Umejibu kijinga kama mtu asiye na akili... kama unajua wapo Wengi kwanini anasali na asiwe specifically ili Mungu anayemsalia ajue ni yeye...!
Sababu kama Christian wengi hawajua Mungu wao anaitwa nani zaidi ya kujikinga na mgongo wa wayahudi na Mungu wao na Mkristo always hana jibu la uhakika anaweza Sema tu Mungu wa Ibrahim ambaye pia Islam wana claim anaitwa Allah (Lah ni Mungu mwezi jina ni Lah muslim wameweka neno AL kwa kiarabu ni NA so ukiongeza LAH inakuja Allah (Google neno Lah jibu litakuja ni Moon God) ni kosa kubwa wamefanya kumuunganisha Mungu wa Ibrahim na Mungu Mwezi wa Wapagani waabudu Jiwe na kulikiss na kulishika eti linasamehe dhambi huko Mecca) au Yehovah ila hawezi fuata anayotaka Yehovah mwisho atasema Yesu ndio Mungu and pia Hafuatishi ya Yesu 100% maana Yesu pia ni mfuasi wa Yehovah na Uyahudi Mkristo hapo anabaki kama mpetevu tu ndio maana kamili ya Mada husika na mletaji wake anashangaa why Mungu husika hatajwi... Wana wa Israel walikatazwa kutaja jina lake bila sababu ya maana sio mtu kasahahu hata kupiga mswaki anataja Mungu wangu nimesahahu n.k.
Ukienda maandiko ya Dini kadhaa haswa huko India Aliens Walikuwa wameclaims ni Miungu na mkubwa wao aliitwa Rama something even Egypt Pharao aliyejiita Mungu nae aliitwa Ramases walikuwa na mifumo yao ya kuabudiwa na huko India inasemekana zilianguka missiles zenye madhara kama ya Nuclear maana lile vumbi lililopatikana Hiroshima na Nagasaki lipo huko India eneo mraba kubwa sana means Miungu ilipigana angani sijui ilikuwaje ndio kukawa na ukimya wa Aliens Duniani the most powerful tawala duniani ambazo zimeacha majengo na michoro ambayo binadamu wa sasa hawatokuja kuweza labda another Aliens wafufuke huko walipo...