Hadithi za abunuwasi...[emoji23][emoji28][emoji38][emoji81][emoji1787][emoji75][emoji2960]
Upumbavu mtupu aliyekaa na kuandika hili bandiko ni wa kupigwa makofi
Mavi matupu!!!
Yesu alishakuja zamani.
Broo acha na hadithi za abunuasiKwani mm nimesema Ukirsto umetoka kwa Israel.
Hakuna aliekurupuka huu ni ujumbe upokee, usipokee ni juu yako lakin ujumbe umekufikia.
Uwe na Jion njema
We Samia nyamaza hujui kituKisharudi zamani. Mtangoja sana.
Wewe msubiri tu, ulijazwa mkenge na wayahudi kaa uendelee kungoja.Ni kweli alishakuja lakini alisema anaenda Kisha atarudi baada ya kuandaa makao ya walio mkubali.
Katika ulimwengu wa Roho nyakati hizi marekani atapingwa sana, Donald trump atapingwa sana na wewe unaweza kua miongoni mwa wanaompinga lakini leo umepata ufunuo huu usiwe miongoni mwa wanaompinga Trump kwa sababu Trump anaisupport Israel, ukimpinga/ kumlaani Trump una ilaani isarael na atakae ilaani israel atalaaniwa.
Ipo Siku hizii Hadithi zitakua kweliB
Broo acha na hadithi za abunuasi
Yeye hachelewi Wala Hawaii.,
Wewe msubiri tu, ulijazwa mkenge na wayahudi kaa uendelee kungoja.
Nawashangaa na Waislam wengine waliotafsiri aya za Qur'an kwa porojo za bibilia nao wanamngoja Yesu arudi.
Mtasubiri sana.
Kama huyo anayekuendesha mpka unasahau Muumba wako.Unamjua shetani bwashee 🤠
Na wewe lazima ulie na kusaga meno kwa kushadaia watu wauaweIpo Siku hizii Hadithi zitakua kweli
Hakika kitakua kilio Cha Kusaga Meno kwa wale ambao walikua hawamini.
Kwaiyo na wewe unajifanya nuhu?Yeye hachelewi Wala Hawaii.
Nuhu alivyo kua anajenga Safina na aliwambia watu Kuwa Ipo siku Mungu atangamiza Dunia kwa gharika, watu aina yako walikuwepo wengi sana, na kusema acha kutudanganya wengine walisema tunazeeka lakin mbona hiyo gharika hatuioni lakin Mwishoe baada ya Miaka 40 gharika ikaja ikawangamiza.
Kwaiy ni juu yako uamini au Usiamini.
Ila ujumbe umeshakufikia geuka Leo utubu dhambi zako.
No.Kwaiyo na wewe unajifanya nuhu?
Kwaiyo mungu anataka watu wauawe?No.
Ila natumia kama neno ambalo linadhihirisha Kuwa ahadi za Mungu ni kweli na zinatimia hata kama ni kwa kuchelewa lakin Lazima zitimie.
Sahihisha.Believe or notthat’s up to you
Kama kuna uliajalo lisilo hadithi za abnuwsi share it