sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Itasaidia nini kuhusu DP World na bandari yetu?Mungu nisaidie hiku, Mungu utukuzwe, Mungu naomba abcd, Mungu nisamehe dhambi, Mungu, Mungu, Mungu/
Mungu huyo hana jina ?
Punguza ushamba, Humu ndani kuna majukwaa zaidi ya 20, Kila jukwaa na maada zake,Itasaidia nini kuhusu DP World na bandari yetu?
Kazi ipo .Itasaidia nini kuhusu DP World na bandari yetu?
Joannah mambo vipiYeye ni Mungu wa hiyo miungu yote uliyoitaja.Majina yote mazuri ni yake.
Yehova
Adonai
El Shaddai
Elohim
Raffa
Sharma
Yahwe
Hakika anayo mengi yenye kuvutia,
Hata hao wengine wanajua Mungu wao ni Baba mwenyeziTunasali kwa Mungu baba Mwenyezi aliyekuwepo, aliyepo na atakayekuwepo. Jina lake ni Yahwe
Huyo Mungu unayemsema hapa ndio Mimi Joannah.Yeye ni Mungu wa hiyo miungu yote uliyoitaja.Majina yote mazuri ni yake.
Yehova
Adonai
El Shaddai
Elohim
Raffa
Sharma
Yahwe
Hakika anayo mengi yenye kuvutia,
Maada ndo nini?Punguza ushamba, Humu ndani kuna majukwaa zaidi ya 20, Kila jukwaa na maada zake,
Ukiona jukwaa huna interest nalo ni vema ubaki majukwaa yanayokuhusu,
Hana jina ?MUNGU mkuu, Alfa na Omega hakuna kama wewe, muumba wa mbingu na dunia...
Ndio miungu ipo kibao ila tambua ukishataja Mungu, basi Mungu anajua kama umemkusudia yeye au miungu mingine.Mungu nisaidie hiki.
Mungu utukuzwe.
Mungu naomba abcd.
Mungu nisamehe dhambi.
Mungu asante.
Mungu, Mungu, Mungu.
Mungu huyo hana jina ?
Kuna miungu zaidi ya elfu 18 inaabudiwa hapa duniani. Unaposali kwa kusema Mungu kuna tofauti gani na mtu asietaka kumpa jina mtoto?
Kikwetu ni Mlungu,Chapanga, Nzambe n.k kila jamii huita Kwa lugha yake.Yeye ni Mungu wa hiyo miungu yote uliyoitaja.Majina yote mazuri ni yake.
Yehova
Adonai
El Shaddai
Elohim
Raffa
Sharma
Yahwe
Hakika anayo mengi yenye kuvutia,
Kauliza wakristo.Kikwetu ni Mlungu,Chapanga, Nzambe n.k kila jamii huita Kwa lugha yake.
Ukiachia tu kuwa Mungu,wewe hata kuwa mungu huwezi🤔Huyo Mungu unayemsema hapa ndio Mimi Joannah.
Kwanini Yesu msimuite nabii, kwani haitoshi akiitwa nabii ?Ndio miungu ipo kibao ila tambua ukishataja Mungu, basi Mungu anajua kama umemkusudia yeye au miungu mingine.
Mungu sio kama mtu kwamba kukiwa na Juma watatu ukiita tu Juma hawatajijua ni Juma yupi unamuita.
Mungu anayejua kila kitu unafikiri ukimuita Mungu hatakuelewa hadi umpe jina?
Motema na ngaiKauliza wakristo.
Kwanza mi mwenyewe ni Mapunda hiyo Nzambe mmmmh[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]mbona Kama kikongo?
OkayMotema na ngai
Yesu sio nabii.Kwanini Yesu msimuite nabii, kwani haitoshi akiitwa nabii ?