Wakristo tushukuru sana ndoa zinaweza kuvunjwa mahakamani, Makanisa hayana msaada, Sheria zetu za ndoa zipo mdomini tu ila si kwa uhalisia

Kifo kiwatenganishe ni imani tu, serikali ikiamua inatenganisha.
Tunazungumzia kwa angle ya dini sio serikali.

Kwenye dini ni mwiko, Serikali kupitia mahakama inasaidia wakristo kutenda dhambi kuwasaidia kwenda kinyume na sheria zao
 
Kwa sisi Wakristo wafia dini, utasa siyo sababu ya kumuacha mkeo. Ukiisoma Biblia vizuri utagundua kwamba mke wa Ibrahim (Sarah) alikuwa tasa lakini Ibrahim aliendelea kumpenda akiamini kwamba siku moja Mungu atamjalia mwana, na kweli wakaja kumzaa Isaka.

Mke wa Isaka (Rebeca) naye alikuwa tasa baadaye akajaliwa na Mungu akamzaa Esau na Yakobo.

Halikadhalika na mama yake Samson (mke wa Manoa) naye alikuwa tasa lakini Manoa hakumuacha, baadaye wakamzaa Samson.

Hata mke wa Elkana aitwaye Hana alikuwa tasa baadaye akamzaa Samweli.

Kuna mahali kwenye Biblia Elkana anaonekana kumfariji mkewe kwa kumwambia asinung'unike kwa kutopata mtoto. Unaweza kuanza kusoma kuanzia 1 Samweli 1:2, huo hapo chini ni mstari wa 8.

1 Samweli 1:8
[8]Elkana mumewe akamwambia, Hana, unalilia nini? Kwani huli chakula? Kwa nini moyo wako una huzuni? Je! Mimi si bora kwako kuliko watoto kumi?

Then said Elkanah her husband to her, Hannah, why weepest thou? and why eatest thou not? and why is thy heart grieved? am not I better to thee than ten sons?
Aisee!Hivi mwanamke aliyewahi toa mimba,hivi kumbe uhitwa TASA!?.
 
Hekima ya mwanadamu ni upuuzi mbele za Mungu. Yeye aliyesema alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikivunje alikuwa na Helma sana.
Alichokiunganisha Mungu hakitenganishwi maana yake ni kwamba viungo vya uzazi vikiunganika kiroho nyie hamtatengana,

Au wewe hujui kwamab hata ukilala na kahaba mshaunganika ?
 
Mkuu kama ulimfumania mwenzako we fanya maamuzi ila kwenye imani mpaka kifo kiwatenganishe
Mke wako kaenda ulaya kikazi wewe unabaki hapa na kazi yako huko Ruvuma, kwa mwaka mzima anakuja siku 10 tu kukusalimia.

Wewe kama mwanaume rijali (endapo sio shoga ama huna tatizo la viungo vya uzazi) hii ipo sawa ?

Utamudu mpaka kifo bila tamaa za kutoka nje ya ndoa ukiwa kama mwanaume rijali?
 
wazi hawaheshimu dini yao.
Dini Ni ubatili mtupu. Dini inaenda kinyume na asili ya mwanadamu. Pia akili yako usiijaze mno dini Mana dini zenyewe mmeletewa mpaka majina ya kwenu mnaojiita kwa Koo yako unaambiwa hayafai.
Ukishafuata dini za hao jamaa wenye ngozi Kama ya nguruwe unaukana uafrika wako yaani tamaduni zako zote unaambiwa no mbaya hazifai Ila za kwao ndizo Mungu anazitaka. Mfano uitwe John badala ya Mwita, ama Omar badala ya Mwakapisile na uvae mavazi yao,chakula Chao etc bado huoni hapo ni sawa na kuoa mwanamke anakukubali kila idara anabadilika.
 
Umeishiwa point huna kingine zaidi ya kuanza kutaja mambo ya vyeti,

Mtu afungwe jela maisha uishi single mpaka kufa, be serious!!!

halafu hio ni scenario moja tu, na mke wako akipata kazi huko ulaya huku wewe una kazi yako huko Ruvuma anakaa mwaka mzima kwa siku 10 tu hapo vipi ?

Acha kuchukulia mambo kirahisi rahisi
Sina shaka umri wako ni chini ya miaka 19.

So ssory to say this, maana hata hujui maana ya ndoa ndio maana unaliza maswali ya kitoto.

Na nimetolea mfano wa ajira kwenye baadhi ya post hapa.

BAadae utasema mke wako akiwa amejifungua utahitaji mke mwingine au uvunje ndoa. Umejawa na ubinafsi mwingi sana. Nakushauri usioe na kama ni Mkristu na umeoa. Basi badili dini uwe muislam
 
Kwako wewe sio mwanaume kamili ndio maana unasema haya yawezekana ni hanithi ndio maana unaona kawaida.

Mke wako kwa mwaka muwe mnaonana wiki 2 tu kwako huoni shida, nenda kwa daktari kizazi chako kimeoza
 
Ongea unavyoweza ila wewe ni mtoto. Mkeo anaendaje huko bila makubaliano yako na yeye. Kama unajua una nyege mshindo si mngeweka utaratibu kama mmeshindwa je nyie ni wanandoa kweli?

Serikali zote duniani na hata mashirika yote yanatambua ndoa na haki ya ndoa, kama ulikubali mkeo akafanye kazi well and good.

Kuonyesha wewe ni mtoto yaani shida yako na nyege zako ndio zifanye kanisa libadili sheria. Lazima unashida kwenye akili yako.

Kwa sababu ya utoto wako Hujui hata unataka kanisa likusaodiaje.

Ushauri wangu nenda kwa washauri wa maswala ya ndoa usaidiwe maana naona wivu ulionao juu ya mkeo kuwa mbali nawe. Hakika kuna mtu anamliwaza kama nawe unavyoliwazwa, ila hakika kuna siku atarudi nyumbani na ataendelea kuwa wako.

Ukiona shida sana acha kazi kakae nae, wivu na ubinafsi utakuisha
 
Sawa hanithi
 
Saikolojia ya ndoa ukiona talaka tambua shetani kaona kipawa ndani ya watoto wako hivyo anakusambaratisheni ili awawini watoto.
Nadra sana talaka kujitokeza kabla hamjazaa
 
Kwa sisi Wakristo wafia dini, utasa siyo sababu ya kumuacha mkeo. Ukiisoma Biblia vizuri utagundua kwamba mke wa Ibrahim (Sarah) alikuwa tasa lakini Ibrahim aliendelea kumpenda akiamini kwamba siku moja Mungu atamjalia mwana, na kweli wakaja kumzaa Isaka.

Mke wa Isaka (Rebeca) naye alikuwa tasa baadaye akajaliwa na Mungu akamzaa Esau na Yakobo.

Halikadhalika na mama yake Samson (mke wa Manoa) naye alikuwa tasa lakini Manoa hakumuacha, baadaye wakamzaa Samson.

Hata mke wa Elkana aitwaye Hana alikuwa tasa baadaye akamzaa Samweli.

Kuna mahali kwenye Biblia Elkana anaonekana kumfariji mkewe kwa kumwambia asinung'unike kwa kutopata mtoto. Unaweza kuanza kusoma kuanzia 1 Samweli 1:2, huo hapo chini ni mstari wa 8.

1 Samweli 1:8
[8]Elkana mumewe akamwambia, Hana, unalilia nini? Kwani huli chakula? Kwa nini moyo wako una huzuni? Je! Mimi si bora kwako kuliko watoto kumi?

Then said Elkanah her husband to her, Hannah, why weepest thou? and why eatest thou not? and why is thy heart grieved? am not I better to thee than ten sons?
Kama tasa wamezaa, hao si tasa tena! Unatokea mfano ambao hauendani na ya wakristu. Ibrahim hakuwa na mwanamke mwingine aliyezaa naye?
 
Mke wako kaenda ulaya kikazi wewe unabaki hapa na kazi yako huko Ruvuma, kwa mwaka mzima anakuja siku 10 tu kukusalimia.

Wewe kama mwanaume rijali (endapo sio shoga ama huna tatizo la viungo vya uzazi) hii ipo sawa ?

Utamudu mpaka kifo bila tamaa za kutoka nje ya ndoa ukiwa kama mwanaume rijali?
Unaenda kumaliza haja zako
 
Pia kuwa na raha daima haina maana hakuna changamoto zitakuwepo zitapita zitawaacha salama, magonjwa yatakuja yatapita, wanyatiaji watakuja watapita na mwisho mtafurahia uzee wenu na mtakuwa na cha kusema kwa wajukuu wenu.
Ulochotype ni sahihi, ila tu sehemu ya raha futa. Weka neno furaha.

Kiuhalisia, hakuna namna ya kuwepo kwa raha daima. Haipo.

Nimechunguza na nikagundua raha haiwezi kuwepo kwa uendelevu pasipo shida. Yaani mtu hawezi tuuu kuendelea na raha ya kukata kiu kama asipopata muda aipate kwanza hiyo shida ya kiu yenyewe. Umenipata.

Unachokisema kinaweza kuwa daima dumu ni FURAHA. Furaha kwa kiasi fulani hutokana na kuelewa hivyo upo uwezekano wa kuelewa na kuendelea kujifunza na kuelewa zaidi furaha ikadumu. Eaaasy.
 
Back
Top Bottom