Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Yesu wa Wakristo sio Issa wa Waislamu.Wakristo wanasema Yesu alisulubiwa akafa akazikwa akafufuka akapaa mbinguni.
Lakini Waislamu wanasema Yesu hakusulubiwa hakufa hivyo hakufufuka. Wakati waislamu wanasema Yesu si Mungu wala mwana wa Mungu wakristo wanaamini vinginevyo.
Ukisikiliza stori zao kuhusu Ibrahimu Bado zinapishana pakubwa Sana. Nani ni wakweli kati yao?
NIMEJISIMIKA RASMI UUNGU. KWAANZIA LEO MIMI NI MUNGU WENU LAZIMA MNIABUDU. HAYA INAMISHENI MIBICHWA YENU CHINI NA VIJAMBIO VYENU JUU NA MSEME KWA PAMOJA LOOSE NUT AKBAR!Wakristo wanasema Yesu alisulubiwa akafa akazikwa akafufuka akapaa mbinguni.
Lakini Waislamu wanasema Yesu hakusulubiwa hakufa hivyo hakufufuka. Wakati waislamu wanasema Yesu si Mungu wala mwana wa Mungu wakristo wanaamini vinginevyo.
Ukisikiliza stori zao kuhusu Ibrahimu Bado zinapishana pakubwa Sana. Nani ni wakweli kati yao?
Mbona mambo ya kulima na kuvuna siku hiyo akina Mwanamalundi walishafanya enzi zao, au ndio tayari andiko limeshatimia?
Ukitaka kujua Yesu na Issa ni watu wawili tofauti muulize muislamu yoyote yuleNdugu mabishano ya kidini hayanaga muafaka hasa zinapokutana hizo dini mbili
Wakristo wanaweza kuwa Wakweli kwani Stori Yao imesukwa tangu mwanzo ikilenga mwisho(target) kama ni uongo tunasema uongo wenye mashiko au uliokubalika.Wakristo wanasema Yesu alisulubiwa akafa akazikwa akafufuka akapaa mbinguni.
Lakini Waislamu wanasema Yesu hakusulubiwa hakufa hivyo hakufufuka. Wakati waislamu wanasema Yesu si Mungu wala mwana wa Mungu wakristo wanaamini vinginevyo.
Ukisikiliza stori zao kuhusu Ibrahimu Bado zinapishana pakubwa Sana. Nani ni wakweli kati yao?
Watu walikua wakisulibiwa tu kabla hata yesu hajazaliwa na Maryam,na kanisa lilianza kutumia msalaba kama alama miaka 300 baada ya yesu kuondoka,usimtishie mchawi msalaba hauna chochote, msalaba upo kwenye maahua,madirishaUislamu na Quran vimefanya Hila nyingi sana juu ya ukristo na Bible kwa ujumla. Kuna member mmoja humu aliandika thread "uislamu hausimami bila propaganda" nadhani anaitwa hamis77
Kuna namna waandishi wa Quran walifanya hila nyingi sana juu ya Biblia.
Mfano katika hili la kusulibiwa kwa Yesu na kufa acha habari za kufufuka kwake waliogopa kuliweka wazi kwa sababu Quran ingeingia huo mtego ingekubali Msalaba ambao ndiyo msingi wa ukristo.
Yesu si aliomba,baba ikiwezekana niepushe na kikombe hiki..na bible inadai yesu akiomba hakataliwiUkristo hausimami bila Msalaba. Huo ndiyo ukweli. Hakuna ukristo bila yesu kusulibiwa,kufa na kisha kufufuka.
Ukisoma maelezo ya Quran ni kama Mungu wa kwenye quran aliogopa yesu asiteswe na hatimaye akamnyakua kumuepusha na matukio yote ambayo Biblia iliendelea nayo hadi kifo na hatimaye kufufuka.
Isaka hawezi kuwa mtoto wa pekee wakati Ibrahim alikua na mtoto wa kwanza Ismail,tumia akili ndogo tu, Sheria hata ya kiislam inaruhusu kumfanya mtumwa wako kuwa mwana ndoa mwenzio..ndiyo maana bible inamtambua Ismail kama mwana wa Ibrahim na Mungu akaahidi kumbariki mwanao IshmaelHata tukio la nani Ibrahim alitaka kumtoa kama dhabihu ukisoma Biblia na Torah ya wayahudi unaona Mungu alitaka kumjaribu Ibrahim kwa mtoto wa pekee na mkewe Sara (mke halali) ambaye Ibrahim alimpenda kuliko chochote. lakini inapokuja simulizi za Quran katika hilo hilo la kuchinja unaona anayetolewa kafara ni mtoto wa nje ya ndoa Ambae kwenye Mila za kiyahudi naashariki ya kati kwa ujumla mtoto wa nje ya ndoa anaonekana kama Hana thamani.
Ibrahim hakuwa myahudi,hakufuata Sheria za kiyahudi,una uhakika hayo maandishi hayana ushawishi wa wivu waliokua nao upande wa isaka?Hapa ukweli halisi upo kwenye kitabu cha kale zaidi ambacho ni Torah ya wayahudi dini ambayo yesu aliikuta na kisha Biblia ambazo zote zinasimulia aliyetolewa dhabihu/kafara/kuchinjwa ni mtoto wa Sara na si Ishmael(Ismail) mtoto wa nje.
Waarabu walikuwepo tu, Ibrahim ni mtu wa IraqQuran imeweka propaganda kwa sababu ilijua mwendelezo wa uzao wa yule mtoto wa nje ya ndoa ilikuwa ni waarabu. Ikajimegea minyama.
Uislam maana yake ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu mmoja muumba wa kila kitu hafanani na chochote, ndiyo Mila ya IbrahimUwepo wa vile Quran ilivyoandikwa Biblia na Torah ya Jews vimechangia kwa kiwango kikubwa sana.
Mbaya zaidi wale wale Wana wa ukoo wa Yuda(wayahudi) ambao wametoa manavio wengi,Quran imekuja kuwasema kama ni waislamu.
Yesu aliamini Mungu mmoja tu na yeye ni nabii tuHii ni hila ya waziwazi kwa dini ya uyahudi na kisha mtoto aliyetoka ubavuni mwa uyahudi wambae ni ukristo.
Quran haikatai tukio la mtu kusulubiwa bali inasema Allah aliwabadilishia mtu mwingine,so tukio lilikuwepoWayahudi wao walikubali hili tukio la yesu ila wakasema wanafunzi wake walimwiba. Hajafufuka kama ilivyosemekana.
Kutokana na maelezo yako Yesu siyo Issa. Eti Ishmael ha ha ha ha ha ha ha bila kujua lugha ya kiirabu wewe bado humjui Allah sasa ili uwe muislamu lazima ufuate nguzo za uislamu. Sasa huyo Ibrahimu na Ishmael walikuwa wanafuata nguzo gani? Allah anasikia lugha moja tu kiiarabu na lazima utumie kiarabu kusoma kitabu chake sasa Ibrahim alikuwa anatumia lugha gani?Watu walikua wakisulibiwa tu kabla hata yesu hajazaliwa na Maryam,na kanisa lilianza kutumia msalaba kama alama miaka 300 baada ya yesu kuondoka,usimtishie mchawi msalaba hauna chochote, msalaba upo kwenye maahua,madirisha
Yesu si aliomba,baba ikiwezekana niepushe na kikombe hiki..na bible inadai yesu akiomba hakataliwi
Isaka hawezi kuwa mtoto wa pekee wakati Ibrahim alikua na mtoto wa kwanza Ismail,tumia akili ndogo tu, Sheria hata ya kiislam inaruhusu kumfanya mtumwa wako kuwa mwana ndoa mwenzio..ndiyo maana bible inamtambua Ismail kama mwana wa Ibrahim na Mungu akaahidi kumbariki mwanao Ishmael
Ibrahim hakuwa myahudi,hakufuata Sheria za kiyahudi,una uhakika hayo maandishi hayana ushawishi wa wivu waliokua nao upande wa isaka?
Waarabu walikuwepo tu, Ibrahim ni mtu wa Iraq
Uislam maana yake ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu mmoja muumba wa kila kitu hafanani na chochote, ndiyo Mila ya Ibrahim
Yesu aliamini Mungu mmoja tu na yeye ni nabii tu
Quran haikatai tukio la mtu kusulubiwa bali inasema Allah aliwabadilishia mtu mwingine,so tukio lilikuwepo
Ukiamini Wakristu na Waislam hawaamini Mungu mmoja wala hutaona shida ya hizi tofauti.Wakristo wanasema Yesu alisulubiwa akafa akazikwa akafufuka akapaa mbinguni.
Lakini Waislamu wanasema Yesu hakusulubiwa hakufa hivyo hakufufuka. Wakati waislamu wanasema Yesu si Mungu wala mwana wa Mungu wakristo wanaamini vinginevyo.
Ukisikiliza stori zao kuhusu Ibrahimu Bado zinapishana pakubwa Sana. Nani ni mkweli kati yao?
Kwa maelezo Yao Mungu wanayemuamini ni mmoja ila wanatofautiana jinsi ya kumtafsiri.Ukiamini Wakristu na Waislam hawaamini Mungu mmoja wala hutaona shida ya hizi tofauti.
Hamna kitu.Kwa maelezo Yao Mungu wanayemuamini ni mmoja ila wanatofautiana jinsi ya kumtafsiri.