gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Hebrew haina uhusiano na eberi yako bro,acha kubumba mambo na notes zako za biologyRudi darasani
Ibrahim anaitwa Muebrania kwa sababu ya ukoo wake (kutoka kwa Eberi) na kwa sababu Biblia yenyewe inamtaja kwa jina hilo.
Biblia inamtaja hivyo moja kwa moja
Katika Mwanzo 14:13 anaitwa “Abramu Muebrania” (Abram the Hebrew).
Asili ya neno “Muebrania inaaminika kutoka kwa Eberi (Eber), mmoja wa mababu zake katika ukoo wa Shemu.
Hivyo watu wa ukoo huo waliitwa Waebrania.
Wakristo wanasema Yesu alisulubiwa akafa akazikwa akafufuka akapaa mbinguni.
Lakini Waislamu wanasema Yesu hakusulubiwa hakufa hivyo hakufufuka. Wakati waislamu wanasema Yesu si Mungu wala mwana wa Mungu wakristo wanaamini vinginevyo.
Ukisikiliza stori zao kuhusu Ibrahimu Bado zinapishana pakubwa Sana. Nani ni mkweli kati yao?
Maswali yote mawili yana majibu sahihi.KAMA UNA MAARIFA HUWEZI KUULIZA SWALI KAMA HILO AU NISEME, UKIULIZA; KATI YA WASABATO/JEHOVA nk WASIO AMINI CHRISTMASS nk NA WAKATOLIKI WANAOAMINI HIYO CHRISTMASS NI WAPI WAPO SAHIHI....
KIMSINGI HUWEZI KUPATA JIBU SAHIHI ...KWANI JIBU LINATEGEMEA NA MSIMAMO WAKO BINAFSI
Kwa hiyo usipotezee watu muda kujadili vitu ambavyo hutapata majibu!!!
Unaenda kuokotaokota huko ,hii ni elimu nakupaHebrew haina uhusiano na eberi yako bro,acha kubumba mambo na notes zako za biology
Eberi alikuwa babu wa Abrahamu (Mwanzo 10–11).Hebrew haina uhusiano na eberi yako bro,acha kubumba mambo na notes zako za biology
Uwongo,waongea kiebrania wenyewe wanajua Hebrew ni kuhama toka upande mmoja kwenda mwingine, Ibrahim alikua muhamiaji na alivuka mto kufika Hilo eneoUnaenda kuokotaokota huko ,hii ni elimu nakupa
Asili ya neno “Hebrew / Muebrania”
Neno “Hebrew” (Kiingereza) au Ivri (Kiebrania) linatokana na Eberi (Eber), mmoja wa mababu wa Abrahamu.
Mwanzo 10–11 linaelezea ukoo wa Shemu → Eberi → Peleg → Rehu → Abrahamu.
Kwa maana hiyo, Abrahamu anaelezwa kama “Muebrania” kwa linage ya ukoo kutoka kwa EBER
Mwanzo 14:13 — “Abramu Muebrania.”

UwongoEberi alikuwa babu wa Abrahamu (Mwanzo 10–11).
Watu wa ukoo wa Eberi walijulikana kwa maandiko ya kale kama “Ivri / Hebrew / Muebrania”.
Hii ni kutambulisha kabila/lengo la ukoo, si tabia tu ya mtu binafsi.
Neno Ivri linahusiana na asili ya kupita au kuhamahama, kwa kuwa ukoo huu ulitembea kutoka Mesopotamia (Ur) kwenda Kanaani.
Kwahiyo Muebrania ni watu wa ukoo wa Eberi waliokuwa wakiishi
Abrahamu na uzao wake walitambuliwa kama waebrania.
Zaburi, Taurati, na maandiko mengine ya kale yanamtaja Abrahamu na wana wake kama waebrania, si kwa jina tu, bali kwa ukoo wa ahadi ya Mungu.
Wewe umekaririshwa tuUwongo,waongea kiebrania wenyewe wanajua Hebrew ni kuhama toka upande mmoja kwenda mwingine, Ibrahim alikua muhamiaji na alivuka mto kufika Hilo eneo
Jibu sahihi ni lile unaloliamini wewe.... ambalo kwa wenzako sio sahihi na ndio sababu waka anzisha dhehebu jingineMaswali yote mawili yana majibu sahihi.
Wewe uliyeleta swali hili uwatafute wazee wa CCM waliokuwepo wakati huo wakupe jibu sahihi.Wakristo wanasema Yesu alisulubiwa akafa akazikwa akafufuka akapaa mbinguni.
Lakini Waislamu wanasema Yesu hakusulubiwa hakufa hivyo hakufufuka. Wakati waislamu wanasema Yesu si Mungu wala mwana wa Mungu wakristo wanaamini vinginevyo.
Ukisikiliza stori zao kuhusu Ibrahimu Bado zinapishana pakubwa Sana. Nani ni mkweli kati yao?
Ungalituwekea tafadhali , hata wa ndani ya biblia kama upoYesu wa Wakristo sio Issa wa Waislamu.
Upo ushahidi kadhaa wa historia nje ya biblia unamzungumzia kusulibishwa na kufa kwa Yesu Kristo.
Cha msingi Yesu alisema yatayomkuta kabla hayajatokea, sasa waislam wanaamini Yesu ni nabii, sasa itakuwa wanamuona Yesu no nabii tapeli au magumash, au hawajui wanachokiamini, kumbuka pia wanaamini alizaliwa tofauti na bin adam wengine
Kama kawaida yenu mmejaliwa sana matusi ya rejareja badala ya kufanya mjadala wa hoja kwa hoja, huenda sijajibu kama unavyotaka wewe binafsi ila ujumbe umefika, huu ni uwanja mpana tujadili hoja, kwa matusi ya reja teja pepo huioni ndugu endelea kujitia unafiki nafsini mwako. Mwogope Mungu na kaabali na shetwani.Mtu akisoma majibu yako, ataelewa kwanini huwa mnapa sifuri (0%) kwenye mitihani.
Wewe badala ya kujibu Yesu unayemjua na kumuamini kwa imani yako; unaelezea watu wengine ambapo hata huna elimu ya wanacho amini zaidi ya upotoshaji....!
Waache wanyoshane kwanza
Leo umejitokeza mlokole, umeshindwa kujizuiaYesu wa Wakristo sio Issa wa Waislamu.
Upo ushahidi kadhaa wa historia nje ya biblia unamzungumzia kusulibishwa na kufa kwa Yesu Kristo.