Wakristo, na hasa Wakatoliki kaeni chonjo. Anawamaliza wote!

Mbona kwa masheikh ubwabws unanyamaza upanui domo lako?
 
A failed mind. Hili la udini pia hailipi.Unajaribu kuokota okota na kuunganisha kwa gundi ya soda vitu visivyo na maana. Kubali umeshindwa brother. Nenda kalime matikiti.
 
A failed mind. Hili la udini pia hailipi.Unajaribu kuokota okota na kuunganisha kwa gundi ya soda vitu visivyo na maana. Kubali umeshindwa brother. Nenda kalime matikiti
A failed mind. Hili la udini pia hailipi.Unajaribu kuokota okota na kuunganisha kwa gundi ya soda vitu visivyo na maana. Kubali umeshindwa brother. Nenda kalime matikiti
 
Ukatoliki unahusika na nini? Toka lini tumeingia kwenye udini kama nchi?
 
Propaganda za udini nitazikataa hadi hatua yangu ya mwisho, haijalishi zitatoka kwa Sheikh wangu au Padre au nabii, nitazikataa!

Nawasihi wana JF na watanzania wote kuzikataa propaganda hizi hata zikitoka kwa viongozi wao wanaowaamini.

Kwa wanasiasa hakuna uislamu wala ukristo, ukiona wamejishika huko kwenye dini ni kwa maslahi yao ya kisiasa tu.


​
 
Lakini wenye akili timamu wote wanafahamu kwamba, aliyeanzisha haya mambo ya udini na kuyafadhiri ni ndugu Samu Ya!
 

WEWE NI MUUAJI, KATIKI, MNAFIKK, MFITINISJAJI, MWENYE CHUKI YA KUZALIWA NAYO, MLAGHAI, NA MENGI MENGINEYO.
WEWE HUENDI MBINGINI ABADANI HADİ UTUBU KWELI KWELI.
SIJAWAJI KUKUTANA NA KIUMBE MBAYA SANA DUNIANI KAMA WEWE,
MNYAMA MKALI ANAEOGOPEWA AMEKUWA BORA KULIKO WEWE.
HIVI WEWE UNA FAMILIA? Hili NINA SHAKA NALO.
HAIWEZEKANI KUKAA NA WEWE BINAADAMU YOYOTE KWENYE HII DUNIA.
Looo
KAZI YAKO NI TAHARUKI TUU WAKATI WOWOTE, KUWATIA WATU WASIWASI.
KIFO CHAKO KITAKUWA KIBAYA SANA USIPOTUBU.
UMEWAULISHA MAMIA YA WATU, UMEWATIA UGONJWA WA MAISHA, UMEWATIA HASARA ISIYOTARAJIWA, UMEWASABABISHIA UYATIMA WATOTO, UKUWA KWA WAPENDANAO, UMESABABISHA HALI YA SINTOFAHAMU TANZANIA NZIMA,
KWA QAULI ZAKO HIZO ZA KICHONGANISHI.
SASA UMEKUJA KATIKA VITA VYA KIDINI.
MUNGU AKUANGAMIZE KABLA YA WEWE KULIANGAMIZA TAIFA.
Amiyn
 
Punguza maneno mengi. Wale Masheikh waliomsema Nchimbi na TEC nani aliwatuma?
 
Inanishangaza sana mambo ya msingi kuchomekwa masuala ya dini,regime za Waislam kipindi hiki zikikosolewa kidogo tu zinakimbilia kuingiza tofauti za kidini aliyewadanganya kuna Mkristo anamsema huyu mwanamke kwa sababu ya Uislam wake nani?Uislam wake utamkera vipi Mkristo wakati haumzuii kuishi?inajulikana wazi yote mauvu yanayotokea nchini chanzo chake ni samia sasa dini yake inaingiaje hapo?

Kwani hakuua?uchaguzi haukuvurugika?hakuna ukandamizaji anaoufanya?waache mambo ya kijinga kama mkishindwa kuongoza kwa sababu ya elimu zenu ndogo kaeni pembeni sisi wananchi hatuna wala hatuelewi hizo sera zenu chafu,nakosa logic kwamba naanzaje leo kumchukia rafiki yangu Muislam au Mkristo (hata nisiyemjua) eti kisa amesema samia au mwanasiasa yeyote aliye-fail kiuongozi hao wapuuzi wapuuzwe tukianza na samia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…