Hapana, kwa waislamu wao hakuna malaika mbaya kwa maana malaika kwa jinsi walivyoumbwa ni kwamba wao hufuata tu vile anavyotaka Mungu ni tofauti na binaadamu au majini ambao wana utashi wanaweza kuamua kufanya mema au uovu.Kwa mustakabali huo ni kwamba jini = malaika. Anaweza kuwa mzuri au mbaya.
Ila huwa mnaongeaga kana kwamba uislamu na ukristo umeletwa Afrika tu ila jamii zengine hakuna ukristo na uislamu.Tunazo taharifa nyingi zaidi kuhusu Islam na Christian sababu hawa ndiyo waliotutawala...
Kama Tungetawaliwa na Wachina na Wahindi, hapa leo ingekua battle ya Buddhsm na Hinduism..
Kwahiyo tuvae nguo za tamaduni za kimasai?Naona tuhamie zile za masai. Inawesa dumisha mila
😛
Twende taratibu.Wakristo wa jamii forums huwa mnafurahisha
Achana na huko kwenu hapa jamiiforums ni fullproof
Ila wewe unasema uislam ndiyo wenye chuki na wakristo ni watu wa upendo huku ni kujidanganya mkuu(huu ni uongo mliokaririshwa ili ku-justify chuki mliyonayo)
Nyie wakristo mnachuki kubwa juu ya uislam hapa jukwaani na duniani kote ni wazi na inaonekana, hii ni kutokana na mafundisho potofu mnayopewa juu ya uislam na nyie kukariri uongo huo na kuuamini.
nimesoma na kuelewa ndio maana nimeandika na sijasimuliwa na mtu yeyote hebu nikuulize ni kweli kwamba kuna Bbwawa au Ziwa la Moto ambapo jua huwa linazama?quran imenyooka kaisome usikubali kuambiwa kitu ukakibeba jujuu utaumbuka.Izo santanic verses qurani haina ujinga wenu huwo
Wanajua jini mkuuMERU wakiona wewe ni muislam wanakuogopa sana sijui nini shida ukivaa kanzu ndio wanachanganyikiwa kabisa
Ni mafundisho halisi ya Uislamu wala sio kitu kipya, Mohammed aliamini kwamba wanaomini katika Dini yake ni watu bora zaidi na hivyo akawa na ujasiri kuwaita wasioamini katika mafindishi yake na hasa Wakristo, Wapagani na watu wa kabila yake (Waquresh) akawaita Makafiri na alpoingia Pangoni kwake akaja na maelekezo yafuatyo ili kulinda utawala wake:Madras watoto wanafundishwa kuwachukia wakristo. Kuna watoto wakitoka madras,nafikiri wamelishwa sumu ya chuki.. wakamrushia sista wa RC maji machafu barabarani,wakaanza kumzomea (ilikuwa tanga,maeneo bombo hospital),2004.. nakumbuka vizuri tukio.
Mtu anaweza kuzalia nyumbani na akala mlo kamili na mtu akazalia Hospitali ya Mamia ya mamilioni akamshindilia mtoto ugali mpaka akadumaa.hawa ambao mabinti zao huzalia nyumbani? Hawa ambao hula moo mmoja kwa siku!
Wapi nimeandika jamii zingine hakuna ukristo na uislamu?Ila huwa mnaongeaga kana kwamba uislamu na ukristo umeletwa Afrika tu ila jamii zengine hakuna ukristo na uislamu.
😭😭😭 watu wang wanahangamia kwa kukosa maarifaKatika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Zanzibar ndiyo wabaguzi sana walivyokua na uelewa finyu wao wanachojua Watanganyika wote wa kristo, na jingine wanashangaa Majina yetu tunayoitwa wanasema mabaya ila Majina yao ya kiarabu ndiyo Mazuri. Kwa mfano wasikia unaitwa Milo Milolo au Kamugisha wanashangaa kwanini tunaitwa majina haya, Mimi niliwajibu hayo Majinq ya Othmani Saidi na Joseph yameletwa yakatukuta Watanganyika tuna Majina yetu ya Asili.And yet Tanzania miji yetu ndio mnakuja Kutafuta pesa, Zanzibar, Dar na mikoa mingi tu ya Pwani ila kote huko mnaishi kwa amani
Unawaita Mod Paw Moderator Maxence Melo wafanyaje hapo? We unapenda mashoga na ushoga? Je ufisadi pia unaupenda na wizi wa fedha za uma? Kwani kuna mtu nimemtaja hapo au dhehebu lolote nimelitaja kulinasibisha na hayo? Acha umbea kijana, ili ni jukwaa huru kwa kila mtu
Malaika na jini ni vitu viwili na havina uhusiano wowote.Jini ni kiumbe roho au malaika aliye asi mamlaka ya Mwenyezi Mungu. Ni malaika muasi. Kwa hiyo hawezi kuwa ni mzuri.
Ndiyo wakisikia unaitwa jina la Asili ya Afrika Mwita, Masawe, Onyango, Lubuva wanakushangaa na kuuliza kwanini tunaitwa Majina kama haya.Wengi ukiwaambia ya kuwa huwezi kuitenganisha dini ya kiislam na uarabu, wanaweza wakakutukana mpaka ukakoma. Wengi wanabisha bila sababu yoyote ukiwaambia uislam uko chini ya uarabu wanabisha mpaka basi. Ukiwaambia ya kuwa kabla hujauona uislam unauona kwanza uarabu wanaweza kukuoiga mawe. Ukisema uislam ni chombo/mpango wa waarabu kueneza tamaduni, mila na desturi zao, hakuna matusi ambayo utakosa kuyasikia.
Maana tunawaambia, tumeonana na waarabu ambao si waislam, lakini wana desturi zile zile za kiislam. Mfano kuvaa bui bui, kanzu, kibarakashee, nk.
Mimi niliwaulizaga Baadhi ya Waislam kwanini Adhana wanasoma kwa lugha ambayo siyo lugha ya Taifa kwanini msisome kwa Kiswahili au hiyo lugha inayosomwa kwa kiswahili hakuna.Hapo kwenye swala tano hapo. Binafsi naona ni kusababisha noise polution kwa wakazi wanozunguka misikiti. Wee wanaanza kuita na ma loudspeakers lugha ambayo wala jamii inayozunguka hawaijui. Wanarudia maneno yale yale kwa muda wa nusu saa. Wanaharibu usingizi wa watu. Yaani mkiwa na watoto au wazee karibu na msikiti ni janga. Wanapiga kelele muda ambao kisheria siyo reasonable hours yaani kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni.
Sijui ni aya gani ambayo inawaambia mkiwasumbua wengine kwa makelele ya kurudia rudia kwa lugha isiyoeleweka ndiyo unapata thawabu.
Mimi niliwaulizaga Baadhi ya Waislam kwanini Adhana wanasoma kwa lugha ambayo siyo lugha ya Taifa kwanini msisome kwa Kiswahili au hiyo lugha inayosomwa kwa kiswahili hakuna.
Uongo uchumi wa Tanzania umeshikwa na Wahindi na Uchumi wa juu kabisa wameshika Wazungu.Cha kushangaza ndo wamiliki wakubwa wa sekta zote za kiuchumi kuanzia viwanda , makampuni makubwa, michezo alafu nyinyi mlio soma ndo vibarua wao kwenye viwanda vyao.
Samahani,unaweza ukanipa elimu hapa?Noted bara mkristo kumpa kuku muislam achinje hakuna hiyo kitu Tena ukifanya hivyo unatengwa na washiriki
Ndiyo wakisikia unaitwa jina la Asili ya Afrika Mwita, Masawe, Onyango, Lubuva wanakushangaa na kuuliza kwanini tunaitwa Majina kama haya.