Wakristo: Vita ya Israel inayoendelea ni ishara tosha kuwa wakati wa kuja kwake mwana wa Adamu (YESU) umekaribia. Tuamke

Ufunuo 22:11-12

Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu;na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu;na mwenye haki na azidi kufanya haki;na mtakatifu na azidi kutakaswa.Tazama naja upesi,na ujira wangu u pamoja nami,kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.
Amina Mkuu be Blessed
 
Break time.

Your browser is not able to display this video.
 
Ndo Africa tunasumbuliwa na huu Ujinga Sijasoma alafu hapo hapo unatoa Judgement Huku ukiwa hujasoma kilicho andikwa kwa hakika una shida mkuu.
soma kwanza ndo utoe Judgement
Bado unaendelea kuandika pumba......
 

UBARIKIWE SANA!

Moja ya somo huwa kulielewa ni shughuli ni unabii.
Umefafanua vizuri sana.

Jambo moja wengi hawalijui ni kuwa, kuna mkataba umoja wa mataifa wa Marekani kuilinda Israel hadi mwisho wa dunia! Sijui kama msomaji unanielewa?
 
ukristo unaoujua umetokea kwa warumi,

israeli watu wengi ni waislamu, wayahudi,

acheni kukurupuka....

waisraeli hata hawana hayo mawazo ya 'taifa teule'

Sawa hawana hayo mawazo ya taifa teule ila we umeelimishwa elewa hivyo kuwa wana u-special flani hivi duniani tofauti na mataifa mengine!

Na kwa taarifa yako ni wengi mno duniani, wametapakaa nchi nyingi sana na wanajuan!

Ukiwafanyia ubaya iwe kwa kukusudia au bahati mbaya, kisasi italipwa tu hata ipite miaka 100 iko siku watalipiza ubaya uliowafanyia!
 

We ndo utakuwa wa kwanza kukiri na kusema hivi ni za kweli na za hukumu zako!
 
UBARIKIWE SANA!

Moja ya somo huwa kulielewa ni shughuli ni unabii.
Umefafanua vizuri sana.

Jambo moja wengi hawalijui ni kuwa, kuna mkataba umoja wa mataifa wa Marekani kuilinda Israel hadi mwisho wa dunia! Sijui kama msomaji unanielewa?
Nakupata Mkuu
 
Israel na Ukristo wapi na wapi? Kila siku mnaambiwa hapa kuwa ISRAEL hawautambui huo Ukristo. Israel ni ya Wayahudi na Waislam. Hiyo vita sio ya kidini ni vita ya kinchi au vita inayofanania na ya kikabila, Jeshi la Israel lina waislam wengi sana, na bado wanaishambulia Palestina.
 
Bado unaendelea kuandika pumba......
Una Shida zako binafsi.

Ushauri sogelea Kituko Cha Afya kilichopo jirani yako kwa ajili ya matibabu zaidi ya Afya ya akili.

Zaidi ya hapo Nenda kanisani utubu dhambi zako
 
Umesoma thread Vizuri au umesoma juu juu na kukimbilia Kutoa maoni.

Hakuna sehemu nimesema Kuwa Israel ni wakristo.
Ushauri zaidi Rudi kwenye thread usome tena Uelewe
 
Ule ugomvi hauhusiani na IMANI.
 
Yule harudi tena ni kama wewe ukifa au unaowafahamu ndugu zako waliokufa hawawezi Rudi!!
 
Amina 😍
 
Sikupingi hata kidogo mkuu ila mbona huku nilipo kuna watu bado hata hawajasikia jina la huyu Yesu, nikiwa na maana ya kwamba iliandikwa kuwa kila kiumbe lazima kiwe na taarifa hii

Sio kila mwanadam duniani atahubiriwa au kulipokea neno la Mungu!

Mathayo 5:5

Heri walio maskini wa roho maana hao watauridhi ufalme wa mbinguni.
 

Please [emoji120]
Jaribu kujibu wachangiaji kwa kuambatanisha vifungu vya biblia kwa ufupi kuliko akafungue bible!

Kumbukumbu la Torati 29:29

Mambo ya siri ni ya BWANA, Mungu wetu; lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu milele, ili tuyafanye maneno yote ya sheria hii.
 
Unapotosha

Wewe usiyepotosha jaribu kupinga basi kwa ushahidi hata wa kiblia changanya na vyanzo vingine uvijuavyo utushuhidie kuwa anapotosha just simple like that [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…