Wakristo: Vita ya Israel inayoendelea ni ishara tosha kuwa wakati wa kuja kwake mwana wa Adamu (YESU) umekaribia. Tuamke

Wakristo: Vita ya Israel inayoendelea ni ishara tosha kuwa wakati wa kuja kwake mwana wa Adamu (YESU) umekaribia. Tuamke

Upumbavu mtupu aliyekaa na kuandika hili bandiko ni wa kupigwa makofi

Mavi matupu!!!

Huna sababu ya kutumia maneno yanayoonyesha jinsi ulivyo! Huna la kuandika pita kimya sio kila mada utacomment naamini zipo unazosoma kichwa cha habari tu ila hufungui hata kufungua ndivyo ungefanya. Be blessed
 
,
Ni kweli alishakuja lakini alisema anaenda Kisha atarudi baada ya kuandaa makao ya walio mkubali.
Wewe msubiri tu, ulijazwa mkenge na wayahudi kaa uendelee kungoja.

Nawashangaa na Waislam wengine waliotafsiri aya za Qur'an kwa porojo za bibilia nao wanamngoja Yesu arudi.

Mtasubiri sana.
 
Katika ulimwengu wa Roho nyakati hizi marekani atapingwa sana, Donald trump atapingwa sana na wewe unaweza kua miongoni mwa wanaompinga lakini leo umepata ufunuo huu usiwe miongoni mwa wanaompinga Trump kwa sababu Trump anaisupport Israel, ukimpinga/ kumlaani Trump una ilaani isarael na atakae ilaani israel atalaaniwa.
 
,

Wewe msubiri tu, ulijazwa mkenge na wayahudi kaa uendelee kungoja.

Nawashangaa na Waislam wengine waliotafsiri aya za Qur'an kwa porojo za bibilia nao wanamngoja Yesu arudi.

Mtasubiri sana.
Yeye hachelewi Wala Hawaii.

Nuhu alivyo kua anajenga Safina na aliwambia watu Kuwa Ipo siku Mungu atangamiza Dunia kwa gharika, watu aina yako walikuwepo wengi sana, na kusema acha kutudanganya wengine walisema tunazeeka lakin mbona hiyo gharika hatuioni lakin Mwishoe baada ya Miaka 40 gharika ikaja ikawangamiza.

Kwaiy ni juu yako uamini au Usiamini.
Ila ujumbe umeshakufikia geuka Leo utubu dhambi zako.
 
Kuna lile swali kama Krapf na wamishionari wenzie wasingeeneza dini Afrika, bado Mwafrika angeendelea kusema hivi kuhusu Imani?
 
Yeye hachelewi Wala Hawaii.

Nuhu alivyo kua anajenga Safina na aliwambia watu Kuwa Ipo siku Mungu atangamiza Dunia kwa gharika, watu aina yako walikuwepo wengi sana, na kusema acha kutudanganya wengine walisema tunazeeka lakin mbona hiyo gharika hatuioni lakin Mwishoe baada ya Miaka 40 gharika ikaja ikawangamiza.

Kwaiy ni juu yako uamini au Usiamini.
Ila ujumbe umeshakufikia geuka Leo utubu dhambi zako.
Kwaiyo na wewe unajifanya nuhu?
 
Yesu ndio nani kwanza hivi mm msukuma wa Nyakabale na Nyarugusu na kakola my home town anaanze Mungu kunihukumu kisa simjui yesu hivi anatumia njia gani kwanini bibilia imekaa kiunafki kuweka makabila 12 ya israel na kuacha makabila mingine

bibilia nzima imejaa majina ya kiyahudi kiarabu hakuna hata wachina huu sio ubaguzi kweli kama Mungu amemtuma yesu kwanini yesu asije hata huku Africa au hata china badala yake akafa kifo cha laaana pale Jerusalem hii inamaana kwamba kitendo cha yesu kutokuja sehemu nyingine hata mafundisho yake sisi wengine hayatuhusu ukifata ni kiherehere chako waafrica hatuna na wazungu na watu wa asia ya mbali sisi hatuna dhambi hao wanaoletewq mitume wana dhambi mie simo na wala motoni siendi kwakuwa sina dhambi mm mtu safi
 
Mi nitakua wa mwisho kuamini kuwa hao.wazungu waliopo hapo israel ni waisrael wa kweli!!

Kibiblia waisrael wanaonekana kama jamii kubwa Sana ya watu weusi kuliko weupe!!

"Mimi ni mweusi mweusi.lakini ni mzuri enyi mabinti wa misri"king solomon katika wimbo ulio bora !

"Ngozi yangu ni nyeusi nayo yanitoka "Ayubu akiomboleza na Julia sana katika kitabu Cha ayubu!!

Wamisri walipowaona waebrania kwa mara ya kwanza waliwafananisha na wakanaani.ambao ni Wana wa Hamu,Hamu maana yake ni iliyoungua yaani nyeusi! ngozi za waebrania zilikua nyeusi!

Hasta mfalme wa misri Abdul nassar alipoambiwa alitambue taifa la sasa kama taifa takatifu la israel alikataa na kusema mbona waliondoka weusi wamekuaje weupe!!!?

Ni rahisi sana kumfananisha mtu mweusi na waisrael kuliko hai wazungu coz hasta walipopimwa nasaba zao walionekana kuwa na damu za kituruki,kijerumani,kizungu na mataifa Mbali mbali ya ulaya!!!
 
Yesu huyo Hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo

Ulicho andika hapa ni Matango pori uliyo lishwa na dini yako.
 
Back
Top Bottom