Wakristo, na hasa Wakatoliki kaeni chonjo. Anawamaliza wote!

porojo zingine bana dah
 
Huwa ninakukubali sana kwa mambo mengi, ila hili la udini HAPANA mkuu.

Kama wanauana ni haohao wala haramu bila kuangalia dini
Huku kitaa hayatuhusu. CHRISLAM kama kawa.
 
DR HAYA LAND umekuja tena?
MTU akiamua kuwa mwanasiasa anakuwa anajua kuwa

Anaweza kufungwa
Anaweza kupewa sumu
Anaweza kuuliwa
Anaweza kupotezwa n.k

Ikiwa MTU hayajui haya sifikirii Kama ni sahihi yeye kuingia katika siasa .


You have to calculate ur MOVE before you dive deep.

Na issue ya udini ni ujinga mwingine Mpya ambao unakosa mashiko.

Endapo ukitaka wakuelewe washawishi , hata kutumia dark psychology Kama ya Mange ya kuwa Jeshi litawalinda mtoke.
 
Udini kaupandikiza Samia mwenyewe. Sie tunatafsiri tu vitendo vyake na kutoa tahadhari kwa wahusika.

Masheikh ndo walianza kuwasema Nchimbi na TEC.

Jenista Muhagama alikuwa Mkatoliki kindakindaki na mtu wa karibu sana wa Emmanuel Nchimbi.
 
 
Anayepandikiza udini kwa nguvu ni Samia.
 
Udini kaupandikiza Samia mwenyewe. Sie tunatafsiri tu vitendo vyake na kutoa tahadhari kwa wahusika.

Masheikh ndo walianza kuwasema Nchimbi na TEC.

Jenista Muhagama alikuwa Mkatoliki kindakindaki na mtu wa karibu sana wa Emmanuel Nchimbi.

Hoja zako zinakosa uhalali wowote

Mimi nadhani mgebadilisha aina ya siasa zenu mkajaribu kujenga na sio kushambulia bila mwelekeo.

Tofauti na hapo mtakuwa mnatapanya nguvu

Kitengo cha propaganda na kitengo cha ushawishi lazima vitofautiane.

Unachofanya hapo ni propaganda
 
Kipi kilichosemwa ni uongo?

Masheikh hawakumsema Nchimbi na TEC?

Godfrey Mwambe yupo wapi? Kakamatwa lini kwa kosa gani? Wamemuhifadhi wapi?

Marekani hajasema kuna persecution ya wakristo Tanzania?

Kipi kilichosemwa ni uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…