Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam


Anyways povu ruksa. Ukweli ulio wazi ni kuwa, sehemu zote ambazo muarabu (mmiliki wa uislam) alizoweka kambi ndiyo ilikuwa centre ya umasikini, uvivu na any sort of backwardness. Wee angalia tu maeneo yote ya slave (trade) caravan. Yako nyuma sana. Thanks government kwa sera nzuri za maendeleo ambazo zimefanya angalau nchi iko balanced kwa kiasi fulani. Sasa mikoa yote kama Lindi, Tabora, Kigoma nk imeanza kupiga hatua.
 
Yah nikweli lakini kwa upande wa kikristo wamisionari walikuja Tanzania na kuanzisha shule na Makanisa walikua na tabia ya kuwapa Majina watoto kwa mfano Mzee yeye Majina yake ni ya asili lakini Mzungu akampa jina la kizungu na kumuandikisha shule kwahiyo Nyumbani anaitwa jina lake la Asili na shule anaitwa jina alilopewa na Mzungu hii ni kwa watu wote, ata Viongozi wetu Kwa mfano Philip mpango ukifatilia kiundani utakuta ana jina lake la Asili ata mimi nina jina la Asili na laki Zungu na ndugu zangu wote na kabila letu asilimia kubwa tuna majina mawili mawili ya Asili, na ya kidini tunatumia sana shuleni lakini tukiwa nyumbani tunaitwa majina ya Asili yetu.
 
Kadhalika waislam waliotokea maneno ambayo waislam ni majority na mifumo Yao ya kitamaduni imemezwa na tamaduni za kiislam, Wana uelewa duni sana,finyu na potofu kuhusu wakristu na ukristu
Ukienda maeneo kama kilwa masoko , kilwa kivinje yan ukisema unaitwa petro au wewe nimkristo asee watakushangaa mno yan hata dukani enzi hizo bidhaa huuziwi
 
uislamu mafundisho yake umejaa makasiriko na vitisho vingi
Mkuu, karibu kwenye ukumbi! Maadamu tunajifunza ni busara kuweka na ushahidi. Tusaidie ushahidi tafadhali!
uislamu sehemu kubwa unafundisha chuki na mauaji
Tusaidie ushahidi na hapa Mkuu ili tuendelee zaidi kujifunza kutoka kwako Mkuu!
uislamu unawadharau sana wanawake unawaona wapo kwa ajili kutomb...wa tu na hawana maana yeyote katika dunia hii( refer stori za mtume na kuoa mtoto wa miaka 9 pia refer bunge la Iraque nini limekifanya siku za hivi karibuni)
Na hapa pia, tusaidie ushahidi tafadhali ili kumbukizi kama hizi tuziweke sawa!
uislamu umejaa ubaguzi kwa wasio waislamu ( japo waislamu wa Tanzania na Senegal pongezi kwenu hili hamjalizingatia sana) ukitaka kuamini nenda Somalia,Northern Nigeria, Chad n.k utaamini haya ninayoyasema)
Halikadhalika, hapa napo tusaidie ushahidi Mkuu ili tuzidi kuneemeka na maarifa yako!
wachina hawataki kuisikia hiyo dini
Mchina si kwamba hataki uislamu bali dini yoyote! Wachina wameingia mtafaruku na kanisa katoliki kwa muda mrefu. Utaratibu wa kanisa ni kuchagua mwakilishi wao ambaye atakuwa anahudumu kwa niaba yao akiwemo China. Serikali ya China haitaki hilo! Imemchagua kuongozi wao wenyewe ndiye ambaye atahudumu China kwa niaba ya Catholic. Nukta yake: Wengi sana majasusi na wanatumikia sana kanisa kuliko nchi yao!
wahindi hadi leo wanaipigania kashmir dhidi ya waislamu wa pakistan
Hufahamu mpaka leo mgogoro uliyopo baina ya wahindi (Hindu stan) na wapakistan? Hufahamu kuwa ilikuwa nchi moja? Hufahamu tangu mwaka 1947 nchi ilivyojigawanya na kuwa nchi 2 tangu hapo uhasama wao ulianza kugombania hilo eneo Mkuu?
msumbiji haina hamu na hao watu
Mkuu, na hili kweli hulifahamu? Mbona kuna Uzi ulianzishwa juu ya hili? Hufahamu Wagner waliajiriwa na serikali ya Msumbiji kupambana nao ila waliondoka? Sababu kubwa hao magaidi wanashirikiana na serikali kwa vurumai za ndani ya nchi yao?

Kwa ufupi ni mradi wa wakubwa! Maeneo ya huko yana mafuta mengi. PDF zipo, ikiwa kama unahitaji kuzisoma usisite kuniambia tutasaidiana kukupatia.
mashariki ya kati ndio usiseme
Mkuu, ni kweli hufahamu kinachoendelea mashariki ya kati? Syria sababu Bashar Al Assad kukataa kupitisha bomba la mafuta na gesi kutokea Qatar ambalo lilikuwa linasimamiwa na US na washirika wake. Lengo kuu lilikuwa kumdhoofisha kiuchumi Russia kwa nchi za Ulaya zisiwe moja kwa moja zinamtegemea Russia. Ndiyo maana Russia aliingia mazima kumsaidia Assad.

Palestina na Israel wanagombania mipaka ya nchi na kila siku wana maazimo yao baraza la usalama wa Taifa yapo!

Yemen ni kugombania madaraka, rais hatakiwi na raia ila Marekani na Saudia wanamtaka kumbakisha madarakani. Hiyo ndiyo sababu ya ugomvi!

Iraq inafahamika iliingia vitani na USA kwa kutolewa sababu zisizokuwa na ushahidi kuwa wanamiliki silaha za maangamizi. Baraza la Usalama wa Taifa lilikataa azimio la USA kwani halikuona ushahidi lakini USA aliivamia hivyo hivyo!

Na ndiyo maana Tony Blair aliomba msamaha kwa kusema taarifa za kiusalama ziliwapotosha!
ulaya na marekani hawana hamu na hawa watu tangu wawakaribishe
Mbona hao watu Uholanzi wapo, Germany wapo, UK wapo, Italy wapo! Ulaya ipi Mkuu?

Na Marekani wapo! Mwisho wa campaign ya Trump na K. Harris si wamemalizia kwenye majimbo yanayokaliwa na raia wengi wenye asili ya ME, na wakatoa ahadi ya kumaliza vita ya Palestina na Israel? Marekani ipi haiwataki Mkuu?
 
Acha porojo, Qur an iko wazi, majini ni ndugu zenu katika imani.
 
Kwetu alikuja DJ akasema ni muislam
Wakampikia kwenye vyombo vyake
 
Ukienda maeneo kama kilwa masoko , kilwa kivinje yan ukisema unaitwa petro au wewe nimkristo asee watakushangaa mno yan hata dukani enzi hizo bidhaa huuziwi
Hawa ni watu wa ajabu Sana na hizi tamaduni za kiarabu ni Moja ya tamaduni za kibaguzi zaidi duniani na za kumwona mtu ambaye afuati tamaduni hizo kama mdudu fulani na kwamba hawezi kutenda mema Wala kufanya jambo lolote zuri na hata akifanya jambo zuri zaidi miongoni mwao utasikia wakimkebehi " ungekuwa muislam ungependeza" umefanya kama muislam, hata ukivaa mavazi kama Yao kuwasapoti utasikia dharau na kebehi " umependeza" lengo ni kudharau Kile ambacho wewe hukivaa kutokana na tamaduni yako na kujionyesha kuwa hizo za kiarabu ndio bora
 
Kijijin kwetu huku usukuman ukisema kuwa wewe ni mwisilam watakushangaa sana na mara zote watajua kuwa wewe ni mchawi au mganga wa kienyeji

Huku kwetu hakuna waislam kabisa waislam mimi nimekuja kuwakuta huku mjini

Kwanza kwetu kijijini ukivaa kanzu utaanza kusemwa fulani kajiunga ugaidi.....
uislamu kwa kweli ni dini ambayo imekaa kivita vita na chuki, tangu muarabu aianzishe kule uarabuni, alianza kwa kuua na kuchinja watu huko na mpaka leo ni vita tu.
Waafrika kama akina Malaria 2 Bwana Utam sijui walipotoka vipi na kufuata huo mlengo ambao umebuniwa juzi tu, haukuwepo kihistoria.
 
And yet Tanzania miji yetu ndio mnakuja Kutafuta pesa, Zanzibar, Dar na mikoa mingi tu ya Pwani ila kote huko mnaishi kwa amani
Hapo ndiyo umechemka yaani hata hao wenye negative attitude towards your kind wanakuwa na justifications, hakuna mji/miji yenu na hakuna mwenye ubavu wa kumfanya yoyote asiishi kwa amani hata kama anataka kufanya hivyo.
Literally miji mikubwa yote especially DSM haina mwenyeji kwa sasa tena hao ambao ndiyo natives wako pembezoni, all good suburbs wanaomiliki maeneo na majengo si natives though ni Watanzania na wana rights sawa na natives. Pesa na akili za umiliki ndiyo chachu na vinginevyo.
NB: Dini zote ni usanii.
 
Wapi nimeandika jamii zingine hakuna ukristo na uislamu?

Pia nisaidie ukiachana na Ukristo na Uislamu kuna dini gani nyingine imeletwa Africa?

Tz mbongo
Sasa kama mnajua kuwa hata jamii zengine wamepelekewa ukristo na uislamu kwanini mnataka ionekane kama afrika tu ndio tumeletewa hizo dini kiasi cha wengine hadi kuhusisha umasikini wetu afrika na hizo dini za kuletewa kwamba et tumekuwa masikini na tupo nyuma kimaendeleo kisa tumeacha dini zetu za asili na kufuata dini za kuletewa?

Hao waliyoleta ukristo na uislamu tulikuwa na muingiliano mwengine zaidi ya dini tu na hizi dini mbili zina mfumo wa kusambaza mafundisho yao ya dini na ndio maana zimesambaa si kwa afrika tu, hiyo ni tofauti na dini zengine ambazo unakuta zimeishia kwenye jamii fulani au nchi kadhaa.
 
Dini zote duniani zinazoaminisha watu kwamba ukitaka mali lazima utoe ndiyo upate au kusali sana ndio upate, zinachangia uvivu unaopelekea umasikini .

Mtu hajitesi anaamini sadaka na maombi, one day yes, Anashinda church anaimba Qoir πŸ˜†πŸ˜†, Miaka inaenda uko palepale, Mchungaji ana V8-Latest version na watoto wake wanasoma ulaya, Wewe ukitaka Passo tu anakuombea, Insane .

SHTUKAAA....!! 🧠🧠


Kwa Afrika lazima tutaje Islam na Christian sababu ndio dini zilizopo, utaanzaje kusema buddhism imechangia umasikini Afrika? Au Hinduism mkuu?

Halafu uwe unasoma kwa umakini, Neno dini inachangia umasikini linamaanisha dini ni sababu mojawapo ya umasikini Afrika .

Naona maelezo yako una ni-attack kama vile nimesema umasikini wa Afrika unasababishwa na dini directly .
 
πŸ˜€
 
Sasa kati ya uislamu na ukristo kina nani washirikina? Ukiangalia % kubwa ya waganga ni nyie waislamu, kwahyo hoja ya kuwa mnamiliki majini 12 sio ya uongo nikweli kabisaa
 
Hivi hao waliyoshika dini(ukristo na uislamu) kiasi cha kuwa wavivu hawafanyi kazi wanategemea maombi tu wako wengi kiasi gani ukilinganisha na watu ambao hawajashika sana dini kiasi hiko au hawafuatilii kabisa mambo ya dini ili tuone uhalisia wa hayo madai ya dini kuwa sehemu ya sababu ya umasikini afrika?
 
Sasa kati ya uislamu na ukristo kina nani washirikina? Ukiangalia % kubwa ya waganga ni nyie waislamu, kwahyo hoja ya kuwa mnamiliki majini 12 sio ya uongo nikweli kabisaa
Mkuu hiyo hoja kuwa waislamu wengi ndio waganga ni kwa afrika nzima au Tanzania tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…