Wakristo kuna miungu mingi sana. Kusali kwa kusema Mungu badala ya Jina la Mungu unaemuabudu si sawa

Itoshe kusema "Muumba wa mbingu na nchi". Hayo majina ni lugha tu
 
Ikiwa hoja yako ni kujifunza, basi Mungu atakuletea watu wa kukufunza Mungu wa kweli na mwenye haki ni yupi. Na ikiwa hoja yako ni kudhihaki basi pia atajidhirisha Mungu mwenyezi kwako au kwa wanaokuzunguka kwa matendo makuu.
 
Tunasali kwa Mungu baba Mwenyezi aliyekuwepo, aliyepo na atakayekuwepo. Jina lake ni Yahwe
Yahweh ni mungu wa Wayahudi mwanzo walikuwa wanadai akishirikiana
na mkewe aitwaye Asheera ingawa siku hizi hawamtaji tena.
Hana uhusiano wowote na sisi Waafrika.
 
tuache kujadili dini za watu
 
Uelewa wako katika mambo ya imani ni mdogo sana.
MUNGU ni cheo na yuko mmoja tu.
Musa alilazimika kuuliza wewe ni Mungu yupi, jina lako nani kwakuwa enzi zile mungu walikuwa wengi na kila mmoja aliona fahari kuwa na mungu wake.
Lakini sasa iko wazi , MUNGU anajulikana, na miungu wanajulikana.
Hao ambao wanang'ang'ania miungu ndio tuwaache waidentify miungu yao kwa majina yao.
Haina ulazima wa kutaja Yahweh, YEHOVA e.t.c.
Tunapotaja MUNGU sisi tunataja cheo chake cha mostly highly one.
Tukiamua kumtaja kwa majina ( sifa zake za ziada kama Roi, elohim, shammah, shallom. Rapha) ni maamuzi tu.
NOTE: YESU ndiye Mungu mwokozi wa kila nafsi. Hivyo ni vyema unapoomba utumie jina la Yesu.

Hili la Mungu ni Yesu au Yesu ni Mungu linahitaji elimu sana kulifahamu.
 
Mungu wa Kweli hutajwa kwa herufi kubwa yaani MUNGU au Mungu,ili hali hao wengine hutajwa kwa herufi ndogo zote yaani miungu.
 
Kwani shida yako ni nini hasa?
 
Yeye ni Mungu wa hiyo miungu yote uliyoitaja.Majina yote mazuri ni yake.
Yehova
Adonai
El Shaddai
Elohim
Raffa
Sharma
Yahwe

Hakika anayo mengi yenye kuvutia,
Mbona Mungu Yesu umemsahau au Paulo alikudanganyeni?

Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
 
Mbona Mungu Yesu umemsahau au Paulo alikudanganyeni?

Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Yesu ni Mungu mwana....tunaamini katika utatu mtakatifu
 
Ni kweli. Hawana tofauti na ile miungu iliyojaa makka ambako waislam huenda kutupa mawe kwa sanamu la shetani, kuabudia makaburi na kusujudia miungu wa kiarabu akina lat al uzza na wengine wengi. Hizi dini za kishenzy za kuletwa ni ushirikina mtupu.
 
Kwangu mimi nikisha sema baba yangu wa mbinguni inatosha maana jina lake naliogopa sana ! Mimi lile jina la yule kijana wake mpendwa nataka ila siyo la mzee ..
 
Kwangu mimi nikisha sema baba yangu wa mbinguni inatosha maana jina lake naliogopa sana ! Mimi lile jina la yule kijana wake mpendwa nataka ila siyo la mzee ..
Yesu ukimwita nabii wangu haitoshi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…