Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Ni maneno mazuri sana, ila tusaidie ushahidi tafadhali!

Maneno haya pia ni mazuri sana, ila ukitusaidia ushahidi itakuwa ni bora zaidi Mkuu, na itakuwa umetufungua wengi sana!


Na hapa pia tusaidie ushahidi tafadhali ili tuendelee kuelimishana.

Iko wazi Mohamad alisililisha majini hilo halina ubishi na ni ukweli wa kidini sio kwamba wanasingiziwa.

Shetani ni kiumbe pekee kilichosujudu na kuswali kuliko kiumbe chochote kilichowahi kukaa katika ardhi ya dunia hii .
Inyua You tube angalia kisa cha shetani kufukuzwa Peponi kimeelezwa vizuri na wanazuoni wa kiislam.
Uislamu una elimu kubwa sana ya majini kuliko dini nyingine kwa sababu majini yalipokea uislama na kusilimu ndio maana wanasema kuna majini wazuri na wabaya kama ilivyo kwa wanadamu na yale yaliyosilimu yana heri kwa sababu yamepokea dini ya Allah.
 
Nimeshawahi kumuona mmasai muislam na anatumia jina lake hilohilo la kimasai!
Ukisilimu Waislam wakupata Majina uchague yakiislamu na wanakua karibu na wewe, kuna Mwaka nilikuwa naishi Zanzibar kuna rafiki yangu alikua mkristo sasa akapendwa na demu wa kipemba kwahiyo Jamaa akaambiwa aingie kwenye Uislam ja akakubali na jina akabadili akajiita Abdul, kila wakiti wa swala walikua wanamfata kwenda kusali jamaa hayo mambo yakamshinda kwasababu ya Mazingira ya aina ya kazi aliyokua nayo.
 
Na hesabu umefunga kabisa kwamba wataenda motoni wewe nani mzee?

Ninyi walokole mmejimilikisha signature ya Mungu punguzeni mbwembwe hizo hukumu mnazotoa huku wenyewe mna dhambi zenu zitawatia matatani.
Mambo yote ni kufikirika hakuna mwenye uhakika nayo!!

Lazima Kila mtu ataandika Kwa speculation zake aonavyo!
 
Kwahiyo kati ya comment zote ulizo zisoma kwenye huu uzi hiyo ndo umeiona inachochea chuki tu?

Ww kubali tu kuwa umechukia kuona upande wako umekejeliwa na sio kwamba unachukia watu wenye chuki.
 
Bro unajuaje kama wale waislam matajiri hawamo humu. Kina Elon woote wamo kwenye social media.

Kwa ujumla hoja ya msingi hapa ni uislam kuwa chini ya kivuli cha uarabu. Hakuna namna ya kutenganisha hivyo vitu viwili.
Sasa hivi mjadala ume hamia kwenye uisilam kuwa chini ya waarabu na sio waisilam kuwa masikini na kutokuwa na elimu?😃😃😃😃
 
Kweli kabisa.
 
Kama mtu yeyote hana haki ya kijimilikisha ardhi mbona Israel inapo uwa wapalestina kwa kisingizio cha kulinda ardhi yao huwa unashangilia?

Mna wachukia waisilam lakini kutwa kuzunguka kwenye nyumba za waisilam kudoea futari zao kipindi cha mfungo.
Mna wachukia waisilam lakini CCM ikiwakatia maji mnakimbilia misikitini kwenda kuchota maji ya bure badala ya kwenda kuchota kwenye visima vya kanisa vilivyo jengwa kwa sadaka zenu.
 
Hayo ni maendelezo makubwa sana. Pengine baadaye adhana itaitwa kwa kiswahili. Endeleeni hivyo hivyo ili kuuhuisha uislam. Maana kuganda kwenye lugha moja, kutaufanya uislam kufa
Uislamu umejikita kwenye mambo ya msingi ambayo hayabadiliki!

Kama adhana,sala n.k
 
Si ndio hapo. Umaskini na kukosa kazi za kufanya. Mtu ambaye yuko busy hawezi kuja kukashfu dini ya mwenzake ili hali kila mmoja kazaliwa tu kwenye hiyo dini. Na hakuna mwenye uhakika kama anachoabudu ni bora zaidi ya mwingine.
Ngozi nyeusi itabaki kuwa ngozi nyeusi tu mkuu
 
Mkuu, dini yoyote ina marejeo yake!

Iwe ya kibudha ina maandiko yake nayo ni marejeo kwa yeyote!

Iwe ya kihindu nayo ina marejeo yake kwenye vitabu.

Halikadhalika kwenye uislamu nao una marejeo yake!

Sasa ukiandika maelezo matupu bila ya kunukuu kutoka kwenye vifungu vyao tutakuwa hatuwatendei haki! Na sidhani kama ni jambo la busara!

Maadamu tupo kwa lengo la kuelimishana, tusaidie ushahidi tafadhali kutoka kwenye maandiko yao! Karibu.
 
Mkuu, mimi ni muislam!

Mababu zangu ni waislamu!

Babu yangu wa kwanza ni muislam, babu yangu wa pili ni muislam, babu yangu wa tatu ni muislam, babu yangu wa nne ni muislam na kuendelea.

Na hao ni mtiririko wa kufika mpaka kwa baba yangu mpaka kufika mimi!

Sina haja ya kukuongopea, natokea kwenye nyama, mishipa na mifupa ya kiislam, na nimeisoma dini na bado naendelea kuisoma dini.

Ukisilimu uislamu haikulazimishi kubadilisha jina. Unaweza ukabaki na jina lako kama baadhi ya waafrika wa magharibi waliyo na majina yao ya asili.

Kubadilisha jina ni maamuzi ya mhusika na wala Sheikh hakulazimishi!
 
Mkuu umesahau wameahidiwa watapewa wanawake wenye mataqo makubwa huko peponi cjui wake zao watawaacha wap..pia majini pia wanaswali kwamba ile nafasi inayoachwa msikitini huwa waanchiwa hao majini wema
 
Kwetu Kuna kijana wa kikristu alimuoa binti wa kiislam Tena mtoto wa Ustaadh. Kesho yake asubuhi walumfuata binti Yao. Hawakujali Kama amevunjwa bikra na mkristu.
Ni urongo inamaana Alijioza mwenyewe?
 
Wewe tutasumbuana nakuuliza hivi unajibu vile uwe na wakati mwema kiongozi
Nimetumia lugha nyepesi sana.. "Mapepo" , (kìvumishi cha ubaya), inatokana na pepo, kuna pepo wema na wabaya. Pepo ni viumbe wasiyo na miili. Hapo kipi hakijaeleweka?
 
Kuna dogo aliacha chuo cha nursing baada ya wazazi wake kujua ni cha kiislam, walikua wamecharuka nusu kumuachia laana mtoto.

Nakuumga mkono mtoa mada
Hebu ni tajie iko chuo cha nursing ambacho ni cha kiislamu!
 
Tulia wewe mav uzi na sindano Uhuru wa Tanzania washukuliwe Waislam nyie makafiri Babu zenu walikuwa wAnaimba kwaya na kula nguruwe ila wazee wa Kiislam wakaingia Front leo hii unalala kwa Amani unatembea kwa Uhuru ila ndo hao hao kutwa mnawaponda humu kitabu chetu kilishasema Chuki ya Makafiri ni kubwa na wanatamani Mkufuru kama walivyofanya Wao.
 
Badili Imani yako kwanza
 
Mbuzi Hata kama umchukue Carlos Santana awapigie Gitaa ataumia Vidole Vyake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…