1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Ni maneno mazuri sana, ila tusaidie ushahidi tafadhali!
Maneno haya pia ni mazuri sana, ila ukitusaidia ushahidi itakuwa ni bora zaidi Mkuu, na itakuwa umetufungua wengi sana!
Na hapa pia tusaidie ushahidi tafadhali ili tuendelee kuelimishana.
Iko wazi Mohamad alisililisha majini hilo halina ubishi na ni ukweli wa kidini sio kwamba wanasingiziwa.
Shetani ni kiumbe pekee kilichosujudu na kuswali kuliko kiumbe chochote kilichowahi kukaa katika ardhi ya dunia hii .
Inyua You tube angalia kisa cha shetani kufukuzwa Peponi kimeelezwa vizuri na wanazuoni wa kiislam.
Uislamu una elimu kubwa sana ya majini kuliko dini nyingine kwa sababu majini yalipokea uislama na kusilimu ndio maana wanasema kuna majini wazuri na wabaya kama ilivyo kwa wanadamu na yale yaliyosilimu yana heri kwa sababu yamepokea dini ya Allah.