Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Hata ukiwa na jina lako la kiasili unatambuliwa!Duu, ujinga ni mzigo wa kuni. Yaani kuwa na jina la asili yenu wanakushangaa lakini ukiwa na jina la kiarabu wanakuona wa ajabu.
Swali langu ni hivi ukiwa na jina la asili yako, huwa hutambuliwi katika uislam?
Tafadhali Bwana Utam
Mbona bado ubini wao wa asili watu bado wanao?
Isipokuwa katika uislam kama una jina lenye maana mbaya haifai kujiita kwa sababu kwa imani ya kiislamu majina ni dua/maombi, hivyo yanaumba.
Ukiwa na jina lenye maana mbaya unaruhusiwa kubadili jina lako na kujiita jina lenye maana nzuri.