikawa.

Wao hawataki kuamini kuwa Mungu anao uwezo huo bali wanaamini Mungu kaamua kujifanyia mtoto.Mara waseme sio mtoto ni yeye mwenyewe kajiweka huko tumboni akikua miezi 9.Mara waseme ni copy yake katika kimwili wa kibinadamu. Mara ni mtoto wake ndio alikuwa Yesu mbinguni wakabaki Baba na Roho Mtakatifu nknknk.

Yote haya Mungu hana haja nayo haitaji kuwa na mtoto wala msaidizi wala mshirika Mana hayo yote ni katika kumpunguzia nguvu zake na kumvisha Mambo/hali za kibinadamu.

Mfano wa nguvu za utendaji wake ni waangalie katika kitabu cha mwanzo namna alivyoumba dunia/ulimwengu kwa kauli tu mf Iwe nuru... liwe anga...
Katika mwanzo ndio unakutana na kauli "Mungu akasema.... " Na ndivyo hivyohivyo hata kwa Yesu ilivyofanyika nae Mariam akabeba Mimba hivyo kwa muujiza huo HAIMAANISHI KWAMBA MUNGU ANA MTOTO.
 
Mungu hawezi kuwa na Mtoto ila Allah ana watoto.
Mbona hamuulizi kuwa inayumnikanaje awe na watoto hali hana mke?

Au huwajui watoto watatu wa Allah ?
Akina Uzza na Dada zake wawili.

Mnashupalia Mambo ya wengine wakati ya kwenu yamewashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…