Hata ukiwa na jina lako la kiasili unatambuliwa!Duu, ujinga ni mzigo wa kuni. Yaani kuwa na jina la asili yenu wanakushangaa lakini ukiwa na jina la kiarabu wanakuona wa ajabu.
Swali langu ni hivi ukiwa na jina la asili yako, huwa hutambuliwi katika uislam?
Tafadhali Bwana Utam
Huyu jamaa Covax kuzusha jambo ili dini ionekane nzuri sana kwake siyo tatizo,anaweza hata akamuua ndugu yake alimradi kwake dini isimame.Hapa kuna tatizo au wewe ni muongo. Kwanini huyo bosi asiwafukuze akajili waislam wenzake amani hawana majungu na hawamrogi?
Mkristo wa kweli hawezi kumchukia MwislamuKatika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Kuulizwa dini ni kitu cha kawaida, mwengine atakuuliza wewe ni kabila gani! Mwengine anaweza kukuuliza unajishughulisha na nini!Njoo huku pwani swali la kwanza utaulizwa wewe dini gani...shida ni ukosefu wa elimu iliyo sahihi
Uislamu wa kweli haufundushi chuki, kwa sababu chuki ni moja ya magonjwa ya moyo, ndivyo yanavyotafsiriwa katika uislam.Mkristo wa kweli hawezi kumchukia Mwislamu
Bwana Yesu alifundisha kuwapenda watu wote hata adui zako. Iweje achukie Waislamu.
Hii haitegemei uko pwani au bara. Mradi ukifuata mafundisho Yake hu2ezi kuwa na chuki.
Tofauti na dini zingine zinazo kilip kidsi
Roho MtakatifuNimekuwa interested kueleweshwa hili,yaani kwamba wapo Wakristo wanasema kuna mapepo wema?
Yaani kabisa wanatamka mapepo wema Kanisani?
Wewe muongo hakuna muislam huyo duniani labda uanze wewe leo na pia haiwezekani maana wote mnafanana mafundisho.Unawafukuza je wakati kazi zako wanafanya vizuri kelele za chura..........wataendelea tu na chuki zao dhidi ya waislamu ila hawatakuja kuwafikia kifedha na kimaendeleo pamoja na elimu yao.
Chuki, roho mbaya, roho ya kwa nini, kiburi, dharau, majivuno n.k
Katika dini ya kiislamu hato ni magonjwa makubwa ndani ya nafsi na madhambi yake ni makubwa.
Mimi myislamu nikuchukie wewe nitanufaika na nini? Sipati thawabu ya aina yoyote!
Nikuchukue wewe ili iweje?
Toka hapa bwana,wewe ulichoandika hapa unaona kina-make sense?Roho Mtakatifu
Malaika
Ndiyo maana kuna Mahali Pema peponi.
Mapepo ni viumbe wasio na miili
Hapana!Kitabu chao kimeshushwa kwa lugha ya Mwenyezi Mungu na hakuna koloani iliyoandikwa Kiswahili na ile lugha ya iliyoandikwa kwenye Koloani siyo lugha ya Kiarabu eti ata ukimchukua Mwanafunzi wa Chuo uko Saudi Arabia kama hajajifunza Dini ya Kiislam hata weza kusoma Koloani.
Umesema kweli!Ni wale wasiojua dini tu, ambao elimu yao ni ndogo kuwafanya wakaelimika, watahangaika na watu wa dini nyingine. Maana tupende tukatae, dini haisambwai kwa chuki na dharau. Unagusaje roho ya mtu unayemdharau ili afuate dini yako?
Ni uongo waislamu wako na majini bega kwa bega? Tena wanasema majink ni waislamu?Kinacho wasumbua sana ni chuki na wivu wamaendeleo ya uislamu na waislamu, Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki ila hausemwi.
Kuna schoolmate wangu muislamu alimaliza form four ana elimu ya madrasa nzuri tu karibu juzu 10, kwenye kampuni yake kaajiti wakuristo 8, wenye degree mbalimbali moja ni muhasibu ana CPA na waislamu wa 3, ila wale wa kuristo wanamsema vibaya wanatamani afe, ila kila ukicha mali zake zinaongezeka. Wamefanya ushirikina mpaka basi tu.......hao watu hawapendi wsislamu hata ufanye wame kiasi gani.
Uislamu wenyewe ni potofu sasa sijui unataka watu wauelewaje tofauti na uislam wenyewe ulivyoKatika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Hapana! Hapa unakuza tena mambo!Kidini ni Ngumu kukubalika mfano ndiyo maana Kwenye ukristo kuna ubatizo kama mtoto umempa jina la Mabula inabidi jina ubatizo umchagulie jina la ubatizo la Kizungu mfano Petro au Yohana, Kwa Uislamu ukizaa mtoto ukimuita Mwita ataoneka siyo Muislam ni kafiri ili aonekane Muislam lazima umuite Yusuph, Sharif, Hemed, Said.
Waislam wanachuki na roho za mauaji hawafai kuwepo dunianiAsili ya wakristo ni jamii yenye chuki kali dhidi ya waislam
Naomba jina la hicho chuo cha nursing cha uislamu maana mwarabu msaada wake ni msikiti akizidi sana ni kisima kwa wájili ya kutawadhaKuna dogo aliacha chuo cha nursing baada ya wazazi wake kujua ni cha kiislam, walikua wamecharuka nusu kumuachia laana mtoto.
Nakuumga mkono mtoa mada
ndugu yangu umegonga mule muleukweli mchungu kwa hapa Tanzania uislamu ndio umewafelisha makabila ya mjini
kama wazaramo, wandengereko wasingekuwa waislamu leo hii wangekuwa hawashikiki kwa maendeleo.
ardhi yote ya dar es salaam ni mali ya babu zao. uhuru umepiganiwa mitaani kwao.
ila sababu uislamu uluwafanya wakomae na madrassa kukariri quran na kuachana na shule za formal education. wakaishia kuwa wajinga na kukosa fursa nyingi sana huku quran haijawapa fursa nyingi
Hapo umeongelea kanda ya kaskazini na nyanda za juu kusini naomba nikuulize swali kati ya kanda uliyoongelea na visiwani na pwani wapi kuna ushirikina nasubiri majibu Sheikh wangu. Kuwa sheikh wa msikiti hakuitaji elimu au kusoma theology ni nguvu zako za kukitumia kitabu vizuri. Waliosoma Cuba washanielewa.Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.