Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Duu, ujinga ni mzigo wa kuni. Yaani kuwa na jina la asili yenu wanakushangaa lakini ukiwa na jina la kiarabu wanakuona wa ajabu.
Swali langu ni hivi ukiwa na jina la asili yako, huwa hutambuliwi katika uislam?
Tafadhali Bwana Utam
Hata ukiwa na jina lako la kiasili unatambuliwa!

Mbona bado ubini wao wa asili watu bado wanao?

Isipokuwa katika uislam kama una jina lenye maana mbaya haifai kujiita kwa sababu kwa imani ya kiislamu majina ni dua/maombi, hivyo yanaumba.

Ukiwa na jina lenye maana mbaya unaruhusiwa kubadili jina lako na kujiita jina lenye maana nzuri.
 
Hapa kuna tatizo au wewe ni muongo. Kwanini huyo bosi asiwafukuze akajili waislam wenzake amani hawana majungu na hawamrogi?
Huyu jamaa Covax kuzusha jambo ili dini ionekane nzuri sana kwake siyo tatizo,anaweza hata akamuua ndugu yake alimradi kwake dini isimame.

How mtu atamloga boss wake?akifilisika au akafa atalipwa na nani kesho?ataajiriwa na nani?
 
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza

Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.

Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.

Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12

Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini

Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.

Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Mkristo wa kweli hawezi kumchukia Mwislamu
Bwana Yesu alifundisha kuwapenda watu wote hata adui zako. Iweje achukie Waislamu.
Hii haitegemei uko pwani au bara. Mradi ukifuata mafundisho Yake hu2ezi kuwa na chuki.
Tofauti na dini zingine zinazo kilip kidsi
 
Njoo huku pwani swali la kwanza utaulizwa wewe dini gani...shida ni ukosefu wa elimu iliyo sahihi
Kuulizwa dini ni kitu cha kawaida, mwengine atakuuliza wewe ni kabila gani! Mwengine anaweza kukuuliza unajishughulisha na nini!

Ikiwa ukiruhusu moyo wako kughubikwa na vitu hasi, chochote utakachoulizwa utakipa mtazamo hasi.

Huyu atamuita mdini, huyu utamuita mkabila, huyu utasema ana dharau sana kwa nini ananiuliza najishughulisha na nini!
 
Mkristo wa kweli hawezi kumchukia Mwislamu
Bwana Yesu alifundisha kuwapenda watu wote hata adui zako. Iweje achukie Waislamu.
Hii haitegemei uko pwani au bara. Mradi ukifuata mafundisho Yake hu2ezi kuwa na chuki.
Tofauti na dini zingine zinazo kilip kidsi
Uislamu wa kweli haufundushi chuki, kwa sababu chuki ni moja ya magonjwa ya moyo, ndivyo yanavyotafsiriwa katika uislam.

Uislam unasema kisasi haki, na kisasi haki kwa maana sheria inachukua mkondo wake kwa kile ulichokifanya kwa mwenzako.

Lakini ukamalizia kwa kusema kusamehe ni bora zaidi. Kisasi ni haki, kusamehe ni bora zaidi.
 
Nimekuwa interested kueleweshwa hili,yaani kwamba wapo Wakristo wanasema kuna mapepo wema?

Yaani kabisa wanatamka mapepo wema Kanisani?
Roho Mtakatifu
Malaika
Ndiyo maana kuna Mahali Pema peponi.

Mapepo ni viumbe wasio na miili
 
Unawafukuza je wakati kazi zako wanafanya vizuri kelele za chura..........wataendelea tu na chuki zao dhidi ya waislamu ila hawatakuja kuwafikia kifedha na kimaendeleo pamoja na elimu yao.
Wewe muongo hakuna muislam huyo duniani labda uanze wewe leo na pia haiwezekani maana wote mnafanana mafundisho.
 
Chuki, roho mbaya, roho ya kwa nini, kiburi, dharau, majivuno n.k

Katika dini ya kiislamu hato ni magonjwa makubwa ndani ya nafsi na madhambi yake ni makubwa.

Mimi myislamu nikuchukie wewe nitanufaika na nini? Sipati thawabu ya aina yoyote!

Nikuchukue wewe ili iweje?

Ni wale wasiojua dini tu, ambao elimu yao ni ndogo kuwafanya wakaelimika, watahangaika na watu wa dini nyingine. Maana tupende tukatae, dini haisambwai kwa chuki na dharau. Unagusaje roho ya mtu unayemdharau ili afuate dini yako?
 
Kitabu chao kimeshushwa kwa lugha ya Mwenyezi Mungu na hakuna koloani iliyoandikwa Kiswahili na ile lugha ya iliyoandikwa kwenye Koloani siyo lugha ya Kiarabu eti ata ukimchukua Mwanafunzi wa Chuo uko Saudi Arabia kama hajajifunza Dini ya Kiislam hata weza kusoma Koloani.
Hapana!

Qur'an imeandikwa kwa lugha ya kiarabu. Mwarabu yoyote aliyesoma au mtu yoyote aliyesoma na kuielewa lugha ya kiarabu anaweza kusoma kwa maana kama kusoma lugha nyengine unayoielewa.

Lakini ukitaka kuisoma kwa msingi kama wa Qur'an ni mpaka ufundishwe.

Na ukiitaka kuielewa kwa kuelewa maana ya aya mahususi ina maanisha nini mpaka ufundishwe. Ukitumia rai yako utaenda kinyume cha makusudìo ya aya!
 
Ni wale wasiojua dini tu, ambao elimu yao ni ndogo kuwafanya wakaelimika, watahangaika na watu wa dini nyingine. Maana tupende tukatae, dini haisambwai kwa chuki na dharau. Unagusaje roho ya mtu unayemdharau ili afuate dini yako?
Umesema kweli!
 
Maushirikina,roho mbaya,uswahili,uvivu,talaka za chapchap,ndoa zaidi ya moja,kuendekeza mapenzi kinyume na maumbile eti wanaita suna!!!!. kulawiti watoto huko madrasa n.k unaanzaje kumuelewa muumini wa imani hiyo ingawaje sio wote.
unamsomea mtu ALBADIR ili apatwe na majanga....UKRISTO UNASEMA SAMEHE SABA MARA SABINI NA PIA KISASI NI CHA MUNGU. Yaani sielewagi tu mambo ya Kiislamu mimi. Nyumbani kwetu Manyara population ndogo sana ya hiyo dini. Nilivyoenda Mtwara mbona nilishangaa na kukoma, watu wengi muslims afu wana mambo ya hovyo sana plus na upwani pwani wao ndo kabisaaaa hovyo society i ever met in Tanzania. Kazi kufocus tu na ELIMU AHERA, ELIMU DUNIA AAAH. Baadae wakitawaliwa na Wakristo kwenye nyadhifa na nafasi mbalimbali wanaanza kujilizaliza udini kumbe hawana qualifications. Kutwa VISASI TU NA UGAIDI,MOST OF TANZANIANS MAGAIDI WA MSUMBIJI NI WAISLAMU. NAPATA HASIRA KWAKWELI DINI GANI ISIYOHUBIRI AMANI NA UPENDO KUTWA SILAHA MKONONI. ACHENI ISRAEL NA WASHIRIKA WAKE WAWACHAKAZE TU HAO WAVAA MAKOBASI
 
Je
Kinacho wasumbua sana ni chuki na wivu wamaendeleo ya uislamu na waislamu, Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki ila hausemwi.

Kuna schoolmate wangu muislamu alimaliza form four ana elimu ya madrasa nzuri tu karibu juzu 10, kwenye kampuni yake kaajiti wakuristo 8, wenye degree mbalimbali moja ni muhasibu ana CPA na waislamu wa 3, ila wale wa kuristo wanamsema vibaya wanatamani afe, ila kila ukicha mali zake zinaongezeka. Wamefanya ushirikina mpaka basi tu.......hao watu hawapendi wsislamu hata ufanye wame kiasi gani.
Ni uongo waislamu wako na majini bega kwa bega? Tena wanasema majink ni waislamu?
 
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza

Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.

Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.

Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12

Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini

Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.

Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Uislamu wenyewe ni potofu sasa sijui unataka watu wauelewaje tofauti na uislam wenyewe ulivyo
 
Kidini ni Ngumu kukubalika mfano ndiyo maana Kwenye ukristo kuna ubatizo kama mtoto umempa jina la Mabula inabidi jina ubatizo umchagulie jina la ubatizo la Kizungu mfano Petro au Yohana, Kwa Uislamu ukizaa mtoto ukimuita Mwita ataoneka siyo Muislam ni kafiri ili aonekane Muislam lazima umuite Yusuph, Sharif, Hemed, Said.
Hapana! Hapa unakuza tena mambo!

Ukafiri katika uislamu hauji katika jina. Ukafiri unakuja katika vitendo, na ndiyo maana uislamu unakutaka uuchukie ukafiri ambao ni kitendo na wala siyo mtu.

Kwa sababu kwenye huo ukafiri hata muislamu mwenyewe anaweza kuingia.

Ila mtu hapana! Wewe ni mali ya Mungu. Mtume Muhammad s.a.w anatuambia kama unampenda Mungu hashemi viumbe vyake.

Katika uislamu aya ambayo imekuja moja kwa moja tumfanye adui yetu ni ibilisi.

Mungu ni mzuri, anapenda vizuri. Hivyo majina tujiite mazuri. Lakini katika uislamu majina ni dua, ni maombi yale! Hutakiwi kujiita jina baya. Ile maana ya jina unayojipa itaumba.

Unajiita Shida, au matatizo matokeo yake inakuwa ni shida kweli na ni matatizo.

Kama Mwita lina maana nzuri jiite Sheikh, wala haina shida.
 
Kuna dogo aliacha chuo cha nursing baada ya wazazi wake kujua ni cha kiislam, walikua wamecharuka nusu kumuachia laana mtoto.

Nakuumga mkono mtoa mada
Naomba jina la hicho chuo cha nursing cha uislamu maana mwarabu msaada wake ni msikiti akizidi sana ni kisima kwa wájili ya kutawadha
 
ukweli mchungu kwa hapa Tanzania uislamu ndio umewafelisha makabila ya mjini

kama wazaramo, wandengereko wasingekuwa waislamu leo hii wangekuwa hawashikiki kwa maendeleo.

ardhi yote ya dar es salaam ni mali ya babu zao. uhuru umepiganiwa mitaani kwao.

ila sababu uislamu uluwafanya wakomae na madrassa kukariri quran na kuachana na shule za formal education. wakaishia kuwa wajinga na kukosa fursa nyingi sana huku quran haijawapa fursa nyingi
ndugu yangu umegonga mule mule
 
Ni kweli usemalo. Mi mwanangu nimekaa naye sana nyanda za juu kusini. Akiwa na miaka 5 nilimpeleka Moro kwa Bibi yake akaona mama mmoja jirani amejifunika Hijab pamoja na Nikab. Dogo akakimbia akilia huku akimuita Bibi yake aje aone jini linamfukuza.

Bibi ikabidi aingie kwenye kuomba msamaha. 😀😀😀
 
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza

Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.

Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.

Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12

Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini

Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.

Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Hapo umeongelea kanda ya kaskazini na nyanda za juu kusini naomba nikuulize swali kati ya kanda uliyoongelea na visiwani na pwani wapi kuna ushirikina nasubiri majibu Sheikh wangu. Kuwa sheikh wa msikiti hakuitaji elimu au kusoma theology ni nguvu zako za kukitumia kitabu vizuri. Waliosoma Cuba washanielewa.
 
Back
Top Bottom