Wakristo na waislamu katika hili nani ni mkweli kati yenu?

Watu walikua wakisulibiwa tu kabla hata yesu hajazaliwa na Maryam,na kanisa lilianza kutumia msalaba kama alama miaka 300 baada ya yesu kuondoka,usimtishie mchawi msalaba hauna chochote, msalaba upo kwenye maahua,madirisha

Yesu si aliomba,baba ikiwezekana niepushe na kikombe hiki..na bible inadai yesu akiomba hakataliwi

Isaka hawezi kuwa mtoto wa pekee wakati Ibrahim alikua na mtoto wa kwanza Ismail,tumia akili ndogo tu, Sheria hata ya kiislam inaruhusu kumfanya mtumwa wako kuwa mwana ndoa mwenzio..ndiyo maana bible inamtambua Ismail kama mwana wa Ibrahim na Mungu akaahidi kumbariki mwanao Ishmael

Ibrahim hakuwa myahudi,hakufuata Sheria za kiyahudi,una uhakika hayo maandishi hayana ushawishi wa wivu waliokua nao upande wa isaka?

Waarabu walikuwepo tu, Ibrahim ni mtu wa Iraq

Uislam maana yake ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu mmoja muumba wa kila kitu hafanani na chochote, ndiyo Mila ya Ibrahim

Yesu aliamini Mungu mmoja tu na yeye ni nabii tu

Quran haikatai tukio la mtu kusulubiwa bali inasema Allah aliwabadilishia mtu mwingine,so tukio lilikuwepo
Loh! Watu wengi inaonekana hamjui kabisa historia. Kama ungekuwa unajua historia, kamwe usingeweka hiyo sentensi kuwa 'Ibrahim hakuwa myahudi'! Inaonekana hujui kabisa historia. Ngoja nikufundishe kidogo:
Wakati wa Ibrahim hakukuwa na kabila lilikuwa likiitwa 'Wayahudi. Kabla ya 600, hao wanaoitwa wayahudi, walikiwa wakiitwa au kujulikana kama Waebrania au Waisrael, yaani wana wa Ibrahim au wana wa Israel.
Mwaka 600BCE, baada kingdom ya Israel kugawanyika na kutengeneza Northen Kingdom iliyoitwa Israel Kingdom, na ya kusini iliitwa Judah Kingdom, Judah kingdom ilipigwa na kushindwa vita, na hivyo kupelekwa utumwani Babylon. Huko walikaa utumwani kwa miaka 70. Baada ya miaka 70 baadhi walirudi kwenye eneo lao la Yudea, ili kujitofautisha na wengine, ndipo walianza kujiita Yehudi, yaani watu wa Yudea. Baada ya kindom ya Yudea kuanguka, na watu wa Yudea na Israel ya Kaskazini kuunganika, jina hilo la Yehudi Myahudi kwa kiswahili, likaanza kutumika kumaanisha wazao wote wa Ibrahim na Israel. Kwa hiyo ufahamu kuwa wakati wa Ibrahim hakuna mtu aliitwa Myahudi au Muisrael.
Biblia haisemi kuwa Ibrahim alikuwa wa kabila gani. Na huenda nyakati hizo watu hawakuwa wanajitambulisha kwa makabila. Biblia inasema tu kuwa Ibrahim aliluwa mzaliwa wa Ur, yaani Iraq ya leo, na kuwa alizaliwa kwenye familia iliyokuwa ikiabudu sanamu. Mambo ya makabila yamekuja baadaye sana. Watoto wa Jacob ndio walitengeneza makabila 12 ya Israel. Japo miaka ilivyoenda, baadaye hawakujitambulisha kwa makabila yale ya watoto wa Yakobo, bali kwa jina la Ibrahim, wakajiita Waebrania au Waisrael, yaani wana wa Ibrahim au wana wa Israel.

Nyakati kabla na hata wa Yesu, hakuna eneo lililokuwa likitwa Palestina. Eneo hilo lililikuja baadaye kuorwa Palestine, lilikuwa linaitwa Yudea, Galilaya na Samaria. Mwaka 135AD, Mfalme wa Roma aliyeitwa Hadrian ndiye alilibadilisha majina ya maeneo hayo, akayajumuisha na kuyaita Syrian Palestina ikiwa kama adhabu kwa Wayahudi kwa sababu walifanya machaguko ya kuupinga utawala wa Roma.
 
Israel ni Jacob, hawawezi kuwa haohao ni Wana wa Ibrahim na Israel pia,uyahudi ni imani iliyoanza baada ya Ibrahim kuondoka
Unasema Ibrahim hakuwa na kabila na wakati huohuo unasema alitoka ur ya ukaldayo,inakuaje akose kabila?
Hebrew au ebrania si kabila bali ni kitendo cha kuhama(kuvuka mto) toka eneo moja kwenda jingine
Esau ni ndugu wa Jacob/Israel,na ana kizazi na si waisrael
 
Yesu ni wetu na sisi ndo tunaujua ukweli, sasa watakujaje hao kobaz kukukwambia ukweli wakati siyo mtu wao!
Safi sana Mjusi,
Ndio maana tunasema huwezi kufaham Dini za watu bila kuzisoma lakini kila siku ninyie na Uislam tuu,
Kama mnaipenda sana Dini ya kiislamu njoon muusome Uislam
 
Waislamu na wakristo hudai dini zao ni za wastaarabu... Lakini kwenye mijadala ni mabingwa wa kutukana na kudhalilisha wengine... Sijui Mungu wanayemuabudu ni mtukanaji na mdhalilishaji?
 
Mm nashangaa watu wanajipa tabu Sana kuhusu Haya mambo, binafsi sina sababu yoyote ya kutoka mshipa wala kushindana na mtu au kumthibitishia mtu, maana mwisho Kila mmoja ataishi na kufa kivyake, hata hivyo Tabia ya mwanadamu ni kutaka kujiaminisha kuwa Yuko upande sahihi na Huku ni kutapa tapa au kutojiamini Kwa kile unachokisimamia kama mtu mzima mwenye akili.
 
Wakristo wanasema Yesu alisulubiwa akafa akazikwa akafufuka akapaa mbinguni.

Lakini Waislamu wanasema Yesu hakusulubiwa hakufa hivyo hakufufuka. Wakati waislamu wanasema Yesu si Mungu wala mwana wa Mungu wakristo wanaamini vinginevyo.

Ukisikiliza stori zao kuhusu Ibrahimu Bado zinapishana pakubwa Sana. Nani ni mkweli kati yao?
Kilianza kitabu gani kuandikwa ?
 
Watu walikua wakisulibiwa tu kabla hata yesu hajazaliwa na Maryam,na kanisa lilianza kutumia msalaba kama alama miaka 300 baada ya yesu kuondoka,usimtishie mchawi msalaba hauna chochote, msalaba upo kwenye maahua,madirisha

Yesu si aliomba,baba ikiwezekana niepushe na kikombe hiki..na bible inadai yesu akiomba hakataliwi

Isaka hawezi kuwa mtoto wa pekee wakati Ibrahim alikua na mtoto wa kwanza Ismail,tumia akili ndogo tu, Sheria hata ya kiislam inaruhusu kumfanya mtumwa wako kuwa mwana ndoa mwenzio..ndiyo maana bible inamtambua Ismail kama mwana wa Ibrahim na Mungu akaahidi kumbariki mwanao Ishmael

Ibrahim hakuwa myahudi,hakufuata Sheria za kiyahudi,una uhakika hayo maandishi hayana ushawishi wa wivu waliokua nao upande wa isaka?

Waarabu walikuwepo tu, Ibrahim ni mtu wa Iraq

Uislam maana yake ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu mmoja muumba wa kila kitu hafanani na chochote, ndiyo Mila ya Ibrahim

Yesu aliamini Mungu mmoja tu na yeye ni nabii tu

Quran haikatai tukio la mtu kusulubiwa bali inasema Allah aliwabadilishia mtu mwingine,so tukio lilikuwepo
Ningekujibu Kila ulichoniquote ila shida ni kunguni wa sisiem.

Nawachukia nyie wadudu big time!!
 
Israel ni Jacob, hawawezi kuwa haohao ni Wana wa Ibrahim na Israel pia,uyahudi ni imani iliyoanza baada ya Ibrahim kuondoka
Unasema Ibrahim hakuwa na kabila na wakati huohuo unasema alitoka ur ya ukaldayo,inakuaje akose kabila?
Hebrew au ebrania si kabila bali ni kitendo cha kuhama(kuvuka mto) toka eneo moja kwenda jingine
Esau ni ndugu wa Jacob/Israel,na ana kizazi na si waisrael

Kuna vitu umevichamganya.
Wewe unatafuta asili ya jina badala ya kufuatilia uelewe hilo jina lilitumikaje.

Ibrahim ni jina lilikuwa na maana uliyoeleza, lakini ni jina. Ni sawa mtu aitwe Mahangaiko. Mahangaiko lina maana, lakini watoto wake wakiitwaw wana wa Mahamgaiko huwezi kukataa kuwa siyo wana wake kwa sababu jina Mahangaiko lilikuwa lina maana fulani!
Descendants wa Ibrahim waliitwa Waebrania. Na walijitofautisha na jamii nyingine kwa wao kujiita ni Waebrania. Hata Yusufu, mwana wa Israel, alipouzwa utumwani Misri na kaka zake, alijitambulisha kama Muebrania, na hata ujumbe wake alipoomba upelekwe kwa Farao, alisema ,mwambieni Farao huku gerezani kuna Muebrania amefungwa bila hatia. Na hata ndugu zake walipohamia Misri, walijulikana kama Waebrania. Hawa Waebrania lugha yao ilikuwa Kiebrania, na vitabu vyote vya Agano la kale viliandikwa kwa Kiebrania. Baada ya Waisrael kuchukuliwa utumwani Babylon, vizazi vilivyorudi hawakuwa wakiongea Kiebrania tena, bali walikuwa wanaongea Aramaic, lugha iliyokuwa ikiongewa huko Babylon; lakini Kiebrania kiliendelea kutumika kama lugha rasmi ya dini. Lugja ya Kiebraia ilipata jina kutokana na jina Ibrahim.
Wakati huo wote, hawa descendants waliitwa ama Waebrania au Waisrael, kwa sababu kila descendant wa Israel alikuwa automatically ni descendant wa Ibrahim.

Kugawanyika kwa Kingdom ya Israel, na kisha kuzalisha kingdom ya Yudea na kingdom ya Kaskazini ndiyo iliyofanya wale wa Yudea kujiita Yehudi, yaani raia wa Yudea. Kingdom ya North Israel ilipoanguka na kupotea, descendants wote wa Ibrahim au Israel kutoka kindoms zote 2 za kale waliitwa Yehudi, na hawa wote walikuwa wanafuata mafundisho ya Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Israel. Yehudi ikawa ni kabila na pia ni imani ya dini, kama ilivyo leo.

Ebu soma hapa chini kidogo, upanue uelewa;
Hebrews began being called "Jews" (derived from Yehudi, meaning someone from the Kingdom of Judah) primarily after the Babylonian exile in the 6th century BCE, specifically starting around 500–400 BCE. While the term originally referred to residents of the southern kingdom, it was adopted as a general identifier for the Israelites after the northern kingdom fell and the remaining people returned to rebuild Jerusalem.
Key Historical Shifts:
  • Pre-Exile: The people were known as Hebrews (descendants of Abraham) or Israelites (descendants of Jacob/Israel).
  • The Exile (586 BCE): After the Babylonian conquest of the Kingdom of Judah, the population was referred to as Judeans or Yehudim.
  • Post-Exile (c. 500s–400s BCE): As noted in the Book of Esther and the Book of Nehemiah, the term "Jews" was increasingly used to describe the entire people of Israel.
  • Broader Application: Over time, particularly during the Second Temple period, the term became the standard name for the nation.
The name "Jew" is not used in the earliest parts of the Torah, which favor "Children of Israel," but gradually replaced it to represent the surviving tribe of Judah and, eventually, the entire nation
 
Kwa maelezo Yao Mungu wanayemuamini ni mmoja ila wanatofautiana jinsi ya kumtafsiri.
Waislam wanakwambia mungu ni mmoja wakati ambao wanakua wanakushawishi usilimu uungane nao tofauti na hapo mungu wa wakristo na mungu wa waislam ni tofauti kwa sababu laiti angekua ni mmoja basi wasingelimpiga mawe mtu anaebadili dini kutoka uislamu kwenda ukristo wakt mungu ni mmoja.
Kwa hivyo kwenye uislam kuna fix nyingi sana,mungu gani anaruhusu asie mwislam achinjwe wakati ndo yeye mwenyewe kawaumba wote(waislam na wasiowaislam)
 
Kuna vitu umevichamganya.
Wewe unatafuta asili ya jina badala ya kufuatilia uelewe hilo jina lilitumikaje.

Ibrahim ni jina lilikuwa na maana uliyoeleza, lakini ni jina. Ni sawa mtu aitwe Mahangaiko. Mahangaiko lina maana, lakini watoto wake wakiitwaw wana wa Mahamgaiko huwezi kukataa kuwa siyo wana wake kwa sababu jina Mahangaiko lilikuwa lina maana fulani!
Descendants wa Ibrahim waliitwa Waebrania. Na walijitofautisha na jamii nyingine kwa wao kujiita ni Waebrania. Hata Yusufu, mwana wa Israel, alipouzwa utumwani Misri na kaka zake, alijitambulisha kama Muebrania, na hata ujumbe wake alipoomba upelekwe kwa Farao, alisema ,mwambieni Farao huku gerezani kuna Muebrania amefungwa bila hatia. Na hata ndugu zake walipohamia Misri, walijulikana kama Waebrania. Hawa Waebrania lugha yao ilikuwa Kiebrania, na vitabu vyote vya Agano la kale viliandikwa kwa Kiebrania. Baada ya Waisrael kuchukuliwa utumwani Babylon, vizazi vilivyorudi hawakuwa wakiongea Kiebrania tena, bali walikuwa wanaongea Aramaic, lugha iliyokuwa ikiongewa huko Babylon; lakini Kiebrania kiliendelea kutumika kama lugha rasmi ya dini. Lugja ya Kiebraia ilipata jina kutokana na jina Ibrahim.
Wakati huo wote, hawa descendants waliitwa ama Waebrania au Waisrael, kwa sababu kila descendant wa Israel alikuwa automatically ni descendant wa Ibrahim.

Kugawanyika kwa Kingdom ya Israel, na kisha kuzalisha kingdom ya Yudea na kingdom ya Kaskazini ndiyo iliyofanya wale wa Yudea kujiita Yehudi, yaani raia wa Yudea. Kingdom ya North Israel ilipoanguka na kupotea, descendants wote wa Ibrahim au Israel kutoka kindoms zote 2 za kale waliitwa Yehudi, na hawa wote walikuwa wanafuata mafundisho ya Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Israel. Yehudi ikawa ni kabila na pia ni imani ya dini, kama ilivyo leo.

Ebu soma hapa chini kidogo, upanue uelewa;
Hebrews began being called "Jews" (derived from Yehudi, meaning someone from the Kingdom of Judah) primarily after the Babylonian exile in the 6th century BCE, specifically starting around 500–400 BCE. While the term originally referred to residents of the southern kingdom, it was adopted as a general identifier for the Israelites after the northern kingdom fell and the remaining people returned to rebuild Jerusalem.
Key Historical Shifts:
  • Pre-Exile: The people were known as Hebrews (descendants of Abraham) or Israelites (descendants of Jacob/Israel).
  • The Exile (586 BCE): After the Babylonian conquest of the Kingdom of Judah, the population was referred to as Judeans or Yehudim.
  • Post-Exile (c. 500s–400s BCE): As noted in the Book of Esther and the Book of Nehemiah, the term "Jews" was increasingly used to describe the entire people of Israel.
  • Broader Application: Over time, particularly during the Second Temple period, the term became the standard name for the nation.
The name "Jew" is not used in the earliest parts of the Torah, which favor "Children of Israel," but gradually replaced it to represent the surviving tribe of Judah and, eventually, the entire nation
Story tu, Ibrahim haitokani na Hebrew,au laa uwe na ushahidi huko Ur Ibrahim hakuitwa Ibrahim mpaka alipohamia 'israel',Hilo eneo naona umeligawa kwa uzao wa Ibrahim tu na wakati alikuta watu hapo
 
Waislam wanavutia upande wao, na Wakristo wanavutia upande wao.

Waislam wanasema huendi peponi mpaka uwe muislam, na Wakristo wanasema huendi mbinguni mpaka uwe mkristo.

Nachoka kwelikweli.
 
Story tu, Ibrahim haitokani na Hebrew,au laa uwe na ushahidi huko Ur Ibrahim hakuitwa Ibrahim mpaka alipohamia 'israel',Hilo eneo naona umeligawa kwa uzao wa Ibrahim tu na wakati alikuta watu hapo
Rudi darasani

Ibrahim anaitwa Muebrania kwa sababu ya ukoo wake (kutoka kwa Eberi) na kwa sababu Biblia yenyewe inamtaja kwa jina hilo.

Biblia inamtaja hivyo moja kwa moja
Katika Mwanzo 14:13 anaitwa “Abramu Muebrania” (Abram the Hebrew).

Asili ya neno “Muebrania inaaminika kutoka kwa Eberi (Eber), mmoja wa mababu zake katika ukoo wa Shemu.

Hivyo watu wa ukoo huo waliitwa Waebrania.
 
Watu walikua wakisulibiwa tu kabla hata yesu hajazaliwa na Maryam,na kanisa lilianza kutumia msalaba kama alama miaka 300 baada ya yesu kuondoka,usimtishie mchawi msalaba hauna chochote, msalaba upo kwenye maahua,madirisha

Yesu si aliomba,baba ikiwezekana niepushe na kikombe hiki..na bible inadai yesu akiomba hakataliwi

Isaka hawezi kuwa mtoto wa pekee wakati Ibrahim alikua na mtoto wa kwanza Ismail,tumia akili ndogo tu, Sheria hata ya kiislam inaruhusu kumfanya mtumwa wako kuwa mwana ndoa mwenzio..ndiyo maana bible inamtambua Ismail kama mwana wa Ibrahim na Mungu akaahidi kumbariki mwanao Ishmael

Ibrahim hakuwa myahudi,hakufuata Sheria za kiyahudi,una uhakika hayo maandishi hayana ushawishi wa wivu waliokua nao upande wa isaka?

Waarabu walikuwepo tu, Ibrahim ni mtu wa Iraq

Uislam maana yake ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu mmoja muumba wa kila kitu hafanani na chochote, ndiyo Mila ya Ibrahim

Yesu aliamini Mungu mmoja tu na yeye ni nabii tu

Quran haikatai tukio la mtu kusulubiwa bali inasema Allah aliwabadilishia mtu mwingine,so tukio lilikuwepo
Biblia inapozungumzia msalaba haizungumzii hilo limti ,

Inazungumzia tukio Zima kiroho la Yesu kufa na kufufuka

Kibiblia, msalaba ni

Kitendo cha Yesu kujitoa sadaka
Mahali dhambi zilihukumiwa
Tukio ambalo hukumu ilibadilishwa kuwa neema
Alama ya upendo na utii hadi mauti

Ndiyo maana Biblia inasema

“Neno la msalaba kwao wanaopotea ni upumbavu, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.”

1 Wakorintho 1:18

Hapa “neno la msalaba” si mti au ule wanaovaa watu shingoni , bali ujumbe wa wokovu.

Wewe akili yako inakutuma ni lile limti wanalovaa waroman shingoni,unatafsiri kimwili

Yesu anasema lakini mapenzi yako yatimizwe, Yesu ALIKUFA na kufufuka , kuanzia manabii wote walitabiri kifo chake na kufufuka mamia ya miaka ,kuanzia Torati ,zaburi ,vitabu vya manabii vyote viliandika kwa usahihi .

Daniel ndiye alitabiri Exactly kabisa

Leo hii mtu kama Mimi nawezaje kudanganywa na mudy eti Yesu hakufa😂😂

Halafu Ismail ni mwana wa Ibrahim, hilo halina ubishi hata kwenye Biblia. Imeandikwa kwamba Hajiri alimzalia Ibrahim mwana aitwaye Ismail, na Mungu mwenyewe alimwahidi kumbariki na kumfanya taifa kubwa (Mwanzo 16:15; 17:20).

Kwa hiyo Biblia haimkanushi Ismail
Kuitwa kwa Isaka “mwana wa pekee” hakumaanishi Ibrahim hakuwa na watoto wengine, bali ni lugha ya kumaanisha mwana wa ahadi na wa agano.

Ndiyo maana imeandikwa,

“Kupitia Isaka ndipo uzao wako utaitwa” (Mwanzo 21:12).

Na manabii wote wametokea kwenye hilo agano la Isaka-yakobo-manabii-Yesu.

Kwa ismael yeye alipewa BARAKA tu ,sio agano ndio maana huoni nabii yeyote au chain yoyote ya manabii kwa ismael.

Kama una andiko la nabii yeyote wa YWHW kutoka ismael hata mmoja nitajie hapa.

Biblia inaonyesha tu tofauti kati ya mtoto wa mtumwa na wa mwanamke huru kama ishara ya tofauti ya ahadi (Wagalatia 4:22–23).

Pia ni kweli Ibrahim hakuwa Myahudi, na Biblia yenyewe inakubali hilo, kwa sababu alihesabiwa haki kwa imani kabla hata ya tohara (Warumi 4:10–11).

Wayahudi walitokana na ukoo wake kupitia Isaka na Yakobo, si kwamba walimfanya awe Myahudi.

Hakuna ushahidi kwamba maandiko yana wivu dhidi ya Ismail, kwa sababu bado yanamtaja kama mwana wa Ibrahim, yanamwonyesha Mungu akimsikia na kumbariki, na yanamtabiria kuwa baba wa taifa kubwa.

Hivyo hoja sahihi si nani alikuwa mwana, bali ni kuelewa tofauti kati ya baraka alizopewa Ismail na agano lililopitia kwa Isaka.

Unaposema Uislamu ni kujisalimisha tu huo ni utapeli, Uislamu kama dini Ina nguzo zake ,na taratibu zake ili uwe muislamu,ndio maana hata budha wanajisalimisha ,na dini nyingi tu ,ila sio waislamu

Shia ,ahamadiya ,druze wanajisalimisha kwa Allah,ila sunni mnawaita makafiri

Hii ya kuita kujisalimisha ni uislamu,ni propaganda ya kutaka kuwavalisha Uislamu watu ambao hawakuwa waislamu hasa manabii wa kiyahudi .

Kuna mwenzako nilimuomba ushahidi wa kuwepo uislamu kabla ya Muhammad maeneo kama Syria, Lebanon, Turkey hata wa KIPANDE CHA jiwe ,mpaka Leo aliingia mitini

Yesu sio nabii tu, Yesu ni zaidi ya nabii

Yohana mbatizaji anasema mwenyewe Yesu ni mkubwa kuliko yeye kimamlaka

Yesu anasema yeye ni zaidi ya Yona

Haishii hapo Yesu ana Sifa ambazo hakuna nabii anazo

Mungu mwenyewe anamuita YESU ni Mungu .

Zaburi 45
6 Kiti chako cha enzi, Mungu, ni cha milele na milele, Fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili.

7 Umeipenda haki; Umeichukia dhuluma. Kwa hiyo MUNGU, Mungu wako, amekupaka mafuta, Mafuta ya furaha kuliko wenzako.

Yesu ni zaidi ya nabii ,Yesu ana Sifa za kipekeake kabisa

Waebrania 1

1 Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,

2 mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.

3 Yeye kwa kuwa ni mng'ao wa utukufu wake na chapa ya nafsi yake, akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu;

4 amefanyika bora kupita malaika, kwa kadiri jina alilolirithi lilivyo tukufu kuliko lao.

5 Kwa maana alimwambia malaika yupi wakati wo wote, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa? Na tena, Mimi nitakuwa kwake baba, Na yeye atakuwa kwangu mwana?

Quran inapomuelezea Yesu hakufa ,inakuhitaji uwe chizi au ujitoe fahamu ndio uamini

Kuna manabii kuanzia Musa, Daudi ,isaya Daniel ,Zekaria walitabiri Yesu atakufa na atafufuka

Tena manabii wengine waliandika Hadi Timeline ukikokotoa Unajua kabisa Yesu atakufa lini na kufufuka

Daudi miaka 1000 kabla ya Yesu aliandika hivi 👇

Zaburi 22
15 Nguvu zangu zimekauka kama gae, Ulimi wangu waambatana na taya zangu; Unaniweka katika mavumbi ya mauti

16 Kwa maana mbwa wamenizunguka; Kusanyiko la waovu wamenisonga; Wamenizua mikono na miguu.

17 Naweza kuihesabu mifupa yangu yote; Wao wananitazama na kunikodolea macho.

18 Wanagawanya nguo zangu, Na vazi langu wanalipigia kura.

Zaburi hii inaelezea mtu mwenye haki anayeteswa vibaya bila kosa.
Inaeleza kudharauliwa, kutobolewa kwa mikono na miguu, na mavazi kugawanywa kwa kura.
Na ndio kile kile kilimtokea Yesu,

SASA MTU KAMA MIMI UNAWEZAJE KUNISHAURI NIMUAMINI MUHAMAD ANAYESEMA YESU HAKUFA 😂? TENA KAJA NA HUO UTAPELI MIAKA 600 BAADA YA YESU KUONDOKA .

Huo ni mfano mmoja tu nimekupa ,unatosha kabisa kumjua muhamad alikuwa nabii wa uongo
nakupa mfano wa mwisho huu ukikokotoa vizuri hayo majuma 70 unafika Hadi mwaka 33AD ,
Danieli 9
24 Muda wa majuma sabini umeamriwa juu ya watu wako, na juu ya mji wako mtakatifu, ili kukomesha makosa, na kuishiliza dhambi, na kufanya upatanisho kwa ajili ya uovu, na kuleta haki ya milele, na kutia muhuri maono na unabii, na kumtia mafuta yeye aliye mtakatifu.

Danieli 9
26 Na baada ya yale majuma sitini na mawili, masihi atakatiliwa mbali, naye atakuwa hana kitu; na watu wa mkuu atakayekuja watauangamiza mji, na patakatifu; na mwisho wake utakuwa pamoja na gharika, na hata mwisho ule vita vitakuwapo; ukiwa umekwisha kukusudiwa.

27 Naye atafanya agano thabiti na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata ukomo, na ghadhabu iliyokusudiwa imemwagwa juu yake mwenye kuharibu.
diagram.gif

SASA UNAWEZAJE MTU KAMA MIMI UNISHAWISHI KUWA MUDY ALITUMWA NA MUNGU WA KWELI?

MANABII KARIBU WOTE WALIMTABIRI YESU KUFA NA KUFUFUKA TENA KWA USHAHIDI MWINGI

KASORO MUDY TU KAJA MIAKA 600 ANASEMA HAKUFA

Kumuamini mudy inakuhitaji ujitoe ufahamu
 
Back
Top Bottom