Eberi alikuwa babu wa Abrahamu (Mwanzo 10–11).
Watu wa ukoo wa Eberi walijulikana kwa maandiko ya kale kama “Ivri / Hebrew / Muebrania”.
Hii ni kutambulisha kabila/lengo la ukoo, si tabia tu ya mtu binafsi.
Neno Ivri linahusiana na asili ya kupita au kuhamahama, kwa kuwa ukoo huu ulitembea kutoka Mesopotamia (Ur) kwenda Kanaani.
Kwahiyo Muebrania ni watu wa ukoo wa Eberi waliokuwa wakiishi
Abrahamu na uzao wake walitambuliwa kama waebrania.
Zaburi, Taurati, na maandiko mengine ya kale yanamtaja Abrahamu na wana wake kama waebrania, si kwa jina tu, bali kwa ukoo wa ahadi ya Mungu.