Wakristo kuna miungu mingi sana. Kusali kwa kusema Mungu badala ya Jina la Mungu unaemuabudu si sawa

Wakristo kuna miungu mingi sana. Kusali kwa kusema Mungu badala ya Jina la Mungu unaemuabudu si sawa

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Mungu nisaidie hiki.
Mungu utukuzwe.
Mungu naomba abcd.
Mungu nisamehe dhambi.
Mungu asante.
Mungu, Mungu, Mungu.

Mungu huyo hana jina ?

Kuna miungu zaidi ya elfu 18 inaabudiwa hapa duniani. Unaposali kwa kusema Mungu kuna tofauti gani na mtu asietaka kumpa jina mtoto?
 
Itasaidia nini kuhusu DP World na bandari yetu?
Punguza ushamba, Humu ndani kuna majukwaa zaidi ya 20, Kila jukwaa na maada zake,

Ukiona jukwaa huna interest nalo ni vema ubaki majukwaa yanayokuhusu,
 
Yeye ni Mungu wa hiyo miungu yote uliyoitaja.Majina yote mazuri ni yake.
Yehova
Adonai
El Shaddai
Elohim
Raffa
Sharma
Yahwe

Hakika anayo mengi yenye kuvutia,
Joannah mambo vipi
 
Yeye ni Mungu wa hiyo miungu yote uliyoitaja.Majina yote mazuri ni yake.
Yehova
Adonai
El Shaddai
Elohim
Raffa
Sharma
Yahwe

Hakika anayo mengi yenye kuvutia,
Huyo Mungu unayemsema hapa ndio Mimi Joannah.
 
MUNGU mkuu, Alfa na Omega hakuna kama wewe, muumba wa mbingu na dunia...
 
Mungu nisaidie hiki.
Mungu utukuzwe.
Mungu naomba abcd.
Mungu nisamehe dhambi.
Mungu asante.
Mungu, Mungu, Mungu.

Mungu huyo hana jina ?

Kuna miungu zaidi ya elfu 18 inaabudiwa hapa duniani. Unaposali kwa kusema Mungu kuna tofauti gani na mtu asietaka kumpa jina mtoto?
Ndio miungu ipo kibao ila tambua ukishataja Mungu, basi Mungu anajua kama umemkusudia yeye au miungu mingine.

Mungu sio kama mtu kwamba kukiwa na Juma watatu ukiita tu Juma hawatajijua ni Juma yupi unamuita.

Mungu anayejua kila kitu unafikiri ukimuita Mungu hatakuelewa hadi umpe jina?
 
Yeye ni Mungu wa hiyo miungu yote uliyoitaja.Majina yote mazuri ni yake.
Yehova
Adonai
El Shaddai
Elohim
Raffa
Sharma
Yahwe

Hakika anayo mengi yenye kuvutia,
Kikwetu ni Mlungu,Chapanga, Nzambe n.k kila jamii huita Kwa lugha yake.
 
Ndio miungu ipo kibao ila tambua ukishataja Mungu, basi Mungu anajua kama umemkusudia yeye au miungu mingine.

Mungu sio kama mtu kwamba kukiwa na Juma watatu ukiita tu Juma hawatajijua ni Juma yupi unamuita.

Mungu anayejua kila kitu unafikiri ukimuita Mungu hatakuelewa hadi umpe jina?
Kwanini Yesu msimuite nabii, kwani haitoshi akiitwa nabii ?
 
Back
Top Bottom