Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Kwa mustakabali huo ni kwamba jini = malaika. Anaweza kuwa mzuri au mbaya.
Hapana, kwa waislamu wao hakuna malaika mbaya kwa maana malaika kwa jinsi walivyoumbwa ni kwamba wao hufuata tu vile anavyotaka Mungu ni tofauti na binaadamu au majini ambao wana utashi wanaweza kuamua kufanya mema au uovu.

Mkuu issue ya kusema malaika waovu ndio majini ina utata sana.
 
Tunazo taharifa nyingi zaidi kuhusu Islam na Christian sababu hawa ndiyo waliotutawala...

Kama Tungetawaliwa na Wachina na Wahindi, hapa leo ingekua battle ya Buddhsm na Hinduism..
Ila huwa mnaongeaga kana kwamba uislamu na ukristo umeletwa Afrika tu ila jamii zengine hakuna ukristo na uislamu.
 
Wakristo wa jamii forums huwa mnafurahisha
Achana na huko kwenu hapa jamiiforums ni fullproof

Ila wewe unasema uislam ndiyo wenye chuki na wakristo ni watu wa upendo huku ni kujidanganya mkuu(huu ni uongo mliokaririshwa ili ku-justify chuki mliyonayo)

Nyie wakristo mnachuki kubwa juu ya uislam hapa jukwaani na duniani kote ni wazi na inaonekana, hii ni kutokana na mafundisho potofu mnayopewa juu ya uislam na nyie kukariri uongo huo na kuuamini.
Twende taratibu.
Ni Waislam wangapi wanakimbia nchi zao na kukimbilia nchi za kikristo na huko wakanyanyaswa?
 
quran imenyooka kaisome usikubali kuambiwa kitu ukakibeba jujuu utaumbuka.Izo santanic verses qurani haina ujinga wenu huwo
nimesoma na kuelewa ndio maana nimeandika na sijasimuliwa na mtu yeyote hebu nikuulize ni kweli kwamba kuna Bbwawa au Ziwa la Moto ambapo jua huwa linazama?
Quran 18:86 "Hata alipofika machweo ya jua, alikuta linazama katika chemchemi yenye matope." Sasa kama sio uwongo kuna chem chem ya matope ambapo jua linazama?

Aisha aliripoti kuwa mbuzi (au kondoo) aliingia nyumbani kwake na kula kipande cha ngozi kilichoandikwa aya kuhusu kupiga mawe wazinzi na kunyonyesha watu wazima mara kumi. Hadithi hii imeandikwa katika Sunan Ibn Majah na mara nyingi hutajwa katika mijadala kuhusu aya ambazo hazipo tena kwenye Qur'an:

"Aya ya kupiga mawe na ya kunyonyesha mtu mzima mara kumi iliteremshwa, na karatasi hiyo ilikuwa nami chini ya mto wangu. Alipofariki Mtume wa Mwenyezi Mungu, tulikuwa tukijishughulika na kifo chake, kisha mbuzi akaingia na kuila." Je Allah angekubali Quran yake iliwe na mfugo?

Kukusanywa na kuchomwa Quran kunatia Mashaka kwamba kwama Quran ya kwanza ilikua kamilifu je kipi kiliingiza uharibifu na je ipi ni sahihi ya zamani au mpya ? soma:

Wakati wa ukhalifa wa Uthman bin Affan, kulikuwa na wasiwasi kuhusu tofauti katika usomaji wa Qur'an miongoni mwa jamii za Waislamu. Ili kutatua tatizo hili, Uthman aliagiza kukusanywa kwa toleo lililoratibiwa kwa mujibu wa maandishi yaliyokuwa mikononi mwa Hafsah, mmoja wa wake wa Mtume Muhammad. Kisha akaamuru nakala zote zisizo rasmi na vipande vingine vyote vya Qur'an vichomwe moto ili kuzuia migogoro kuhusu maandishi hayo:

"Uthman alituma ujumbe kwa Hafsah akisema, 'Tutumie maandishi ya Qur'an ili tuweze kuyakusanya kuwa nakala kamilifu... na akaamuru kuwa nyenzo zote nyingine za Qur'an... zichomwe.'"

Inaripotiwa kuwa Khalifa wa pili, Umar ibn al-Khattab, aliwahi kukumbuka aya kuhusu kupiga mawe (rajm) ambayo iliteremshwa wakati wa uhai wa Mtume Muhammad lakini haipo tena kwenye Qur'an. Alionyesha wasiwasi kwamba vizazi vijavyo vinaweza kusahau hukumu hii muhimu kutokana na kutokuwepo kwa aya hiyo katika maandishi ya Qur'an:

"Ninauogopa wakati utakapopita kwa muda mrefu, watu wanaweza kusema, 'Hatuoni Aya za Rajam (kupiga mawe) katika Kitabu Kitakatifu,' na kwa sababu hiyo wanaweza kupotea kwa kuacha wajibu ambao Allah ameufunua."

Swali ni kwamba kwanini Allah aruhusu Quran yake isahaulike tena katika Aya Muhimu ya kupiga mawe mpaka kufa? na kama ni hivyo ni ngapi zimesahaulika na ni ngappi za uwongo zimeingizwa katika Quran ya sasa.

Hiyo ni sehemu tu ukitaka nyingine nitakuletea uache kukariri.
 
Madras watoto wanafundishwa kuwachukia wakristo. Kuna watoto wakitoka madras,nafikiri wamelishwa sumu ya chuki.. wakamrushia sista wa RC maji machafu barabarani,wakaanza kumzomea (ilikuwa tanga,maeneo bombo hospital),2004.. nakumbuka vizuri tukio.
Ni mafundisho halisi ya Uislamu wala sio kitu kipya, Mohammed aliamini kwamba wanaomini katika Dini yake ni watu bora zaidi na hivyo akawa na ujasiri kuwaita wasioamini katika mafindishi yake na hasa Wakristo, Wapagani na watu wa kabila yake (Waquresh) akawaita Makafiri na alpoingia Pangoni kwake akaja na maelekezo yafuatyo ili kulinda utawala wake:
  • Surah 2:191: "Na wauweni popote muwakutapo, na watoeni walikokutoa. Na fitna ni mbaya zaidi kuliko kuua." Aya hii mara nyingi hutajwa katika mijadala kuhusu vurugu dhidi ya wasioamini.
  • Surah 3:151: "Tutatia khofu katika nyoyo za wale waliokufuru kwa sababu walimshirikisha Mwenyezi Mungu na mambo ambayo hakuyateremsha." Aya hii inaonyesha kuruhusiwa kwa hofu dhidi ya wasioamini kama sehemu ya mpango wa kiungu.
  • Surah 8:55: "Hakika viumbe wabaya zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu ni wale waliokufuru na hawataki kuamini." Aya hii inaweka wasioamini katika mwanga hasi.
  • Surah 9:30: "Mayahudi wanasema, 'Ezra ni mwana wa Mungu,' na Wakristo wanasema, 'Masihi ni mwana wa Mungu.' Haya ni maneno yao kwa vinywa vyao; wanayaiga maneno ya wale waliokufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize; wanapotoshwaje hivyo?" Aya hii inatoa laana kwa Wayahudi na Wakristo kwa imani zao.
  • Surah 5:51: "Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa marafiki wa karibu. Wao ni marafiki wao kwa wao." Aya hii inatoa onyo dhidi ya kushirikiana kwa karibu na wasio Waislamu.
 
hawa ambao mabinti zao huzalia nyumbani? Hawa ambao hula moo mmoja kwa siku!
Mtu anaweza kuzalia nyumbani na akala mlo kamili na mtu akazalia Hospitali ya Mamia ya mamilioni akamshindilia mtoto ugali mpaka akadumaa.

Its not secret data zipo

Hii ni mikoa yenye kiwango kikubwa cha udumavu wa lishe nchini,

1. Iringa: 56.9%
2. Njombe: 50.4%
3. Rukwa: 49.8%
4. Geita: 38.6%
5. Ruvuma: 35.6%
6. Kagera: 34.3%
7. Simiyu: 33.2%
8. Tabora: 33.1%
9. Katavi: 32.2%
10. Manyara: 32%
11. Songwe: 31.9%
12. Mbeya: 31.5%

Ukiongelea Iringa ama Njombe humu ama Kagera ama Mbeya utasifiwa wanavyolima, utaambiwa walivyo matajiri wana Elimu, ila ndo wanaongoza kudumaa nchi hii,

Ila mikoa ya Pwani huikuti kwenye hizo data tunajua kula, familia ya kimasikini ya kidigo inakula uono, kisamvu, muhogo, Wali, chapati, maharage, michuzi ya Nazi, mandazi, majimbi, matunda kibaaao inshort wanakula vizuri kuliko mamilionea wa bara.

Just kwa mkoa mzima kama Iringa kwa zaidi ya Nusu ya mkoa kudumaa ni aibu ama mkoa kama Mbeya ambao una kila aina ya mazao kwa zaidi ya theluthi moja ya watu kudumaa ni aibu.

Source
 
Ila huwa mnaongeaga kana kwamba uislamu na ukristo umeletwa Afrika tu ila jamii zengine hakuna ukristo na uislamu.
Wapi nimeandika jamii zingine hakuna ukristo na uislamu?

Pia nisaidie ukiachana na Ukristo na Uislamu kuna dini gani nyingine imeletwa Africa?

Tz mbongo
 
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza

Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.

Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.

Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12

Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini

Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.

Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
😭😭😭 watu wang wanahangamia kwa kukosa maarifa
 
And yet Tanzania miji yetu ndio mnakuja Kutafuta pesa, Zanzibar, Dar na mikoa mingi tu ya Pwani ila kote huko mnaishi kwa amani
Zanzibar ndiyo wabaguzi sana walivyokua na uelewa finyu wao wanachojua Watanganyika wote wa kristo, na jingine wanashangaa Majina yetu tunayoitwa wanasema mabaya ila Majina yao ya kiarabu ndiyo Mazuri. Kwa mfano wasikia unaitwa Milo Milolo au Kamugisha wanashangaa kwanini tunaitwa majina haya, Mimi niliwajibu hayo Majinq ya Othmani Saidi na Joseph yameletwa yakatukuta Watanganyika tuna Majina yetu ya Asili.
 
Wengi ukiwaambia ya kuwa huwezi kuitenganisha dini ya kiislam na uarabu, wanaweza wakakutukana mpaka ukakoma. Wengi wanabisha bila sababu yoyote ukiwaambia uislam uko chini ya uarabu wanabisha mpaka basi. Ukiwaambia ya kuwa kabla hujauona uislam unauona kwanza uarabu wanaweza kukuoiga mawe. Ukisema uislam ni chombo/mpango wa waarabu kueneza tamaduni, mila na desturi zao, hakuna matusi ambayo utakosa kuyasikia.
Maana tunawaambia, tumeonana na waarabu ambao si waislam, lakini wana desturi zile zile za kiislam. Mfano kuvaa bui bui, kanzu, kibarakashee, nk.
Ndiyo wakisikia unaitwa jina la Asili ya Afrika Mwita, Masawe, Onyango, Lubuva wanakushangaa na kuuliza kwanini tunaitwa Majina kama haya.
 
Hapo kwenye swala tano hapo. Binafsi naona ni kusababisha noise polution kwa wakazi wanozunguka misikiti. Wee wanaanza kuita na ma loudspeakers lugha ambayo wala jamii inayozunguka hawaijui. Wanarudia maneno yale yale kwa muda wa nusu saa. Wanaharibu usingizi wa watu. Yaani mkiwa na watoto au wazee karibu na msikiti ni janga. Wanapiga kelele muda ambao kisheria siyo reasonable hours yaani kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni.
Sijui ni aya gani ambayo inawaambia mkiwasumbua wengine kwa makelele ya kurudia rudia kwa lugha isiyoeleweka ndiyo unapata thawabu.
Mimi niliwaulizaga Baadhi ya Waislam kwanini Adhana wanasoma kwa lugha ambayo siyo lugha ya Taifa kwanini msisome kwa Kiswahili au hiyo lugha inayosomwa kwa kiswahili hakuna.
 
Mimi niliwaulizaga Baadhi ya Waislam kwanini Adhana wanasoma kwa lugha ambayo siyo lugha ya Taifa kwanini msisome kwa Kiswahili au hiyo lugha inayosomwa kwa kiswahili hakuna.

Bro jibu lao lilikuwa nini?
 
Cha kushangaza ndo wamiliki wakubwa wa sekta zote za kiuchumi kuanzia viwanda , makampuni makubwa, michezo alafu nyinyi mlio soma ndo vibarua wao kwenye viwanda vyao.
Uongo uchumi wa Tanzania umeshikwa na Wahindi na Uchumi wa juu kabisa wameshika Wazungu.
 
Noted bara mkristo kumpa kuku muislam achinje hakuna hiyo kitu Tena ukifanya hivyo unatengwa na washiriki
Samahani,unaweza ukanipa elimu hapa?

Kwamba wanapeana kama zawadi kwamba leo huyu anampa huyu na kesho huyu atampa yule au?
 
Ndiyo wakisikia unaitwa jina la Asili ya Afrika Mwita, Masawe, Onyango, Lubuva wanakushangaa na kuuliza kwanini tunaitwa Majina kama haya.

Duu, ujinga ni mzigo wa kuni. Yaani kuwa na jina la asili yenu wanakushangaa lakini ukiwa na jina la kiarabu wanakuona wa ajabu.
Swali langu ni hivi ukiwa na jina la asili yako, huwa hutambuliwi katika uislam?
Tafadhali Bwana Utam
 
Back
Top Bottom